US kashambulia hewa Iran ilihamisha Kila kitu kwenye vinu vya nuclear vilivyopigwa

Wakimaliza kubuild vitaripuliwa Tena.

Wanajisifu kuwa wamehamisha kabla ya shambulio,
badala ya kupambana kuzuia mashambulizi kabla hayajatokea.
Siyo lazima kuwa na mavinu ya nuclear ya kuzalisha umeme ili kuunda nuclear bomb kumbukeni marekani iliunda nuclear bila hayo mavitu ...
 
twiga wanauzwa ng'ambo wanapitishiwa Dar kupelekwa uwanja wa ndege watu hawajui. Wewe elewa mzigo ulikuwa umesha hamishwa muajemi kashasema.

Yaani Marekani ashambulie kusiwe na Radiation leaks halafu bado unakataa mzigo haukuhamishwa!
kuhusu mzigo ulihamishwaje hilo sio muhimu.
 
Us puppet wa zionist ambao sioni tofauti yao na Nazis. Sidhani kama hii inaweza kuwa kweli maana wangeshaoka harakat zikiendelea kwenye vinu hivyo
 
Hakika mkuu. Uongo mwingine wa hovyo sana. Yaani mtu anawauwa wanasayansi na wakuu wa majeshi vyumbani mwao ashindwe kujua kwamba machuma yamehamishwa.
Mbona hoja ya radiological effect hamuisemi? Au hamuoni. Umewekwa mfano wa vinu vya nuclear vilivyolipuka accidentally Russia na madhara yake.

Hili pia mkalitizame.
 
Unajuaje kama hakuna Radiation leaks mkuu?
 
Waiting find out walihamishaje!
 
Hata mimi ningehamisha muda sana!
Unakuwa boya kuacha sites ambazo ndio chanzo cha mzozo huo!
 
Wameficha hakuna mwanahabari anaruhusiwa kufika huko
 
Kuhamishi si rahisi kwa sababu kuhamisha yale mavinu kunahitaji ruhusa ya IAEA. Wale wanaleta story za chemical Ali. Wapuuzi tu.
 
Hivi vita ilishapangwa mezani na Trump na Netanyau kabla kabisa ya Israel kuanza uchokozi, wanacheza tu script
 
Walihamisha vitu muhimu tuu kama zile kg 400 zilizorutibishwa, halafu technology ya Iran si sawa na kizimkazi, hili shambulio liko kimchongo ni Kama kuombea ceasefire tu mbona hamna Hata radiations katka, picha zennyewe hamna yaan sijapaelewa hapa
Hayo ni maneno ya kiimani zaidi. Wako wanaamini Osama hakuuawa hadi leo.
 
Kwa kuongezea; mbona tunasoma na kusikia mara kadha wa kadha kuwa Israel imeuwa wanasayansi wabobevu wa nuclear, tena hata kabla ya hawa waliouwawa majuzi na bado Iran imeendelea na project yake kama kawaida.

Muda mwingine uongo unapewa airtime kuliko uhalisia mbaya hii
 
Nuclear facility ziko deep undergroud marekani kapiga makombola surface kama jamaa wana mitambo hiyo marekani na islaeli wanayowatuhumu basi ngima bado sana
 
Kobazi kimewaramba
 
Umoja wa kobazi duniani walifanya mkutano wao uturuki mada kuu ikiwa ni mzozo wa iran, mwenzao katika ukobazi. Nini maazimio yao ikiwa mwanachama mwenzao tayari katuangwa nyuklia zake, wana uwezo wa kijeshi kwa pamoja kumsaidia mwenzao?
Lini hiyo Mkuu?

Ubinadamu ni kazi/The humanity is work.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…