Benjamini Netanyahu
JF-Expert Member
- Aug 7, 2014
- 95,871
- 116,627
Kama ni mtanzania kwani wewe siyo mtanzania? nenda Zanzibar ukaombe kitambulisho cha mkazi, ununue ardhi na ugombee cheo chochote kama utaruhusiwa, huo ujinga baki nao wewe mi sina hiyo laana, bara imekuwa kama koloni la Zanzibar. Shame on youSamia ni mtanzania, Tanganyika haipo, ikiwepo tutaangalia la kufanya
Ila kwa sasa habari ya mjini ni samia na dola kushuka, Mama kaupiga mwingi sana,
We endelea kulaani tu
Hii kitu ikibounce back ndani ya wiki inaweza ikafika 3000,sijui US anataka kufanya kitu gani.Hakuna rais wala waziri wa fedha hata mmoja aliyewahi kuishusha us dola namna hii,
Hongereni sana, kutoka 2850/= mpaka 2400/=?
Hakuna kama Mama, kama mitaa tu ni hivi, je uchaguzi mkuu si tutaogelea kwenye asali na maziwa?
Mama na akae mpaka achoke
NB:
Mkijua kulaumu, mjue na kupongeza
Nilitaka nichangie ila basi mkuu umeshamaliza..Wajuvi tuendelee kuenjoy show hao mburukenge waache wawe kama kasuku🤣Yaani mitanzania ambayo haijasoma ndo kama hili litoa mada jinga kabisa .
ELIMU
Mnamo september ili kuvutia wawekezaji usa iliamua kushusha intrest rate hadi 4% na ilitabiliwa kabisa kuwa mwezi huu dola itashuka imefanya hivo dunia nzima kwa pesa zote isipokuwa chache sana kama zambia(wanamatatizo yao)
.
Uganda na kenya nao mama anaupiga mwingi? Mama anafanya kazi nzuri ila acheni kumchezea akili .
Nikuongezee angalia kuanzia tarehe 20 dolla itaanzapanda na tutarudi 2600.sababu ni kuwq kumekuwa na exaggeration ya information east africa .kama unabisha ikifika 2200 nunua dola 100 tu kisha nipime kwa hilo.nakuapia december tunafunga ikiwa 2500 hadi 2600.
Sikunyingine usikurupuke wachumi tumo humu.
Tzs imepanda kwa karibia currency zote mpk randIts grobal
Boss acha wivu mtu akifanya vzr apewe maua yake,chuki ya nini tena?Upunguze uchawa. Kwani kabla ya kuwa rais ilikuwa kiasi gani na baada ya kuingia ilikuwa kiasi gani na kabla ya kushuka hapo ilikuwa kiasi gani?
Kenyabna uganda pia na nchi 70% dunia nzima mataifa makubwa yote yameshusha intrest rate ila usa imezidisha .hii ni kukabiliana na madhara ya mavita yanayoendelea yamedororesha uchumi.Tzs imepanda kwa karibia currency zote mpk rand
Lakini sio kwa hiyo dola.Boss acha wivu mtu akifanya vzr apewe maua yake,chuki ya nini tena?
Tanganyika iko wapi? Inabidi tu tuwe watanzania,Kama ni mtanzania kwani wewe siyo mtanzania? nenda Zanzibar ukaombe kitambulisho cha mkazi, ununue ardhi na ugombee cheo chochote kama utaruhusiwa, huo ujinga baki nao wewe mi sina hiyo laana, bara imekuwa kama koloni la Zanzibar. Shame on you
Kwanini mkuuOndoa mwigulu hapo
Na ndio maana halisi ya uchumiHii kitu ikibounce back ndani ya wiki inaweza ikafika 3000,sijui US anataka kufanya kitu gani.
Kwahiyo unataka tuvimalize vya bara ndiyo na sisi tuanze kudai vya kwao? kwanini wanibague kama raia wa kutoka nje ya Tanzania? nyie ni wajinga sn ardhi hata Kilimanjaro ni imeisha lakini mtu kutoka Mkoa mwingine hazuiwi kumilikiTanganyika iko wapi? Inabidi tu tuwe watanzania,
Kitambulisho cha mkaazi ni kwa wakazi wa zenji, mimi nipo bara
Sasa ardhi Zanzibar ya kazi gani? Hailimiki, huwezi kujenga gorofa ni kisiwa pale
Cheo si tayari ninacho hapa, vya zanzibar tunawaachia wenyewe, kale ni kainchi kadogo sana, waacheni wapambane wenyewe, hivi vya huku hatujavimaliza
Miaka elf tatu hawawezi kuvimaliza vyetu, kale ni kainchi kadogo sanaKwahiyo unataka tuvimalize vya bara ndiyo na sisi tuanze kudai vya kwao? kwanini wanibague kama raia wa kutoka nje ya Tanzania? nyie ni wajinga sn ardhi hata Kilimanjaro ni imeisha lakini mtu kutoka Mkoa mwingine hazuiwi kumiliki
Kwani msema kweli ni yeye tu? Mbona tupo wengiNikajua ni lucas
Acha upuuzi, wanachuma wanapeleka ZanzibarMiaka elf tatu hawawezi kuvimaliza vyetu, kale ni kainchi kadogo sana
Kuna wahuni humu ndani wapo kumsifia mama Huku wanaiba walilolisahau ni kwamba mama ni mzanzibari kiswahili na waswahili anawajua haswa.Yaani mitanzania ambayo haijasoma ndo kama hili litoa mada jinga kabisa .
ELIMU
Mnamo september ili kuvutia wawekezaji usa iliamua kushusha intrest rate hadi 4% na ilitabiliwa kabisa kuwa mwezi huu dola itashuka imefanya hivo dunia nzima kwa pesa zote isipokuwa chache sana kama zambia(wanamatatizo yao)
.
Uganda na kenya nao mama anaupiga mwingi? Mama anafanya kazi nzuri ila acheni kumchezea akili .
Nikuongezee angalia kuanzia tarehe 20 dolla itaanzapanda na tutarudi 2600.sababu ni kuwq kumekuwa na exaggeration ya information east africa .kama unabisha ikifika 2200 nunua dola 100 tu kisha nipime kwa hilo.nakuapia december tunafunga ikiwa 2500 hadi 2600.
Sikunyingine usikurupuke wachumi tumo humu.
Yaan tunaishi ulimwengu wa nyani sana .Inaonesha kama tukimkosoa tunachukia maendeleo hivi .Jaman wengine tunaipenda tanzania tu na mama ni mtanzania ni haki awe rais amalizie na awamu ya mwisho.Kuna wahuni humu ndani wapo kumsifia mama Huku wanaiba walilolisahau ni kwamba mama ni mzanzibari kiswahili na waswahili anawajua haswa.
Zanzibar ni eneo ndani ya Tanzania ujuee,Acha upuuzi, wanachuma wanapeleka Zanzibar