mahindi hayaoti mjini
JF-Expert Member
- Nov 29, 2022
- 2,120
- 2,709
- Thread starter
- #181
Leo saa hii ni 2317/=Sawa chawa!! tumekusikia.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Leo saa hii ni 2317/=Sawa chawa!! tumekusikia.
Acha upumbavu wako wewe, Kenya hali ni hivyo hivyo, karibia kila mahali, sasa Samia anahusikaje?Hakuna rais wala waziri wa fedha hata mmoja aliyewahi kuishusha us dola namna hii,
Hongereni sana, kutoka 2850/= mpaka 2400/=?
Hakuna kama Mama, kama mitaa tu ni hivi, je uchaguzi mkuu si tutaogelea kwenye asali na maziwa?
Mama na akae mpaka achoke
NB:
Mkijua kulaumu, mjue na kupongeza
Haya ni masuala ya uchumi bwashee,Ni nani aliyefanya ikosekane!!!??? Au ndio mwendo wa tengeneza tatizo, litatue wakusifie🚮
Dola itazidi kuporomoka kiwango kwa sababu matumizi yake yameshuka sana mathalani nchi za BRICKS wanaruhusu kupokea malipo kwa currency nyengine nje ya Dola. Just imagine unalipia mzigo toka China kwa Chinese Yuan ambazo utazipata kupitia Bank ya China iliyopo mtaa wa Samora. Pia mgogoro wa Ukraine umefanya Russia kuisusa Dola hivyo kuiacha ipatikane sokoni kwa wingi. Ila tubakize akiba ya maneno kwa sababu kuanzia mwezi ujao Trump amedhamiria kuifanya Dola ipande tena thamani yake.Hakuna rais wala waziri wa fedha hata mmoja aliyewahi kuishusha us dola namna hii,
Hongereni sana, kutoka 2850/= mpaka 2400/=?
Hakuna kama Mama, kama mitaa tu ni hivi, je uchaguzi mkuu si tutaogelea kwenye asali na maziwa?
Mama na akae mpaka achoke
NB:
Mkijua kulaumu, mjue na kupongeza
Upumbavu tena? Dah, sawa bwasheeAcha upumbavu wako wewe, Kenya hali ni hivyo hivyo, karibia kila mahali, sasa Samia anahusikaje?
Huu ndiyo wa speculate baada ya siku kumi unapiga bingoYaani mitanzania ambayo haijasoma ndo kama hili litoa mada jinga kabisa .
ELIMU
Mnamo september ili kuvutia wawekezaji usa iliamua kushusha intrest rate hadi 4% na ilitabiliwa kabisa kuwa mwezi huu dola itashuka imefanya hivo dunia nzima kwa pesa zote isipokuwa chache sana kama zambia(wanamatatizo yao)
.
Uganda na kenya nao mama anaupiga mwingi? Mama anafanya kazi nzuri ila acheni kumchezea akili .
Nikuongezee angalia kuanzia tarehe 20 dolla itaanzapanda na tutarudi 2600.sababu ni kuwq kumekuwa na exaggeration ya information east africa .kama unabisha ikifika 2200 nunua dola 100 tu kisha nipime kwa hilo.nakuapia december tunafunga ikiwa 2500 hadi 2600.
Sikunyingine usikurupuke wachumi tumo humu.
Kwa nini usiwape hela wale Milo 4? Au wewe hela anakupa Serikali?watu wanakula mlo mmoja hali.mbaya mtaani wewe unashangikia dola kushuka, kwanza wananchi hawajui dola ndiyo nn.
Hayo yote yalikuwa yanamsubiria Samia au? 😆😆😆Dola itazidi kuporomoka kiwango kwa sababu matumizi yake yameshuka sana mathalani nchi za BRICKS wanaruhusu kupokea malipo kwa currency nyengine nje ya Dola. Just imagine unalipia mzigo toka China kwa Chinese Yuan ambazo utazipata kupitia Bank ya China iliyopo mtaa wa Samora. Pia mgogoro wa Ukraine umefanya Russia kuisusa Dola hivyo kuiacha ipatikane sokoni kwa wingi. Ila tubakize akiba ya maneno kwa sababu kuanzia mwezi ujao Trump amedhamiria kuifanya Dola ipande tena thamani yake.
