US dola imejaa mpaka inamwagika, hongera sana Samia, hongera mwigulu

Data gani na zipi wakati dola iko juu kuliko alipoikuta huyo mama yako mtenda miujiza? So simple mwanangu. Ni uchawa kutoliona hili wala kuona hali za wananchi walio wengi wanaotaabika.
Tunaongelea dola dhidi ya shilingi, kutupeleka kwa wanaotaabika unatutoa inje ya mada,

Kutoka 2850/= mpaka 2375/= usiku huu si jambo la kitoto,

Mama anastahili pongezi za hali ya juu

Hili inabidi liandikwe kwa wino wa dhahabu kwenye historia ya inchi hii
 
Unakuta mtu yupo Nanjilinji huko ndanindani sijui Nanguruwe anakuja hapa na Habari za dolaπŸ€”
Bwashee dola ndio mpango mzima, huku uswekani tulipo tunalipa kodi na baadhi ya huduma kwa us dola kama ulikua hujui

Samia anastahili pongezi zake
 
Kwa kuwa tu hutaki kumsifu Samia? Mbona ilipopanda mlimponda?

Samia ni mpaka achoke mwenyewe
Nani alimponda na nani hajamsifu anafanya vizuri tatizo karuhusu mianya ya rushwa mnoo.ila ni avarage president msimsifu ambavyo havipo alikuta dola 2300 ikapanda hadi 2800 kurudi 2400 ndo kuupiga mwingi? Et mauzo ya korosho hahahahah
 
Kwani SSH ana uwezo wa ku-control dollar ya USA au mama amekuwa mama hadi mnaachana na akili zenu.

USA imeshusha interest rate hivyo hiyo ndiyo impact yake world wide
 
Zambia wana shida gani mkuu? Naona hata Kwacha vs Tsh iko hoi mno. Hela yao imeporomoka thamani kwa kiwango cha kutisha.
ZAmbia wapo hoi kila sehemu hawana umeme kwa masaa zaidi ya 18 kwa siku
Hawana chakula ,yani wapo kwenye mateso makubwa sana ndio maana wamegoma lubgu asigombee tena, upinzani umefeli vibaya wanamkumbuka lungu
 
Niko Nairobi,huku usd zimejaa Hadi mama lishe, wanazo
 
Hawa ujinga wao ni wa kurithi kutoka ktk koo hadi familia zao. Wasamehe bure.
 
Ujinga ni kufanya jambo fulani kwa njia ile ile, (akili zile zile), halafu ukitegemea matokeo chanya
 
ZAmbia wapo hoi kila sehemu hawana umeme kwa masaa zaidi ya 18 kwa siku
Hawana chakula ,yani wapo kwenye mateso makubwa sana ndio maana wamegoma lubgu asigombee tena, upinzani umefeli vibaya wanamkumbuka lungu
Sawa. Ila tatizo lao nini kwenye USD?
 
Misukule ya mzee Mbowe itaanza kutoa mapovu balaa
 
Nini kimetokea maana wana nzengo wanaleta tetesi kuwa kuna kampuni moja kwa siku inauza dola kwa winging karibu kila sikuπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜πŸ˜πŸ˜πŸ˜

Zimewadodea walikuwa wametunzaπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Jiulize wakati wanaingia madarakani dola ilikuwa sh ngapi kulinganisha na sasa. Wote hao ni wezimadisadi
 
Jiulize wakati wanaingia madarakani dola ilikuwa sh ngapi kulinganisha na sasa. Wote hao ni wezimadisadi
Ilikuwa 2300/=, ikapanda mpaka 2850/=
Na sasa Mama ameishusha mpaka 2375/= na bado inaendelea kushuka,
Matarajio ni 2100/=
 
Nini kimetokea maana wana nzengo wanaleta tetesi kuwa kuna kampuni moja kwa siku inauza dola kwa winging karibu kila sikuπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜πŸ˜πŸ˜πŸ˜

Zimewadodea walikuwa wametunzaπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Ni baada ya kubanwa na mbinu za kiuchumi,
Wakasalimu amri, serikali in mkono mrefu
 
Nani alimponda na nani hajamsifu anafanya vizuri tatizo karuhusu mianya ya rushwa mnoo.ila ni avarage president msimsifu ambavyo havipo alikuta dola 2300 ikapanda hadi 2800 kurudi 2400 ndo kuupiga mwingi? Et mauzo ya korosho hahahahah
Misukule ya mzee mbowe mmelaniwa aisee
 
Kwani SSH ana uwezo wa ku-control dollar ya USA au mama amekuwa mama hadi mnaachana na akili zenu.

USA imeshusha interest rate hivyo hiyo ndiyo impact yake world wide
Basi na iwe hivi, hata ikipanda asilaumiwe,
Iwe ni us wamepandisha interest
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…