Urusi vs Wagner: Wagner wasitisha 'Uasi' na safari ya kwenda Moscow yasitishwa, wadai hawataki kumwaga damu ya Warusi

Urusi vs Wagner: Wagner wasitisha 'Uasi' na safari ya kwenda Moscow yasitishwa, wadai hawataki kumwaga damu ya Warusi

Mtu asiyeelewa mambo ndio ataona wakristo na wayahudi ni kitu kimoja.
Wayahudi ni watu wabaya kwa waislamu na wakristo na hawaaminiki kwa lolote.Japo ni wana uadui sana kwa uislamu kutokana na mafunzo yake ambayo hayawataji wao kwa vyema.Mayahudi Si watu wa kuwakaribisha katika nchi lazima watajizamisha kwenye pesa halafu watavuruga nchi. Nilisikia Sudan eti ilirudisha uhusiano na Israel hata mwaka haukufika wamepiganishwa.
 
Asee wakuu mm sijaelewa vizur nn kimetokea wagner kuwa against Russia wakat walikuwa wanatumiwa na puttin..nielekezeni wazee wa anga za kinataifa.
NATO na US wanapelekeshwa na kampuni binafsi ya Ulinzi. Yaana ka vile wanapambana na walinzi wa SUMA JKT au KK Security
 
mtu wa kalibu ni rahisi kukuangamiza kuliko mtu yeyote ,mtu anaweza kumtumia ndugu au rafiki yako mwenyewe kukuroga,kukuua,kukuibia n.k.hawakukosea walipo sema mchawi ndugu. putin piga hao maboya wanaotumiwa na maadui zako kukuangamiza
 
Wayahudi ni watu wabaya kwa waislamu na wakristo na hawaaminiki kwa lolote.Japo ni wana uadui sana kwa uislamu kutokana na mafunzo yake ambayo hayawataji wao kwa vyema.Mayahudi Si watu wa kuwakaribisha katika nchi lazima watajizamisha kwenye pesa halafu watavuruga nchi. Nilisikia Sudan eti ilirudisha uhusiano na Israel hata mwaka haukufika wamepiganishwa.
Acheni story za vibarazani hizo. Nendeni mkaisaidie Russia kupambana na KK Security
 
Wayahudi ni watu wabaya kwa waislamu na wakristo na hawaaminiki kwa lolote.Japo ni wana uadui sana kwa uislamu kutokana na mafunzo yake ambayo hayawataji wao kwa vyema.Mayahudi Si watu wa kuwakaribisha katika nchi lazima watajizamisha kwenye pesa halafu watavuruga nchi. Nilisikia Sudan eti ilirudisha uhusiano na Israel hata mwaka haukufika wamepiganishwa.
Ukisoma historia mika tangu medieval Europe, walikuwa wanabuguliwa sababu ya tabia zao.
 
Wapiganaji wa Wagner waelekea Moscow kuuondoa utawala wa kijeshi unaoongozwa na SERGEI SHOIGRU. Kiongozi wa Wagner anadai kwamba majeshi ya urusi yamekuwa yakishambulia kambi zao nchini UKRAINE.

Huu Uzi nitatoa update ya kila kinachoendelea.

=====
Update: Maafisa wa Ukraine wasema watatumia 'mapinduzi ya kijeshi' nchini Urusi kurejesha eneo lililochukuliwa

Katika tishio moja kwa moja kwa mamlaka ya Putin, Yevgeny Prigozhin, kiongozi wa Wagner, aliishutumu jeshi la Moscow kwa kupiga bomu askari wake na kudhibiti jiji muhimu la Urusi mapema asubuhi.

Kiongozi huyo mwenye msimamo mkali wa jeshi binafsi maarufu zaidi ulimwenguni aliahidi kwenda kwenye mji mkuu kwa kulipiza kisasi.

Katika hotuba isiyokuwa ya kawaida, Bwana Putin alilitaja tukio hilo kuwa "uhaini" na akasema wale wanaounga mkono vitisho na njia za kigaidi watapata adhabu isiyoweza kuepukika.

Rais wa Ukraine, Zelensky, alivunja ukimya na kusema kuwa hii ni mfano mwingine wa "udhaifu kamili wa Urusi".

=====

Mamlaka katika eneo la Lipetsk nchini Urusi waagiza watu kubaki nyumbani

Mamlaka katika eneo la Lipetsk nchini Urusi walitoa wito kwa watu kubaki ndani ya nyumba zao kwa sababu za usalama.

Walitoa onyo hilo kutokana na ripoti kuwa wapiganaji wa Wagner walikuwa wakitumia eneo hilo wakati wa safari yao kuelekea Moscow.

=====

Wagner wateka makao makuu ya jeshi la Urusi ukanda wa Kusini
Gavana wa Voronezh, nchini Urusi alisema Jumamosi kuwa huduma za dharura zilikuwa zikijaribu kuzima tanki la mafuta linalowaka katika kituo cha mafuta.

Zaidi ya askari zimamoto 100 na vifaa 30 vya kuzimia moto walikuwa wakifanyia kazi katika eneo hilo, alisema Gavana Alexander Gusev kupitia Telegram.

Awali Jumamosi, chanzo cha usalama nchini Urusi kiliiambia Reuters kuwa wapiganaji wa Wagner walidhibiti vituo vya kijeshi katika jiji la Voronezh, umbali wa kilomita 500 (maili 310) kusini mwa Moscow. Reuters hawakuweza kuthibitisha madai hayo.
Kazi iendelee, naomba pro Russia waendeleze ule ushabiki wao wa siku zote
 
Kabisa mkuu....huenda hii Vita ikawa mwisho wa zama za Mzee Putin.

Jamaa alikurupuka kuingia vitani.
T14 Armata Kichuguu
Mkuu niko shamba ila sitaki kuamini kama kampuni binafsi inaweza tishia usalama wa taifa teule, superpower
20230306_181157.jpg
 
Back
Top Bottom