Urusi vs Wagner: Wagner wasitisha 'Uasi' na safari ya kwenda Moscow yasitishwa, wadai hawataki kumwaga damu ya Warusi

Urusi vs Wagner: Wagner wasitisha 'Uasi' na safari ya kwenda Moscow yasitishwa, wadai hawataki kumwaga damu ya Warusi

Lukashenko amekimbilia Uturuki, Medvedev na familia yake wamekuwa evacuated kutoka Moscow, Putini ameelekea St Petersburg na wanajeshi wengi wa Urusi wanaungana na Wegner tuendelee kula mtori nyama zipo chini;

Ila imekuwa ghafla sana tofauti na matazamio.So sad
Mbona wameogopa mapema?

Wangekomaa ka Zelensky
 
Misafara mirefu ya wapiganaji wa Wagner ikielekea Moscow. Mjini Moscow kwenyewe yameandaliwa Malori makubwa ambayo yataziba njia ili kuzuia misafara ya Wagner kusonga mbele. Kiongozi wa Wagner amerudia kusema kwamba hakuna kitu chochote kile kinachoweza kuzuia jeshi lake kuingia mji wa Moscow. View attachment 2667319
Uzuri ni kwamba unamwaga mavideo kabisa.
 
Ilikuwa ni ujinga na upumbavu mkubwa watu kushabikia kuwa NATI amefyata mkia kwa Rusdia.
Tuliwaambia NATO anapigana akiwa amekaa mezani na kunywa mvinyo...pro Putin walitutukana sana.

Hadi sasa uchumi wa Russia utayumba zaidi ya miaka 20 ijayo.

Putin hana uhakika kuwa salama hadi muda huu na ujao.

Tusubiri na tuombe uzima...nahisi Nato wako bega kwa bega na Wegner
Usikute kila hatua wanayopiga NATO ndio wapo nyuma yao, hapana sio nyuma yao. Wapo mbele yao.
 
Posted at 15:2315:23

Wagner took city without firing a single shot - Prigozhin

We've been reporting that the rebelling Wagner Group mercenaries have claimed they now control Rostov-on-Don in southern Russia.

In a new audio message posted on Wagner's Telegram page, Yevgeny Prigozhin claims his troops took the city "without a single shot being fired [by us]".

He also claims residents of Rostov-on-Don were supporting his troops because of their continuing "justice march".

Russia's state-run media has broadcast footage apparently showing Rostov residents arguing with Wagner troops and urging them to obey orders by President Vladimir Putin.

The claims have not been independently verified.
 
Kuna watu hawajui PMC hawawezi kusonga mbele maana hawana ndege vita hawana baadhi ya ammunition walizokuwa wanapewa na Jeshi. Hivyo cant fight RF.
Usichukulie poa huu uasi, ikiwa wameteka kambi ya jeshi bila kufyatua risasi, ujue kuna uasi katika jeshi la Russia pia, hii ni hatari zaidi kuliko hara uasi wa Wegner
 
Mzee kwenye harakati za madaraka, YASIYOFIKIRIKA KABISA HUTOKEA.

Nakupa mfano, wakati RPF Wanaingia kijeshi Rwanda siku ya kwanza tu, na kupata mafanikio makubwa, Rwigyema (swahiba, mwanamipango mwenza wa Kagame) jasusi na kiongozi wa vikosi, anauawa akiwa ndani ya kambi yake mwenyewe. Hili hadi majeshi ya Rwanda yenyewe yalipigwa na Butwaa.

Baada ya tukio hili, haijalishi matokeo, kutakuwa na mageuzi makubwa ya kijeshi na kisiasa Urusi na kwenye SMO yao.
Mpe darasa la historia pimbi huyo.
 
Back
Top Bottom