Currency value appreciation sio instrumental factor ya ukujaji wa uchumi, acha ushamba wewe... Kuna sababu nyingi sana zinazoweza kupelekea thamani ya sarafu kupanda ama kushuka ikiwemo uchumi wa nchi husika ya sarafu unayojilinganisha nao!
Kwanza unashingilia nini? Eti hakuna kama Samia, huyo Samia si alikuta $1 ni sawa na 2,370/=? Kwenye awamu yake hii ameipandisha mpaka 2,800/= haya leo hii imeshuka hadi 2,460/= halafu unaanza kumsifia?
Ndio Yale Yale ya kufuta bima ya toto Afya kisha kuirudisha halafu mnataka mpigiwe makofi.