Hiyo kwa Iman yako lakin si kimaandiko. Je unaweza nipa andiko ukristo ni dini kutoka katika kitabu husika au ni dhana umemezeshwa tu nawe unaitangaza?. Na unaposema wakristo Mungu wao yesu na babake, ukiongopa Uislamu ni copy ya Ukristo ndio maana nikakushauri usizungumzie maswala ya dini Kama huyajui maana unasambaza uongo hivi unaelewa maana ya copy we. Kwenye Uislamu ukisema Yesu ndio Mungu yeye na baba yake wewe ni kafiri unawezaje kusema Uislamu ni copy ya Ukristo?Pia mkuu kama ukrsto ni dhana tu basi hata uislamu ni dhana tu na kila dhana ina mapokeo yake..Wakrsto mungu wao ni Yesu pamoja na Baba yake mungu wa kiyahudi aitwae Yehovah..Afu waislamu mungu wao ni mungu wa kiarabu aitwaye Allah na nabii wake Muhamad.....Dini yoyote duniani ni dhana tu ya kufikirika pasipo ushahidi wowote