MTZ 255Dar
JF-Expert Member
- Sep 25, 2018
- 1,149
- 3,963
- Thread starter
- #81
Ndege iliyombeba raia wa Beralus Lukashenko imewasili nchini Uturuki. Lukashenko anahofia usalama wake mara baada ya wapiganaji wa Wagner wakiripotiwa kuelekea Moscow.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Eeeeeh😃😃😃Msafara wa wapiganaji wa Wagner kuelekea Moscow. View attachment 2667304
Pigo kwa madikitea dunianiHuu mpango umesukwa na West na kwa hakika Kuiangusha Russia ni pigo kwa Dunia nzima tutaambiwa tuwr mashoga woote ....naamini West watatumia vizuri ssna huu mtego kuishambulia Urusi vikali sana na hivyo hata jaribio la kumuua Putin litafanywa na ikiwezekana watamuua hapa hapa katika huu mzozo..Sioni kama Putin atanusurika na hili. MASHETANI yanatuumiza kwa kuisambaratisha Urusi..dah hii ni jambo baya sana...
Urusi yaanza haribu maghala ya mafuta ili kuzuia Wagner wasipate mafuta yatayowezesha wao kufika Moscow
Lukashenko fala sana. Aliua maelfu ya wananchi wake kwa msaada wa Putin kisa madarakaNdege iliyombeba raia wa Beralus Lukashenko imewasili nchini Uturuki. Lukashenko anahofia usalama wake mara baada ya wapiganaji wa Wagner wakiripotiwa kuelekea Moscow. View attachment 2667305
Pigo kwa madikiteta woote dunianiWakati tunaendelea kufuatilia Wasafi TV wakitujulisha yanayojiri huko Dubai tukumbuke pia huko Duniani mambo ni Mengi
Kikosi cha Wagner huko Urusi ambacho kimeasi kimedai kitaingia hadi Moscow na kuung'oa Utawala wa Wala Rushwa na Mabazazi wa Rais Putin
Mh Prigozhin ambaye ni mkuu wa Wagner group amesema Putin atajua hajui
Sabato njema!
Sijui kuhusu hao wengine.And arabs too and europs na chinese pia.....Never trust human being with pink skins...
But you trust arabs and europenias eeeh??????Sijui kuhusu hao wengine.
Ila Never trust a jew.......
Mkuu zile apdeit kuhusu waasi walio kuwa wanasonga mbele kuelekea Moscow ziliishia wapi?Msafara wa kijeshi wa kwanza wa wapiganaji wa Wagner ukianza kutoka mji wa Rostov kuelekea Moscow. Mkuu wa Wagner amesema kwamba watapiga na kuharibu na kuchoma moto chochote kitakachojaribu kuwazuia katika safari yao ya kuelekea Moscow. Amewataka raia wa Urusi kuwa watulivu na kukaa kwenye majumba yao. Pia amewataka wanajeshi wa Urusi kuweka chini Silaha zao kwani hawana nguvu za kupambana na wapiganaji wake. View attachment 2667266
Big brain wash by religion,s of pinky people mkuuSijui kuhusu hao wengine.
Ila Never trust a jew.......
Mkuu hv ni kweli wagner wameasi au propaganda za magharibi???Mkuu zile apdeit kuhusu waasi walio kuwa wanasonga mbele kuelekea Moscow ziliishia wapi?
Washa TV muda huu Aljzaeera, CNN, nk., usijitie upofu kumekucha Russia mulisema mrusi hafikiki sasa kinyago kakichonga mwenyewe leo kinamtisha, na usishangae Wagner wakapata support kutoka upande ule mana ule upande una hela unalipa vizuri, hao Wagner walianza kukosana na Russia kwenye malipo yao, Urusi hawana helaWewe ni msemaji wa jeshi gani Wagner PMC au Russia?
You hate jew,s because they are better than everybody in everything or you hate them because some old scripture,s from saudi arabia taught you to hate Jew,s???Sijui kuhusu hao wengine.
Ila Never trust a jew.......
Ndani ya Urusi kuna zaidi ya wanajeshi laki sita ambao hawajihusishi kabisa na vita ya Ukraine.Hapo ukute keshawapa Ukraine coordinates za kambi za Russia ni swala la muda tu yale tuliyokuwa tukiambiwa kuwa Russia hatakuwepo Crimea mwisho wa mwaka kutokea.
Wagner wakipata nafasi hadi kesho itabidi wanajeshi watolewe Ukraine warudi Russia kupigana vita ya wenyewe kwa wenyewe
Trump anarudi White house.Huu mpango umesukwa na West na kwa hakika Kuiangusha Russia ni pigo kwa Dunia nzima tutaambiwa tuwr mashoga woote ....naamini West watatumia vizuri ssna huu mtego kuishambulia Urusi vikali sana na hivyo hata jaribio la kumuua Putin litafanywa na ikiwezekana watamuua hapa hapa katika huu mzozo..Sioni kama Putin atanusurika na hili. MASHETANI yanatuumiza kwa kuisambaratisha Urusi..dah hii ni jambo baya sana...