Urusi vs Wagner: Wagner wasitisha 'Uasi' na safari ya kwenda Moscow yasitishwa, wadai hawataki kumwaga damu ya Warusi

Pigo kwa madikitea duniani
 
Pigo kwa madikiteta woote duniani
 
Wizara ya mambo ya nje ya Uingereza imeonya kuhusu uwezekano wa kuwepo kwa hatari ya machafuko kote nchini Urusi, Taarifa ya London inakuja wakati huu pia ikitoa tahadhari kwa wasafiri baada ya Kundi la Wagner kudaiwa kuteka baadhi ya maeneo nchini Urusi.

Serikali ya Uingereza iliendelea kushauri dhidi ya safari zote kwenda Urusi.
 
Mkuu zile apdeit kuhusu waasi walio kuwa wanasonga mbele kuelekea Moscow ziliishia wapi?
 
Wewe ni msemaji wa jeshi gani Wagner PMC au Russia?
Washa TV muda huu Aljzaeera, CNN, nk., usijitie upofu kumekucha Russia mulisema mrusi hafikiki sasa kinyago kakichonga mwenyewe leo kinamtisha, na usishangae Wagner wakapata support kutoka upande ule mana ule upande una hela unalipa vizuri, hao Wagner walianza kukosana na Russia kwenye malipo yao, Urusi hawana hela
 
Ndani ya Urusi kuna zaidi ya wanajeshi laki sita ambao hawajihusishi kabisa na vita ya Ukraine.
 
Trump anarudi White house.
Msimamo wake ni:
1. Mungu aliumba mwanaume na mwanamke tu
2. Hakuna kitu kinaitwa wrong gender
3. Hataki vita.

Hivyo ushoga utakosa msukumo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…