MTZ 255Dar
JF-Expert Member
- Sep 25, 2018
- 1,149
- 3,963
- Thread starter
- #21
Wanajeshi wa Urusi wanajaribu kuuzingira mji wa Rostov ili kuzuia wapiganaji wa wagner wasisonge mbele.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Noma yeyePutin akichomoka na hapa nitamuona noma
Unthinkable and hard to digest.[emoji419][emoji375]Hahahaha. Kazi kweli, kinachoendelea Urusi ni Unthinkable and hard to digest. Muda utaongea.
Yeah......Prigo ni Jew?
Kama ni kweli,hawezi chomoka. MAANA Prigo anamjua Putin kuliko mtu yeyote yule.Unless Prigo auwawe.
Hivi unajua unachoongea[emoji23]? Jamaa Wana vitu ni hatari just fatilia kwenye huo msafara wao. Wana hadi air defenseKuna watu hawajui PMC hawawezi kusonga mbele maana hawana ndege vita hawana baadhi ya ammunition walizokuwa wanapewa na Jeshi. Hivyo cant fight RF.
Hili la wegner halikutegemewa kabisa.Msafara wa kijeshi wa kwanza wa wapiganaji wa Wagner ukianza kutoka mji wa Rostov kuelekea Moscow. Mkuu wa Wagner amesema kwamba watapiga na kuharibu na kuchoma moto chochote kitakachojaribu kuwazuia katika safari yao ya kuelekea Moscow. Amewataka raia wa Urusi kuwa watulivu na kukaa kwenye majumba yao. Pia amewataka wanajeshi wa Urusi kuweka chini Silaha zao kwani hawana nguvu za kupambana na wapiganaji wake. View attachment 2667266
Warusi wa Mbutu mna hasira balaa...tulia sindano imwage dawa kwanzaWewe ni msemaji wa jeshi gani Wagner PMC au Russia?
Kabla hajafanywa ngoja awafanye.prigo atafanywa
kitu kibaya.sana
kama
zelesky
Pole nabii wa UrusiNdani ya masaa 24 kila kitu kitakwisha na Russia itaendelea kuchukua maeneo Ukraine.
Huu ujasiri wa Prigo si bure, huenda ameona wazi kuwa Putin hachomoi na pia huenda anaungwa mkono na makamanda wa serikali au hata amepokea dau nono toka NatoKama ni kweli,hawezi chomoka. MAANA Prigo anamjua Putin kuliko mtu yeyote yule.Unless Prigo auwawe.