Usafiri wa daladala ni kipimo cha kiwango cha roho mbaya cha wakinamama na wadada

Kwani aliyekua hajakupisha alikua mjamzito Hadi usiwapishe?
 
Tenda wema nenda zako
 
Pole sana....!Ulianzia Zakhiem,kizuian,kwa mangaya..sabasaba kwa mpili,KTM,Msikitini,Mtongani,Kwa Aziz Ally,Sabasaba,dah...ukamalizia Uhasibu,Salvation Army,JKT,Kilwa Road,Ufundi,Mivinjeni hatimaye ukafika Dah... !
 
Sipishi mtu.

Sababu
1) Sheria haziruhusu abiria kusimama ndani ya vyombo vya usafiri.
2) Wote tunalipa nauli sawa.
 
CCM watapinga hili. CCM wahuni sana 😂😂😂😂
 
Acha hizo nizikose...!!!mmekubali kabisaa!!niliumia siku ile mpk mdada wa NHIF alinionea huruma pale headquarters maana mpk naingia ofisini hoiiii!!!

Ntawatendea kwa mengine
Kwani huyo mdada wa nhif yeye sio mwana mke
 
Acha hizo nizikose...!!!mmekubali kabisaa!!niliumia siku ile mpk mdada wa NHIF alinionea huruma pale headquarters maana mpk naingia ofisini hoiiii!!!

Ntawatendea kwa mengine
Hivi hayo mengine ni yepi mama happy?
 
Tanzania ikiwa na watu kumi wenye akili ya ovyo kama hii...mhh safari ya kufika tuendapo itazidi kuwa ngumu..

Eti unadai umefundishwa roho mbaya, wakati unaonekana ndivo ulivo...
 
wanaume hilo sio shida, ila wanawake hata wakiwa wamejaa bus zima. kupishwa ni nadra sana, hasa wadada
Mwanamume anaeitwa rijali , yeye ndio wa kuwatunza wanawake , yeye ndio wakwanza kujitolea kwa jambo lolote , ukiona mwanaume kapanda basi , halafu kapanda mwanamke mjamzito, au anamtoto , au mzee , au mgojwa , alafu anasubiri wanawake wapishe siti , badala ya yeye kupisha siti , tia shaka kuhusu uanamme wake , labda itakua mwanamme suruali huyo.
 
Tena kiitikie bee kama saut ya mbuzi akilia
[emoji28] [emoji28] [emoji28] [emoji28] utakuta mtu kutwa na mtoto mgongoni katoka kariakoo jua hilo kununua
dela tu wakati hiyo nauli angeongeza akanunua huku huku mtaani
 
Huwa tunasaidiana kubeba mtoto unamshikia mtoto basi hata aliyekaa naye anaumuhimu mimi
mtu asiponipisha wala sinung'uniki ni hiyari yake
 
[emoji134]
 
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…