Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hivi mzee hood amefariki au nimeelewa vibaya?I
Islam hajawah kuwa mpinzani wa kweli wa abood....yan abood usimlinganishe kabisa na islam...wakat islam angalau ana basi kidogo za kueleweka, abood ndio alikuw na zile andare zikiwa mpya kabisa...na wakati huo abood alikuw anachuana sana na Hood wakati bado hajafa....islam alikuw pembeni kabisa huko....Hood akafa,Islam sijui akapotelea wapi, BM ndio akaibuka baadae ukaanza mchuano wa Abood na BM...labda kama umezaliwa juzi mkuu
Abood ameingiza mabasi mara 2 ktk utawala wa magu kila awamu kamwaga basi 12 jumla 24 hiyo ni rekodi ambayo nimeiona kwa macho yangu sio kusimuliwa so muda mwingine usipende kumzunguko anko magu mabaya tuu ongea na mema aliyofanyaLeo mji was Morogoro umemeremeta, Mabasi 20 yameingia kwa wakati mmoja, Samia kafungua uchumi, matajiri hawaogopi tena kufungua fursa kwa vijana kuajiriwa, hii ni baada ya Aboud Bus kushindwa kuingiza basi mpya tangu Magufuli awe Rais, kipindi cha Magufuli kampuni nyingi za mabasi zilifilisika.
Hongera Samia kwa kuanza kutujaza utajiri, wale wengine walitaka tuwe masikini na wanyonge
Moro canvas now goat zooKiwanda gani tena?
Unawajua wapo wangapi hao.Ninaemjua mimi ni Abdulaziz Abood huyo Nasoro abood ni wako
Kali kuliko vyote ni seat, visiti vimebanana hadi kero, ukiegemea hauwi comfortableMimi ninadhani hicho ni kiwango cha kawaida tu kwa kampuni kama Abood. Hata alipoingiza hizi zilizopo sasa ni hivyohivyo tu. Ninakumbuka ilikuwa sherehe pale Msamvu, misele ya kufa mtu roundabout wakipokewa na bodaboda.
Ninafikiri kwetu wateja, muhimu sasa ni kuletewa basi zilizo comfortable na rafiki kimatumizi. Yutong tunazoletewa ni za kikuda sana. Pot za kuchajia zinadumu miezi,hazifiki mwaka. AC halikadhalika—ikishabuma mtakoma humo kwenye basi. Siti pia ni ndogoo,ukiwa mrefu ama kibonge imekula kwako.
Ninajua haya ndo huchangia kushusha bei ya basi huko sokoni uchina. Lakini,kwakuwa kampuni ina uwezo, ingia dau kubwa, lete chache za ukweli wenye uwezo wapande kwa bei elekezi. Wateja wapo. Tunaona BM ana zile zenye daraja la kwanza na la pili. Kila siku daraja la kwanza zinajaa fasta.
Halafu Abood kama mnanisoma acheni ubahili. Katikati ya Dar na Moro jengeni kahoteli uchwara ka kupata bites na kujisaidia. Mnahama vihoteli, mnapeleka abiria vihoteli vinanuka choo utasema vyoo vya stend. Bites za kiwango cha chiiini.
Safari ni starehe jamani.
Talali AboodUnawajua wapo wangapi hao.
[emoji23][emoji23][emoji28]
Kazi yenu kusifia wanaume wengine, tengeneza vyako ujisifie.Humjui abood wewe,utakuwa umezaliwa juzi,kila nusu saa kuna gari inatoka msamvu kuja dar na dar kwenda moro,bado route za mikoa bado yanayokodishwa,reserve na yaliyo service
Hata wewe tafuta pesa utasifiwa kama sio na mkeo basi kwenye vijiwe vya AlkasusuKazi yenu kusifia wanaume wengine, tengeneza vyako ujisifie.
Haters huwa hamkosekani unataka apondwe tu humuKazi yenu kusifia wanaume wengine, tengeneza vyako ujisifie.
Imekuaje akapotea ? Wakati nakua yeye ndio ilikua jion kwenye biashara yakeKatika watanzania walituvusha Hood ndio Baba Lao huyu alikua ana Gari za kwenda mikoa yote na Nchi zote za Jirani (Congo, Zimbabwe, Zambia, Malawi,Uganda,Kenya) sijajua kama aliweza kuvuka Hadi Rwanda na Burundi
Hao mara nyingi kimaumbile wanakuwa na mabichwa makubwa,ubongo kama piritoni.[emoji16][emoji16][emoji16][emoji1787][emoji1787][emoji1787] msamehe hakudoma kilichomo ndani ya uzi
Nikaingia kwenye website ya abood, kumbe biashara imeanza 1941 na baba yaoKatika wasafirishaji wa Abiria Dar/Moro ni Alsaed,Sadiq,Islam,Hood na Abood hawa ndio walikua na basi nyingi sana!!...Kwa sasa ndio BM ambae wakati huo alikua Route ya Turiani na New Force huyu naona basi zake mbovu ndio kazipa route hii fupi!!!
Kama ni Zhotong , Yutong ni mil 350+ so its 7 Bil hukoNadhani anaenda kwenye 4 B plus!!..
Kiboko yake kafariki. Magu alikuwa anamchamba Nassoro Abood anavyotaka. Ikiwemo lile la kutoa mabasi kupeleka watu i katoka familia ya Abood
Kuna mmoja msomi sana umemsahau.Talali Abood
Fauz Abood
Abdulaziz Abood
Nadhani nimekujibu vya kutosha
Viwanda vyako na nani?Acheni ujinga watu wanatumia viwanda vyetu kukopea mikopo kwenye mabanki
Wewe unayejiita maro ni mchagga.kwa mujibu za takwimu za brela Abood anaongoza kwa kuwa na mabasi 450.nenda kwa takwimu sio chuki.wewe ni mchagga.waulize wenzio watakwambia.Kwenye Top 5 ya wasafirishaji wa Mizigo na Abiria huyu hata Top 10 hayupo!!!
Huyu mpuuzi.Kinachotakiwa ni ajira.ukichanganya Abood ana wafanyakazi zaidi ya elfu.hana vibarua.familia ngapi hizo??Viwanda vya kisasa haviajiri hata wafanyakazi 50 kutokana na teknolojia ya kisasa.Viwanda vyako na nani?
Watanzania mkisikia kitu. Wewe una kiasi gani huko?Utajiri wa hv umepitwa na wakati......
siku hizi watu wapo kwenye ma cypypto