Urusi vs Wagner: Wagner wasitisha 'Uasi' na safari ya kwenda Moscow yasitishwa, wadai hawataki kumwaga damu ya Warusi

Rasmi: Wagner wamedhibiti 100% ya mji wa Rostov. Mkuu wa Wagner ateua Meya na Gavana mpya wa mji wa Rostov. Usafi umeanza kufanywa barabarani ili kuusafisha mji. View attachment 2667315
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ khaaa we mzee?
Kwamba rostov palikuwa pachafu?
Anaitwa nani mayor mpya?
 
Misafara mirefu ya wapiganaji wa Wagner ikielekea Moscow. Mjini Moscow kwenyewe yameandaliwa Malori makubwa ambayo yataziba njia ili kuzuia misafara ya Wagner kusonga mbele. Kiongozi wa Wagner amerudia kusema kwamba hakuna kitu chochote kile kinachoweza kuzuia jeshi lake kuingia mji wa Moscow.
Your browser is not able to display this video.
 
Jamaa ana msaada mkubwa sana kutoka West.
 
Nimekuuliza tu historia za hizo jamii nilizokutajia umezisoma mkuu???
Unaweza ukasoma wewe pia sio lazima mimi.
Unaweka dini mbele ( ukidhani mie ni muislam ).
Usilolijua mie ni mkristo wa kuzaliwa na wa Ubatizo.
Jews hawahusiani chochote na wakristo, wanafana na waislam kuliko hata wakristo.
So, usiparamie mambo kwa Mlengo wa kidini ( ulizoletewa ).
 
Saiz wanaenda Moscow,Kamatia huyo Choko Putin πŸ˜‚πŸ˜‚
 

Mkuu mbona hii clip inaonyesha haya mapigano ni usiku na wakati kwao saa hizi ni mchana! [emoji849][emoji849][emoji849][emoji849]
 
Better in everything mkuu..Kisiasa,kijeshi na kitechnolojia
Kisiasa? Aje......
Kulikuwa na maandamano juzi tu hapo wakipinga Udictator wa current Regime.
Kijeshi na tech? How....
Any millitary tech waliyogundua ambayo has influenced others?

Akili yako umeipeleka wapi mkuu naona saiv unatumia za Katekista au shemasi.
Nazihitaji akili zako....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…