Chuki zitakuua wewe mjinga 👇👇Acha upumbavu wako wewe, Kenya hali ni hivyo hivyo, karibia kila mahali, sasa Samia anahusikaje?
US anahusikaje na kushuka Kwa Dola? Mnaelewa mechanism ya soko la Dunia au unajisemesha tuu ?Hii kitu ikibounce back ndani ya wiki inaweza ikafika 3000,sijui US anataka kufanya kitu gani.
Yana wivu hayo masenge yaani yalikalia kuona Samia anafeli Sasa ameyaumbua kote.Yaan tunaishi ulimwengu wa nyani sana .Inaonesha kama tukimkosoa tunachukia maendeleo hivi .Jaman wengine tunaipenda tanzania tu na mama ni mtanzania ni haki awe rais amalizie na awamu ya mwisho.
Utendaji wake mzuri ila bado sio kiivo ila sio moja ya marais wabaya africa but sio level za kagame au rais wa zambia yeye bado anaishi mifumo ya nyani ya kuamini kuiba kura.kuamini ccm ni mama.kupendana familia za utawala .
Ni stage za kawaida za ujinga hata mataifa makubwa yaliwahi kuwa na huu ujinga wao wametekana sana .
US anahusikaje na kushuka Kwa Dola? Mnaelewa mechanism ya soko la Dunia au unajisemesha tuu ?
Na Bado itashuka sana 👇👇
View: https://x.com/manywele_ze/status/1867583573454209487?t=BeNUIDGTcfGDT_FjbQr62A&s=19
Si lazima mpaka akwambie yeye, unaweza kugoogle ukapata kila kituMbona una mizuka wenzako wanatoa sababu za kiuchumi ww unaleta mipasho.Hujanipa hoja kiuchumi, hivi kwa akili yako unazani US anapenda hali hii? Hivi unajua jinsi jamaa wanavyojua propaganda na fitina? Ndio maana nikasema inaweza ikabounce back na kufikia 3000 ndani mda mfupi.
So kwa hiyo ana argue kwa asiyo yajua? Hivi unajua maana ya reference? Hili jukwaa hujakatazwa kureference kutoka kwenye source yoyote na ndio ubishani wa kisomi, usomi wako unaonekana kwa kurefer.Si lazima mpaka akwambie yeye, unaweza kugoogle ukapata kila kitu
Kwa ufupi ni tumeuza sana inje kuliko tulivyoagiza, akiba imeongezeka,matumizi ya serikali yamedhibitiwa,
Yaani kwa ufupi ni neema juu ya neema.
Mama akikosea tumseme lakini akipatia tumsifu, na huo ndio uungwana
Sio kweli kwamba ni ghafla, kama umfuatiliaji ni karibu mwezi sasa inapungua kidogo kidogo, ila this week ndio ikashuka sana,So kwa hiyo ana argue kwa asiyo yajua? Hivi unajua maana ya reference? Hili jukwaa hujakatazwa kureference kutoka kwenye source yoyote na ndio ubishani wa kisomi, usomi wako unaonekana kwa kurefer.
Mpaka sijapata majibu jua sina reference sasa yy anipe reference au kama wewe unazo kutokwa kwenye vyanzo vya uhakika unaweza ukamsaidia. Sababu dollar imedrop karibia kwa duniani kote na imekuwa kwa kushtukiza na kwa mda mfupi kwa hoja yako basi hizi nchi zote zinasafirisha sana mazao.
Uvivu upi? Mimi kwenye kile ninacho kijua humu JF huwaga na kielezea na kama kuna reference huwaga naweka na ndio msingi wa malumbano ya hoja ambayo hujenga.Sio kweli kwamba ni ghafla, kama umfuatiliaji ni karibu mwezi sasa inapungua kidogo kidogo, ila this week ndio ikashuka sana,
Ref ni mhimu kwa urahisi ila nawe acha uvivu tuokoe mda