USA hata kama akasimama pekeake dhidi ya dunia nzima kivita, bado tutapigwa tu

USA hawezi kupigana vita ambayo hana faida nayo.
Ni bora aonekane ameshindwa kuliko kutumia pesa nyingi wakati faida hakuna.
Ni sawa uanzishe Biashara ambayo haina faida lazima utakimbia.
Libya, USA na washirika zake wamepiga mafuta wamesepa. Umesikia USA ina hangaika na Libya?
Mtu ambaye hana akili ni muarabu tu. Nchi zao zishakuwa magofu
 
Fact
 
So alienda vietnam akijua ana faida nayo ili kuziua south isungane na north ambayo ilikuwa mikononi mwa wacommunist, akakaa miaka 11 akipigana vita halafu akaona haina faida akaondoka. Keep in mind alikaa pale miaka 11.
Hivi kwanza ni vita gani ambavyo amepigana bila kuwa na collabo, tuanzie hapo ili tujue kama ana uwezo wa kupigana na dunia nzima akashinda.
 
Kama wangekua na malengo wasingekua wanaondolewa kwa nguvu.
 
Kawadanganye wajinga wenzio. Wenye akili tunajua huko kote marekani ilishindwa ikafungasha virago
 
Jisemee mwenyewe. Sio kila mtu. Mimi sina hizo ndoto hata kutembelea tu.
Huna ndoto za kutembelea Marekani, lakini ndoto za kutumia Android na iOS unazo
Hongera usa 🇺🇸 kwa kuwavuta dunia pamoja
 
Vichwa milioni 100!?
 
Shida ya waislam wengi hawana elimu
 
black hawk down ni movie mkuu, operation yenyewe ilipewa jina la "operation gothic serpent"

kumbe mbwembwe ila kiaz tu.
 
Hakuna kitu kama hicho dogo janja sababu ya dola kuenea duniani ni world War 2 nchi za ulaya zilikopa pesa kwa USA..na malipo nayo ikawa lazima wanunue dola ndo walipe
Na ulikua mkopo wenye riba kubwa na mda mrefu hapo ndo ikawa ndo mwanzo wa dola kutumika duniani
 
Ma brain washed Muslims ndio wanaongoza kumchukia MMAREKANI huku yana click nyuma ya Key board za MACK BOOK,Iphone na Samsung
 
Kwenye conventional warfare hakuna nchi wa kuikaribia USA ila tatizo ni kwamba vita vikubwa vitakavyopiganwa na mataifa makubwa kwa sasa lazima mmojawapo aturusha nuclear tu na hapo ndipo itakuwa maangamizi kwa wote.
Mtoa mada yeye anasema Dunia yote ijiunge dhidi ya USA, eti bado USA atashinda. Kama ni kumlinganisha USA na nchi zingine Kwa nguvu za kijeshi, ni kwelia anaongoza, lakini si kweli kuwa nchi zote ziungane dhidi ya USA halafu ashinde! Never ever.
 
Tufanye hivi umeshinda 😆🙌
Basi sawa Russia ndo taifa pekee lenye operations NYINGI zaidi za kijeshi duniani na zote succesfully halafu ni kidume anapigana peke yake bila allies wala misaada
Mie sishindani hapa kama washindana basi washindana peke yako.
 
U. S. A vs Russia
Himars vs Iskander M
F-22 Raptor vs Su-57
Patriot Air defence vs S-500
5500 Nuclear Warheads vs 6250
2. 19 Trillion Military Budget vs 219 billion (as of 2023)

Haihitaji hata Rocket Science kujua nani Superpower japo pia Russia haichukiliwi kama nchi nyepesi nyepesi tu
 
Miaka hiyo sio leo,USA anamtegemea China kwa sasa!Kijeshi Russia yupo mbali sana.Kiuchumi China GDP ni zaidi ya China.US is falling down soon.
 
🤣🤣
Alipovamia Vietnam hakufanya cost benefit analysis?
Wanajeshi wako wamekufa, na bado unalazimisha raia waingie vitani (Ref: Mohamed Ali), bado Hali inakuwa ngumu. Vifaa vita vyako vimechakazwa....../ Mwisho wa siku unasema hii vita Sina maslahi nayo, "ngoja niondoke" ../ really? Inamaana kabla ya vita hukujua faida na hasara za vita unayokwenda kupigana?
 
akili zako sufurii , kabla ya mwaka 1942 , Hitler alikuwa kashateka ulaya ya kati , kusini na sehemu za mashariki na kaskazini pia alikuwa km chache kungia Moscow , bila kusahau Japan alikuwa kashamaka Asia ya mashariki na visiwa vyote , pia Itali akiwa kaiteka Ethiopia kwa mara ya kwanza tangu apigwe 1897 , huku wananchi wa UK wakiwa wanaandamana kulazimisha UK ijitoe vitani

NI USA ndo alikuwa game changer baada ya kutia miguu ulaya kusini na kuisaidia UK kuingia pwan ya ulaya magharibi pia Urusi akasaidiwa kumrudisha nyuma Hitler kutokea ulaya mashariki huku USA akimkabili Japan ambae alikuwa anajitanua Asia mashariki

MAHABA YANAWAFAMYA MYAFICHE HAYA AU MSITAKE KUYAJUA HAYA
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…