Urusi vs Wagner: Wagner wasitisha 'Uasi' na safari ya kwenda Moscow yasitishwa, wadai hawataki kumwaga damu ya Warusi

Urusi vs Wagner: Wagner wasitisha 'Uasi' na safari ya kwenda Moscow yasitishwa, wadai hawataki kumwaga damu ya Warusi

Screenshot_20230624-224809_Twitter.jpg


Leo sakata la DP World lilipotezwa mjini twitter
 
Hili lilikuwa chezo wanatuchezea wapuuzi Hawa, haiwezekani watu wateke Kambi ya kesho bilakufa mtu hata mmoja walakurushiana risasi, alafu eti watu wapo road na msafara wa magar ya jeshi wanakuambia wanakuja kumla kichwa Rais wa nchi mnawangojea mji mkuu ndio mpambane nao haingii akilini.
Umewaza Kama Mimi,
Kuna wengine washaanza kuzusha helcopter 7 zimeangushwa.

Hi ilkua plan bhana[emoji16]
 
Huko Washington ni mwendo wa kugonga cheers, kupigiana simu na kucheka kikuda! Hajanya mtu huko Urusi saa 24 zilizopita. 😁
 
ngozi nyeusi bhna tabu tupu kazi kupiga kelele kushadadia mambo yasiyo wahusu,mara cjui putin atakoma sijui wagner kafanyaje upuuzi mtupu.
badala muangalie ya nchini kwenu kazi kuleta ujuaji thats why i sayed black people waliumbwa kwa majaribio ndo zikaja race nyingne uwezo wenu wa kufikiri ni poor
Wee uku Uzi wa international umefata nn
 
Back
Top Bottom