kikiboxer
JF-Expert Member
- Dec 22, 2017
- 3,668
- 9,809
Watavurumisha kwa nani na wanapigana wenyewe?Any time from now nuclear zinavurumishwa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Watavurumisha kwa nani na wanapigana wenyewe?Any time from now nuclear zinavurumishwa
Mbona wameogopa mapema?Lukashenko amekimbilia Uturuki, Medvedev na familia yake wamekuwa evacuated kutoka Moscow, Putini ameelekea St Petersburg na wanajeshi wengi wa Urusi wanaungana na Wegner tuendelee kula mtori nyama zipo chini;
Ila imekuwa ghafla sana tofauti na matazamio.So sad
Hawawezi shindwa maana tayari Moscow Russia kaanza chimba mahandaki ya kujilinda.If wagner wakashindwa ktk hili jaribio lao, ni ngumu wao kuendelea pale Ukraine. Kazi rahisi kwa Ukraine kurejesha ardhi yao.
Uzuri ni kwamba unamwaga mavideo kabisa.Misafara mirefu ya wapiganaji wa Wagner ikielekea Moscow. Mjini Moscow kwenyewe yameandaliwa Malori makubwa ambayo yataziba njia ili kuzuia misafara ya Wagner kusonga mbele. Kiongozi wa Wagner amerudia kusema kwamba hakuna kitu chochote kile kinachoweza kuzuia jeshi lake kuingia mji wa Moscow. View attachment 2667319
Kwa kuharibu nchi yake?Hii naona ni technique ya Urusi kujiondoa Ukraine.
Pro putin ni viande umeona alivyojibu. Wana akili mbovu mno. Yani mpaka hapo hajui kuwa maji yamekorogeka.Kwa kuharibu nchi yake?
Kwa kujiabisha?
Kwa kulipua ndege zake?
Ha ha ha ha kwani zile hypersonic missile hazipo tena?Helikopta nyingine ya kijeshi ya Urusi imeangushwa Chini. Ilikuwa inataka kuwashambulia wapiganaji wa Wagner kwenye misafara yao kuelekea Moscow. View attachment 2667322
Usikute kila hatua wanayopiga NATO ndio wapo nyuma yao, hapana sio nyuma yao. Wapo mbele yao.Ilikuwa ni ujinga na upumbavu mkubwa watu kushabikia kuwa NATI amefyata mkia kwa Rusdia.
Tuliwaambia NATO anapigana akiwa amekaa mezani na kunywa mvinyo...pro Putin walitutukana sana.
Hadi sasa uchumi wa Russia utayumba zaidi ya miaka 20 ijayo.
Putin hana uhakika kuwa salama hadi muda huu na ujao.
Tusubiri na tuombe uzima...nahisi Nato wako bega kwa bega na Wegner
Utaaibika soon.....Pro putin ni viande umeona alivyojibu. Wana akili mbovu mno. Yani mpaka hapo hajui kuwa maji yamekorogeka.
Hao wadudu watakuwa wakizengea Kremlin kitambo sana, walishachora ramani imebaki utekelezaji, na watekelezaji ndio hawa Wegner sasaUsikute kila hatua wanayopiga NATO ndio wapo nyuma yao, hapana sio nyuma yao. Wapo mbele yao.
Muda huu akiwa ameweka akili kwa raia na uasi wa Wegner, Ukraine itapumua na kujipanga zaidi kushambuliaPole sana kwa Putin.
Tafsiri ya kilichoongelewa hapo tafadhaliWanajeshi wa Urusi wanajaribu kuuzingira mji wa Rostov ili kuzuia wapiganaji wa wagner wasisonge mbele. View attachment 2667259
Ndiyo waliipakata Russia sasa imewanyea wameamua kuitupa chiniHili la wegner halikutegemewa kabisa.
Usichukulie poa huu uasi, ikiwa wameteka kambi ya jeshi bila kufyatua risasi, ujue kuna uasi katika jeshi la Russia pia, hii ni hatari zaidi kuliko hara uasi wa WegnerKuna watu hawajui PMC hawawezi kusonga mbele maana hawana ndege vita hawana baadhi ya ammunition walizokuwa wanapewa na Jeshi. Hivyo cant fight RF.
Best wake anamsaliti. 😍Pole sana kwa Putin.
Na kinachoogopesha mpaka Sasa hivi wamebakisha kilometer 320 kufika Moscow na hawakutani na upinzani mkubwa inaonekana hata jeshi limeasi kimya kimya.Usichukulie poa huu uasi, ikiwa wameteka kambi ya jeshi bila kufyatua risasi, ujue kuna uasi katika jeshi la Russia pia, hii ni hatari zaidi kuliko hara uasi wa Wegner
Mpe darasa la historia pimbi huyo.Mzee kwenye harakati za madaraka, YASIYOFIKIRIKA KABISA HUTOKEA.
Nakupa mfano, wakati RPF Wanaingia kijeshi Rwanda siku ya kwanza tu, na kupata mafanikio makubwa, Rwigyema (swahiba, mwanamipango mwenza wa Kagame) jasusi na kiongozi wa vikosi, anauawa akiwa ndani ya kambi yake mwenyewe. Hili hadi majeshi ya Rwanda yenyewe yalipigwa na Butwaa.
Baada ya tukio hili, haijalishi matokeo, kutakuwa na mageuzi makubwa ya kijeshi na kisiasa Urusi na kwenye SMO yao.