Urusi vs Wagner: Wagner wasitisha 'Uasi' na safari ya kwenda Moscow yasitishwa, wadai hawataki kumwaga damu ya Warusi

Urusi vs Wagner: Wagner wasitisha 'Uasi' na safari ya kwenda Moscow yasitishwa, wadai hawataki kumwaga damu ya Warusi

Msafara wa kijeshi wa kwanza wa wapiganaji wa Wagner ukianza kutoka mji wa Rostov kuelekea Moscow. Mkuu wa Wagner amesema kwamba watapiga na kuharibu na kuchoma moto chochote kitakachojaribu kuwazuia katika safari yao ya kuelekea Moscow. Amewataka raia wa Urusi kuwa watulivu na kukaa kwenye majumba yao. Pia amewataka wanajeshi wa Urusi kuweka chini Silaha zao kwani hawana nguvu za kupambana na wapiganaji wake.
 
Mbwa kala mbwa. Putin alitishia kutumia nyuklia, hakujua mchezo unaweza ukachezwa ndani kwa ndani, sasa humo ndani hawezi akatumia nyuklia.
======
wagna.jpg


President Vladimir Putin vowed Saturday he would not allow Russia to slip into civil war, after the leader of the Wagner mercenary force seized a key military headquarters overseeing the offensive in Ukraine.

The rapidly moving events mark the most serious challenge yet to the Kremlin chief's long rule and Russia's most serious security crisis since he came to power in late 1999.

Wagner chief Yevgeny Prighozin said his troops had taken control of the military command center and an airbase in the southern city of Rostov-on-Don, and vowed to topple Moscow's top military leaders.

Responding in a televised address, Putin slammed his former ally — whose private army provided some of the most successful shock troops in Moscow's offensive in Ukraine — for a "stab in the back" that posed a threat to Russia's very survival.

"Any internal turmoil is a deadly threat to our statehood and to us as a nation. This is a blow to Russia and to our people," Putin said.

"This battle, when the fate of our people is being decided, requires the unification of all forces."

"What we have been faced with is exactly betrayal. Extravagant ambitions and personal interests led to treason," Putin said, referring to Prigozhin, who built a powerbase as a catering contractor to the Kremlin, and now runs a powerful private military force.

"All those who consciously stood on the path of betrayal, who prepared an armed rebellion, stood on the path of blackmail and terrorist methods, will suffer inevitable punishment, before the law and before our people," Putin vowed.

The Russian president's speech came shortly after Prighozin posted a message of his own, apparently filmed in Rostov-on-Don, accusing the Russian military leadership of betrayal and failure in the ongoing battle against Ukrainian forces.

"A huge amount of territory is lost. Soldiers have been killed, three, four times more than what it says in documents shown to the top," he said, accusing military commanders of hiding the true scale of Russian losses in Ukraine from the Kremlin.

"Military sites in Rostov, including an aerodrome, are under control," he said, adding that warplanes taking part in the Ukraine offensive "are leaving as normal."

The Moscow Times
 
Msafara wa kijeshi wa kwanza wa wapiganaji wa Wagner ukianza kutoka mji wa Rostov kuelekea Moscow. Mkuu wa Wagner amesema kwamba watapiga na kuharibu na kuchoma moto chochote kitakachojaribu kuwazuia katika safari yao ya kuelekea Moscow. Amewataka raia wa Urusi kuwa watulivu na kukaa kwenye majumba yao. Pia amewataka wanajeshi wa Urusi kuweka chini Silaha zao kwani hawana nguvu za kupambana na wapiganaji wake. View attachment 2667266
Hili la wegner halikutegemewa kabisa.
 
prigo atafanywa
kitu kibaya.sana
kama
zelesky
Kabla hajafanywa ngoja awafanye.
Kumbuka hii ni vita ndani ya Urusi, hakuna kurusha kombora nzito mtaua raia wenu, anzeni kujipaka mafuta kitu ya moto inakuja kunako😂😂😂..
Hasa wewe MakinikiA umekua na kiherehere sana, sasa bawanako anakwenda na maji🤣🤣🤣

Wapi lile li Sikirimimimasikini 😂😂😂
 
Mapigano ya kwanza yameripotiwa kati ya wapiganaji wa Wagner na jeshi la Urusi katika mji wa Rostov. Wanajeshi wa Urusi walikuwa wameweka vizuizi vya barabarani lakini Wagner wamesambaratisha vizuizi hivyo. Wanajeshi 38 wa Urusi wamejisalimisha kwa wapiganaji hao.
 
Back
Top Bottom