US dola imejaa mpaka inamwagika, hongera sana Samia, hongera mwigulu

Acha upumbavu wako wewe, Kenya hali ni hivyo hivyo, karibia kila mahali, sasa Samia anahusikaje?
 
Dola itazidi kuporomoka kiwango kwa sababu matumizi yake yameshuka sana mathalani nchi za BRICKS wanaruhusu kupokea malipo kwa currency nyengine nje ya Dola. Just imagine unalipia mzigo toka China kwa Chinese Yuan ambazo utazipata kupitia Bank ya China iliyopo mtaa wa Samora. Pia mgogoro wa Ukraine umefanya Russia kuisusa Dola hivyo kuiacha ipatikane sokoni kwa wingi. Ila tubakize akiba ya maneno kwa sababu kuanzia mwezi ujao Trump amedhamiria kuifanya Dola ipande tena thamani yake.
 
Huu ndiyo wa speculate baada ya siku kumi unapiga bingo
 
watu wanakula mlo mmoja hali.mbaya mtaani wewe unashangikia dola kushuka, kwanza wananchi hawajui dola ndiyo nn.
 
Hayo yote yalikuwa yanamsubiria Samia au? 😆😆😆

Mkuu Bado hujasema Hadi useme 👇 👇

View: https://www.instagram.com/p/DDgfxfXoMzM/?igsh=MWNleHc1bThldm10bw==
 
Yana wivu hayo masenge yaani yalikalia kuona Samia anafeli Sasa ameyaumbua kote.

Kuanzia Mafuta,chakula,Dola na Kila kitu mambo ni 🔥 🔥 👇 👇

View: https://x.com/manywele_ze/status/1867583573454209487?t=BeNUIDGTcfGDT_FjbQr62A&s=19
 
US anahusikaje na kushuka Kwa Dola? Mnaelewa mechanism ya soko la Dunia au unajisemesha tuu ?

Na Bado itashuka sana 👇👇

View: https://x.com/manywele_ze/status/1867583573454209487?t=BeNUIDGTcfGDT_FjbQr62A&s=19
Mbona una mizuka wenzako wanatoa sababu za kiuchumi ww unaleta mipasho.Hujanipa hoja kiuchumi, hivi kwa akili yako unazani US anapenda hali hii? Hivi unajua jinsi jamaa wanavyojua propaganda na fitina? Ndio maana nikasema inaweza ikabounce back na kufikia 3000 ndani mda mfupi.
 
Si lazima mpaka akwambie yeye, unaweza kugoogle ukapata kila kitu

Kwa ufupi ni tumeuza sana inje kuliko tulivyoagiza, akiba imeongezeka,matumizi ya serikali yamedhibitiwa,
Yaani kwa ufupi ni neema juu ya neema.

Mama akikosea tumseme lakini akipatia tumsifu, na huo ndio uungwana
 
So kwa hiyo ana argue kwa asiyo yajua? Hivi unajua maana ya reference? Hili jukwaa hujakatazwa kureference kutoka kwenye source yoyote na ndio ubishani wa kisomi, usomi wako unaonekana kwa kurefer.

Mpaka sijapata majibu jua sina reference sasa yy anipe reference au kama wewe unazo kutokwa kwenye vyanzo vya uhakika unaweza ukamsaidia. Sababu dollar imedrop karibia kwa duniani kote na imekuwa kwa kushtukiza na kwa mda mfupi kwa hoja yako basi hizi nchi zote zinasafirisha sana mazao.
 
Sio kweli kwamba ni ghafla, kama umfuatiliaji ni karibu mwezi sasa inapungua kidogo kidogo, ila this week ndio ikashuka sana,
Ref ni mhimu kwa urahisi ila nawe acha uvivu tuokoe mda
 
Sio kweli kwamba ni ghafla, kama umfuatiliaji ni karibu mwezi sasa inapungua kidogo kidogo, ila this week ndio ikashuka sana,
Ref ni mhimu kwa urahisi ila nawe acha uvivu tuokoe mda
Uvivu upi? Mimi kwenye kile ninacho kijua humu JF huwaga na kielezea na kama kuna reference huwaga naweka na ndio msingi wa malumbano ya hoja ambayo hujenga.

Sasa naona na ww unateleta taarabu mara mvivu sijui nini,kama ww unajua chambua weka na reference kama hujui kaa kimya,wanaojua wananielezea.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…