Urusi vs Wagner: Wagner wasitisha 'Uasi' na safari ya kwenda Moscow yasitishwa, wadai hawataki kumwaga damu ya Warusi

Hiyo kwa Iman yako lakin si kimaandiko. Je unaweza nipa andiko ukristo ni dini kutoka katika kitabu husika au ni dhana umemezeshwa tu nawe unaitangaza?. Na unaposema wakristo Mungu wao yesu na babake, ukiongopa Uislamu ni copy ya Ukristo ndio maana nikakushauri usizungumzie maswala ya dini Kama huyajui maana unasambaza uongo hivi unaelewa maana ya copy we. Kwenye Uislamu ukisema Yesu ndio Mungu yeye na baba yake wewe ni kafiri unawezaje kusema Uislamu ni copy ya Ukristo?
 
Hao wanahusiana nini na hawa kadyrovities kwanza hawapatani, na hawa ndio waliofagia magaidi wote.
Ni sawa na Kusema kila mcolombia ni Kingpin.
 
Kwani kati ya Muhammed na wasomi wa karne hii yupi kati yao wenye elimu zaidi?
 
Unaposema maandiko unamaanisha nn mkuu????Maana maandiko ni dhana za binadamu wameziweka kwenye maandishi...Biblia na torati ni dhana za mapokeo ya warumi na wayahudi wa makabayo maana kuna vitabu vyao humo.Na quran ni dhana za mapokeo ya waarabu na wakaingiza humo adithi za kale za wayahudi pia,namaanisha walikopi..
 
Kwani kati ya Muhammed na wasomi wa karne hii yupi kati yao wenye elimu zaidi?
Sasa mkuu elimu katika lipi nifafanulie swali lako????? Maana muhamadi alitoa habari za kufikirika hazina ushahidi sababu mfano mdogo hata huyo Allah hayupo na haonekani,,na masimulizi yake mengi kakopi kwa wayahudi wa kale.......Wasomi wa karne hii inategemea wamesomea nn?????
 
Mimi ni msomi wa historia za mambo ya kale na saikolojia za binadamu.Nasema uislamu ni kopi ya uyahudi na ukrsto sababu dini gani ilianza kutangulia????? Ya wayahudi na warumi au ya waarabu????? Nijibu mkuu
 
Hahahaha umesema Muhammed katunga sawa kwa Iman yako je kati ya Muhammad na Wasomi wa sasa yupi mwenye elimu zaidi au elimu aliokua nayo Muhammed kipindi hiko ya kutunga je inazidi wasomi wa sasa ?
 
Mkuu kwa wakrsto yesu ni mungu na baba yake huwezi kubadili mapokeo yao..Na kwa waislamu allah ni mungu na yupo bachela hana mtoto huwezi kubadili mapokeo yao..Na kuna dini mungu ni ngombe wengine miti na wengine milima mkuu..Kila dhana ya dini ina mapokeo yake
 
Hahahaha umesema Muhammed katunga sawa kwa Iman yako je kati ya Muhammad na Wasomi wa sasa yupi mwenye elimu zaidi au elimu aliokua nayo Muhammed kipindi hiko ya kutunga je inazidi wasomi wa sasa ?
Unajua kwanini nimesema Muhammad katunga mkuu????? Huyo allah hayupo ni adithi tu na malaika hawapo ni adithi tu na majini hakuna ni adithi tu za kufikirika...Kama unaamini Muhammad hakutunga kamtafute allah umulete tumuone hapa????????Dini zooote duniani ni dhana na mapokeo ya kufikirika tu
 
Mimi ni msomi wa historia za mambo ya kale na saikolojia za binadamu.Nasema uislamu ni kopi ya uyahudi na ukrsto sababu dini gani ilianza kutangulia????? Ya wayahudi na warumi au ya waarabu????? Nijibu mkuu
Hapa umesema vema unaonekana kichwan ndio maana nikakwambia mtu wa kufata sana dhana .mtu yeyote akiwa muumini wa historia ambazo si za dini halafu uelewa ule akautumia kwenye dini lazima ataongea mambo ya dhana tu ndio maana nikakushauri usiongelee dini kama huijui kwanza isome maana unaweza ukaongea mengi baada ya kusoma ukajakujiona ulikua mjinga wa kutupwa
 
Hahahaha umesema Muhammed katunga sawa kwa Iman yako je kati ya Muhammad na Wasomi wa sasa yupi mwenye elimu zaidi au elimu aliokua nayo Muhammed kipindi hiko ya kutunga je inazidi wasomi wa sasa ?
Wasomi wa sasa wanabuni na kutengeneza vitu tunaviona na kuvitumia sio maandishi matupu.Kuna wazungu na wajapani wameibadilisha dunia...Ndio maana wasomi hawaamini dhana za dini za kufikirika tu bila ushahidi
 
Unamfahamu Muhammed? Kama Muhammed katunga inawezekanaje mtu asiesoma akaweza kutunga mashairi ambayo katika karne kuna wasomi na technology nyingi lakini bado hawawezi kutunga kitabu kama hicho? Hapo kuna mazingatio kwa mwenye akili
 
Dini ni adithi za kufikirika duniani mkuu...Walianza wayahudi wa kale na dini yao afu wakaja wakrsto wa kalena dini yao na fikara zao wakakopi wayahudi...Then waarabu wa kale wakakopi kutoka huko kwa wayahudi na wakrsto wakabuni dini yao ya uislamu...Hizo historia za dini zimeandikwa na waru bila ushahidi bali dhana tu mkuu..
 
Unamfahamu Muhammed? Kama Muhammed katunga inawezekanaje mtu asiesoma akaweza kutunga mashairi ambayo katika karne kuna wasomi na technology nyingi lakini bado hawawezi kutunga kitabu kama hicho? Hapo kuna mazingatio kwa mwenye akili
Hakuna mazingatio yoyote zaidi ya mashairi ya kiarabu na adithi za uongo..Mbona huyo allah hayupo na haonekani,ndio maana wasomi wa karne hii wanamuona kama alikua mwanasiasa tu,,,,masimulizi yake hayana ushahidi....
 
Hahahaha dah! Unapoona malaika ,majini ,allah wote hawapo unaona wewe Ila alieiumba dunia kashasema kwenye quran kuna tunavyovijua na tusivyovijua na tusivyovijua ni vingi zaidi kuliko tunavyovijua na ndio maana wanasayansi wanagundua vitu karne ya 21 ambayo vimetajwa kwenye quran katika karne ya saba huko.
 
Kwa hiyo Mungu yupo au hayupo? Wachawi na Majini wapo au hawapo?
 
Unamfahamu Muhammed? Kama Muhammed katunga inawezekanaje mtu asiesoma akaweza kutunga mashairi ambayo katika karne kuna wasomi na technology nyingi lakini bado hawawezi kutunga kitabu kama hicho? Hapo kuna mazingatio kwa mwenye akili
Mkuu kwa mtu mwenye akili hawezi kuamini vitu ambavyo havipo...Hakuna allah,hakuna malaika na hakuna ushahidi wa chochote zaidi ya simulizi...Bahati mbaya watu wakihoji waga wanauliwa au kutengwa na jamii
 
Kuhifadhi historia zilizotungwa na wazungu hii ndio shida yake unakua umebeba mzigo wa bure kabisa masikin!!
 
Mkuu huyo aliyeumba yupo wapi mlete tumuone usitudanganye na wewe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…