HIMARS
JF-Expert Member
- Jan 23, 2012
- 70,791
- 98,334
Wana pantsirHivi unajua unachoongea[emoji23]? Jamaa Wana vitu ni hatari just fatilia kwenye huo msafara wao. Wana hadi air defense
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wana pantsirHivi unajua unachoongea[emoji23]? Jamaa Wana vitu ni hatari just fatilia kwenye huo msafara wao. Wana hadi air defense
Ilianza utani utani ila baada ya kutangazwa kuuawa inabidi wafanye kweli ndo maana waona wameanza choma depots na kuangusha ndegeHili la wegner halikutegemewa kabisa.
Wagner ni battle hardened na ndo waliwasumbua sana Ukraine na Ukraine ilikiri hiloMapigano ya kwanza yameripotiwa kati ya wapiganaji wa Wagner na jeshi la Urusi katika mji wa Rostov. Wanajeshi wa Urusi walikuwa wameweka vizuizi vya barabarani lakini Wagner wamesambaratisha vizuizi hivyo. Wanajeshi 38 wa Urusi wamejisalimisha kwa wapiganaji hao. View attachment 2667271
Amka mkuu kumekuchaSoon utasikia stori tofauti na hizo ni suala la mda hamna mjinga wale wanaelewana tu.
Unajitoa ufahamu burePossibilities
1. PSYOP( no bullets fired mpaka saiv)
2.Prizoghin Against Shoigu hence against putin.
Worst case scenario, Civil war ( very unlikely).
Na akapewa jina la Ole PutinMwamba huyu hapa. Atawaflchapa sana Western. Vibaya sana. Hapa ame jidisguise huwezi mtambua. Alikuja bongo akaa na Wamasai mwezi mzima bila watu kujua
Huyu Chidbenz wenu sasa yuko kina kirefuPutin namkubali Sana hashindwi kirahisiView attachment 2667267
Hichi ni kipimo cha uimara wa waserikali ya Putin ndani ya Urusi.Ilianza utani utani ila baada ya kutangazwa kuuawa inabidi wafanye kweli ndo maana waona wameanza choma depots na kuangusha ndege
And arabs too and europs na chinese pia.....Never trust human being with pink skins...Never trust a Jew.....
Mkuu una misamiati🤣🤣😂😂Hichi ni kipimo cha uimara wa waserikali ya Putin ndani ya Urusi.
What about black skin?And arabs too and europs na chinese pia.....Never trust human being with pink skins...
Huu mpango umesukwa na West na kwa hakika Kuiangusha Russia ni pigo kwa Dunia nzima tutaambiwa tuwr mashoga woote ....naamini West watatumia vizuri ssna huu mtego kuishambulia Urusi vikali sana na hivyo hata jaribio la kumuua Putin litafanywa na ikiwezekana watamuua hapa hapa katika huu mzozo..Sioni kama Putin atanusurika na hili. MASHETANI yanatuumiza kwa kuisambaratisha Urusi..dah hii ni jambo baya sana...
Ni kawaida ukimtumia mtu kuua watu usipomuwahi ukamuua yeye ipo siku atakugeuka.Nakosa Cha kuchangia.
Ila ni uwendawazimu nchi kutumia jeshi la kukodi na kulipeleka vitani.
Bila shaka hao Wagner wamefika Bei kwa NATO.
si,unajua biashara tena zilivyo?!
Am black so kila mwamba ngoma huvutia kwakeWhat about black skin?
Kweli auUrusi yaanza haribu maghala ya mafuta ili kuzuia Wagner wasipate mafuta yatayowezesha wao kufika Moscow
Tunasemwa tuna inefficiency! Jambo ambalo si KweliWhat about black skin?