DeepPond
JF-Expert Member
- Nov 18, 2017
- 41,728
- 103,997
Yanaletwa na chuki yangu kwa Mashoga na watetezi wa upinde[emoji16]Haya mahaba ya kiwango hichi mnayatoa wapi? Aisee.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yanaletwa na chuki yangu kwa Mashoga na watetezi wa upinde[emoji16]Haya mahaba ya kiwango hichi mnayatoa wapi? Aisee.
Putin sio mwehu hawezi akapigana katika nchi yakeUnoma wake upi wakati wanamgambo wamemjambisha
Umewaza Kama Mimi,Hili lilikuwa chezo wanatuchezea wapuuzi Hawa, haiwezekani watu wateke Kambi ya kesho bilakufa mtu hata mmoja walakurushiana risasi, alafu eti watu wapo road na msafara wa magar ya jeshi wanakuambia wanakuja kumla kichwa Rais wa nchi mnawangojea mji mkuu ndio mpambane nao haingii akilini.
Unoma wake upi wakati wanamgambo wamemjambisha
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]aibu mkuu, Wagner wamerudiLeteni propaganda zote lakini wagner kesho wako Moscow
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]mafaller hao walishaanza ngebepro ukraine tunapita kwa kusonya,lol
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]ulkua uchizi wa SGR[emoji16]Kwamba na nyie mkaamini hao Wagner eti wanaenda kumla kichwa Putin.!!?
Angalia usije ukajinyea mkuuMmm ona sasa watetezi wa urusi mko wapi jitokezen.miji inawaka moto huko
Kwaiyo kichapo kwa Ukraine kinaendlea[emoji16]Prigozhin in audio message: To avoid bloodshed we are returning our convoys to bases.
Mchezo umeishaisha, turudini Donbass
Prigo Ni bingwa wa propaganda[emoji1787][emoji38]Naona Leo pro ukraine waliamua kuwa upande wa wagina kudadeki
Leo naona urusi ilikuwa inacheza na akili za watu
Wee uku Uzi wa international umefata nnngozi nyeusi bhna tabu tupu kazi kupiga kelele kushadadia mambo yasiyo wahusu,mara cjui putin atakoma sijui wagner kafanyaje upuuzi mtupu.
badala muangalie ya nchini kwenu kazi kuleta ujuaji thats why i sayed black people waliumbwa kwa majaribio ndo zikaja race nyingne uwezo wenu wa kufikiri ni poor
[emoji16][emoji1787][emoji16][emoji1787]huyuu prigoo kanikeraa sanaa.
Wabongo washasahau bandari yao
Mimi nipoMmm ona sasa watetezi wa urusi mko wapi jitokezen.miji inawaka moto huko
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji38][emoji38][emoji38]