Urusi yasitisha safari za ndege kati yake na Tanzania

"I would like to note that, based on the analysis of epidemiological data, we decided to suspend air traffic with the United Republic of Tanzania also from April 15 to June 1, 2021" -Naibu waziri mkuu wa Urusi Tatiana Golikova hapa amedhibitisha mambukizi yapo Tanzania hadi kufikia kusitisha safari za ndege."
 
Wacha wazuie Mungu atafanya njia kwa namna nyingine bora zaidi. Who are They?
 
Msimamo wake utatokana na kamati iliyoundwa, hilo unajua, sasa sijui unauliza nini.Rais Samia hajawahi kubeza wanaovaa Mask, sasa sijui Tz ina marais wangapi kwa sasa.
 
Akunyimaye kande...😂!
 
Tatizo si pesa, kwa sababu, kuna chanjo za COVAX zinatolewa bure nchi nyingi za Afrika wameshapata.

Tanzania serikali imekataa.
Kama kungekuwa kuna chanjo za bure basi wangepewa Kenya jinsi wanavuojua kijipendekeza kwa wazungu Lakini badala yake Kenya chanjo wamenunua
 
Samia wamekanyaga mguu hapa ili aruhusu chanjo 🤣🤣🤣
 
Ushazoea eehh? Waulize zanzibar ambao ndio wataumia sana na hii hatua ya urusi. Maana zenji warusi ndio walikua watalii wengi

Kila weekend kuna Airbus la Russia [emoji635] linashusha watalii na kurudsha but corona ilpokuja wakastop
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…