Urusi vs Wagner: Wagner wasitisha 'Uasi' na safari ya kwenda Moscow yasitishwa, wadai hawataki kumwaga damu ya Warusi

Urusi vs Wagner: Wagner wasitisha 'Uasi' na safari ya kwenda Moscow yasitishwa, wadai hawataki kumwaga damu ya Warusi

Ndege iliyombeba raia wa Beralus Lukashenko imewasili nchini Uturuki. Lukashenko anahofia usalama wake mara baada ya wapiganaji wa Wagner wakiripotiwa kuelekea Moscow.
IMG_20230624_131137_130.jpg
 
Huu mpango umesukwa na West na kwa hakika Kuiangusha Russia ni pigo kwa Dunia nzima tutaambiwa tuwr mashoga woote ....naamini West watatumia vizuri ssna huu mtego kuishambulia Urusi vikali sana na hivyo hata jaribio la kumuua Putin litafanywa na ikiwezekana watamuua hapa hapa katika huu mzozo..Sioni kama Putin atanusurika na hili. MASHETANI yanatuumiza kwa kuisambaratisha Urusi..dah hii ni jambo baya sana...
Pigo kwa madikitea duniani
 
Wakati tunaendelea kufuatilia Wasafi TV wakitujulisha yanayojiri huko Dubai tukumbuke pia huko Duniani mambo ni Mengi

Kikosi cha Wagner huko Urusi ambacho kimeasi kimedai kitaingia hadi Moscow na kuung'oa Utawala wa Wala Rushwa na Mabazazi wa Rais Putin

Mh Prigozhin ambaye ni mkuu wa Wagner group amesema Putin atajua hajui

Sabato njema!
Pigo kwa madikiteta woote duniani
 
Wizara ya mambo ya nje ya Uingereza imeonya kuhusu uwezekano wa kuwepo kwa hatari ya machafuko kote nchini Urusi, Taarifa ya London inakuja wakati huu pia ikitoa tahadhari kwa wasafiri baada ya Kundi la Wagner kudaiwa kuteka baadhi ya maeneo nchini Urusi.

Serikali ya Uingereza iliendelea kushauri dhidi ya safari zote kwenda Urusi.
 
Msafara wa kijeshi wa kwanza wa wapiganaji wa Wagner ukianza kutoka mji wa Rostov kuelekea Moscow. Mkuu wa Wagner amesema kwamba watapiga na kuharibu na kuchoma moto chochote kitakachojaribu kuwazuia katika safari yao ya kuelekea Moscow. Amewataka raia wa Urusi kuwa watulivu na kukaa kwenye majumba yao. Pia amewataka wanajeshi wa Urusi kuweka chini Silaha zao kwani hawana nguvu za kupambana na wapiganaji wake. View attachment 2667266
Mkuu zile apdeit kuhusu waasi walio kuwa wanasonga mbele kuelekea Moscow ziliishia wapi?
 
Wewe ni msemaji wa jeshi gani Wagner PMC au Russia?
Washa TV muda huu Aljzaeera, CNN, nk., usijitie upofu kumekucha Russia mulisema mrusi hafikiki sasa kinyago kakichonga mwenyewe leo kinamtisha, na usishangae Wagner wakapata support kutoka upande ule mana ule upande una hela unalipa vizuri, hao Wagner walianza kukosana na Russia kwenye malipo yao, Urusi hawana hela
 
Hapo ukute keshawapa Ukraine coordinates za kambi za Russia ni swala la muda tu yale tuliyokuwa tukiambiwa kuwa Russia hatakuwepo Crimea mwisho wa mwaka kutokea.

Wagner wakipata nafasi hadi kesho itabidi wanajeshi watolewe Ukraine warudi Russia kupigana vita ya wenyewe kwa wenyewe
Ndani ya Urusi kuna zaidi ya wanajeshi laki sita ambao hawajihusishi kabisa na vita ya Ukraine.
 
Huu mpango umesukwa na West na kwa hakika Kuiangusha Russia ni pigo kwa Dunia nzima tutaambiwa tuwr mashoga woote ....naamini West watatumia vizuri ssna huu mtego kuishambulia Urusi vikali sana na hivyo hata jaribio la kumuua Putin litafanywa na ikiwezekana watamuua hapa hapa katika huu mzozo..Sioni kama Putin atanusurika na hili. MASHETANI yanatuumiza kwa kuisambaratisha Urusi..dah hii ni jambo baya sana...
Trump anarudi White house.
Msimamo wake ni:
1. Mungu aliumba mwanaume na mwanamke tu
2. Hakuna kitu kinaitwa wrong gender
3. Hataki vita.

Hivyo ushoga utakosa msukumo
 
Back
Top Bottom