ha ha ha haaaaaaaππWengine wanafanya kusudi anaacha kusubiria gari nyingine zije anataka apande hiyo hiyo mliyojazana ili apishwe.
Mimi sipishi mtu kama mtoto lete nikushikie.
Umeonaeee. Mwili wa mtu anaujua mtu mwenyewe na mara nyingi haiwezekani mtu kujua hilo kwa kumuangalia tu mtu eti kisa hajasimama basi ana roho mbaya.Kuna wakati mwingine anakichanga tumboni kizungu zungu balaa, mwingine kiuno usiombe asilaumiwe mwanamke tu
Hahahaaa. Ndio hapo chacha.Kuna wengine wanazurula hao kariakoo kila siku kwenye jua wamo mvua wamo, kuna siku 1 mwandishi wa habari alimuuliza mdada na wewe na mtoto jua lote hili watoka wapi eti kumsalimia shangazi hapo mtoto ni mgonjwa, kaambiwa kwaninj huyo aunt wako asije muona mtoto nyumbani kwako, piga picha hata waume zao wana matatizo kwanini wasiwazuie wake zao!
Mmejiona eeee!Wanaume wote humu jf tuna roho nzuri sana,hahah
πππππ hivyo katika Me wenye roho nzuri weye tukutoe eee?Sipishi mtu.
Sababu
1) Sheria haziruhusu abiria kusimama ndani ya vyombo vya usafiri.
2) Wote tunalipa nauli sawa.
Akili ni nywele Ma na kila mtu ana zake.[emoji28] [emoji28] [emoji28] [emoji28] utakuta mtu kutwa na mtoto mgongoni katoka kariakoo jua hilo kununua
dela tu wakati hiyo nauli angeongeza akanunua huku huku mtaani
Kama nakuona Mkuu ulivofurahi kwa hiyo comment.Hahahaaa. Ndio hapo chacha.
ππππ leo tutasikia mengi hapa.Sema wanaume pia tunapenda kusimama kwenye daladala kwakweli, hapa wataelewa wenye akili kama zangu tuh
Mmmh.Katika ulimwengu huu hakuna kiumbe mwenye roho mbaya kwa binadamu mwenzie kama mwanamke. Na hii ndiyo maana ibirisi anawatumia sana kufanikisha mambo yake.
1. Alomdanganya Adamu kula tunda ni mwanamke - tena mke wake
2. Alosababisha Samsoni mwenye nguvu nyingi auawe ni mwanamke tena mke wake ...
Wanawake hawapendani, hawapendi hata wanaume ... akikupenda ujue kuna kitu kakiona kwako!
Ndio hapo sasa mwaya.Hivi utovu wako wa nidhamu wa kutotii maagizo ya Mungu unataka kumsingizia mwanamke! Ni ajabu!
Hahahaaaa. NdiooooKama nakuona Mkuu ulivofurahi kwa hiyo comment.
Weeknd njema Mkuuπππ
Hawaendi mbinguni.
Au siyo kwa mzee wa Rusifa MwenyeweWatakwenda kwa mwenzao yule alifukuzwa mbinguni
Wanawake hawapendani wao kwa wao cjui walirogwa na naniHaya mwanamke akiwa na gari kumpa lift mwanamke mwenzie ni mtihani sana
ππππ leo tutasikia mengi hapa.
Kwa nini sasa Mkuu mnapenda kusimama?
Kwako ni ya kijinga lakini kwake ni poa tuSio lazima ila kutokutoa msaada kwa sababu tu wewe hukusaidiwa siku fulani ni sababu ya kijinga sana
Haaah haaaah! Naona hiyo ilikuwa clinic day ya wajawazitoH a ha haaaaaaa hapana Mkuu yawezekana nilikuwa nshampisha mwingine hafu akapanda mwenye mtoto utafanyaje?πππ