Ushauri kwa Rais Samia: Kwenye mabadiliko ya Cabinet kufuatia Ripoti ya CAG, tumia wazoefu; Fedha mpe Dkt. Kimei, Biashara Uwekezaji mpe Deo Mwanyika

Hivi ninapitwa au???
Lini rais amesema anataka kubadilisha baraza la mawaziri au mnatumia kiashiria kipi??
Na wewe ndugu pascal ukiwa kama verified member, unapata wapi guts za kuanzisha Uzi kama huu??
 
Huu ni Ushauri wa Bure kwa Rais Samia kwenye mabadiliko tarajiwa ya cabinet kufuatia Ripoti ya CAG, namshauri Rais Samia, asibabaike sana na kuangalia ma vyeti ya usomi kwenye uteuzi wa cabinet yake, atumie watu wenye uzoefu, mfano Waziri wa Fedha wa sasa Dr. Mwigulu Mnchemba ni msomi mzuri wa uchumi, ana 1st Class ya degree ya uchumi kutoka UDSM, lakini sio mtu wa ki fedha fedha!. Hajawahi kushika na B na ma B na ma B mikononi mwake kama Dr. Charles Kimei alipokuwa CRDB, hivyo Wizara ya Fedha akimpa Dr. Kimei, fedha zitakuwa zimefika kwenyewe.

Kwenye biashara na uwekezaji, kuna wasomi wawili, madaktari wa PH.D, je, wanewahi kufanya chochote hata kuuza nyanya tu? Kwenye Biashara Uwekezaji ampe Deo Mwanyika, kina Sumri, kina Shabiby, Abood etc, watu wenye uzoefu wa kufanya biashara.

Aunde Baraza dogo lenye mawaziri wenye uzoefu, ukiwa na mtu mwenye uzoefu, hawezi kupigwa kirahisi kama msomi mwenye vyeti lakini hajawahi kuuza hata toothpicks!

Ni ushauri tu.

Paskali
mtafukuza kila siku! tatizo sera za chama tawala uchawa uchawa tu! kusemeana mambo ya kimbea mbeaaa!
 
Heri yako upo unbiased wengine wanaotaka mabadiliko ya baraza la mawaziri wanavizia uwaziri mkuu. Waziri Mkuu hajatajwa popote lakini wanalazimisha aondolewe, aibu nasikia mimi mtu mwadilifu kama yule kuundiwa zengwe ili atolewe.
Acha ujinga Kalo Malapa. Uadilifu gani lile jizi linao?
 
Dr.  Kimei sio mzuri sana wa kuongea, hata kujieleza kwake ni shida, uwaziri utakuwa mgumu kwake katika kujieleza bungeni.
Hii siyo shida na wala siyo kikwazo. Wananchi tunahitaji actions sambamba na deliverance/results na siyo kupepeta mdomo tu kama afanyavyo Mwigulu Nchemba..

Shida ya kuwapa wanafanyabiashara hizo wizara ni mgongano wa kimaslahi.
Kwa mfumo wa kisiasa na kiutawala wa Tanzania, hata ukimpa mtu asiye mfanyabiashara, utashangaa ghafla amegeuka na kuwa mfanyabiashara..

Huyu Mwigulu alikuwa mtu wa kawaida asiyejua kuuza hata nyanya. Lakini ghafla kawekwa wenye wizara ile amegeuka kuwa mfanyabiashara wa mega businesses Kwa kuwatumia watu na ndugu zake!
 
Huu ni Ushauri wa Bure kwa Rais Samia kwenye mabadiliko tarajiwa ya cabinet kufuatia Ripoti ya CAG, namshauri Rais Samia, asibabaike sana na kuangalia ma vyeti ya usomi kwenye uteuzi wa cabinet yake, atumie watu wenye uzoefu, mfano Waziri wa Fedha wa sasa Dr. Mwigulu Mnchemba ni msomi mzuri wa uchumi, ana 1st Class ya degree ya uchumi kutoka UDSM, lakini sio mtu wa ki fedha fedha!. Hajawahi kushika na B na ma B na ma B mikononi mwake kama Dr. Charles Kimei alipokuwa CRDB, hivyo Wizara ya Fedha akimpa Dr. Kimei, fedha zitakuwa zimefika kwenyewe.

Kwenye biashara na uwekezaji, kuna wasomi wawili, madaktari wa PH.D, je, wanewahi kufanya chochote hata kuuza nyanya tu? Kwenye Biashara Uwekezaji ampe Deo Mwanyika, kina Sumri, kina Shabiby, Abood etc, watu wenye uzoefu wa kufanya biashara.

Aunde Baraza dogo lenye mawaziri wenye uzoefu, ukiwa na mtu mwenye uzoefu, hawezi kupigwa kirahisi kama msomi mwenye vyeti lakini hajawahi kuuza hata toothpicks!

Ni ushauri tu.

Paskali
Manasara hao sisi mafisadi tunataka waisiharamu wapewe hizo nafasi
 
Hivi kweli bado tunategemea vibabu kuongoza, hatuna vijana wa kushika nyadhifa hizi,

Kwanini tuwaze kimei na sio mariam salim,
 
Huu ni Ushauri wa Bure kwa Rais Samia kwenye mabadiliko tarajiwa ya cabinet kufuatia Ripoti ya CAG, namshauri Rais Samia, asibabaike sana na kuangalia ma vyeti ya usomi kwenye uteuzi wa cabinet yake, atumie watu wenye uzoefu, mfano Waziri wa Fedha wa sasa Dr. Mwigulu Mnchemba ni msomi mzuri wa uchumi, ana 1st Class ya degree ya uchumi kutoka UDSM, lakini sio mtu wa ki fedha fedha!. Hajawahi kushika na B na ma B na ma B mikononi mwake kama Dr. Charles Kimei alipokuwa CRDB, hivyo Wizara ya Fedha akimpa Dr. Kimei, fedha zitakuwa zimefika kwenyewe.

Kwenye biashara na uwekezaji, kuna wasomi wawili, madaktari wa PH.D, je, wanewahi kufanya chochote hata kuuza nyanya tu? Kwenye Biashara Uwekezaji ampe Deo Mwanyika, kina Sumri, kina Shabiby, Abood etc, watu wenye uzoefu wa kufanya biashara.

Aunde Baraza dogo lenye mawaziri wenye uzoefu, ukiwa na mtu mwenye uzoefu, hawezi kupigwa kirahisi kama msomi mwenye vyeti lakini hajawahi kuuza hata toothpicks!

Ni ushauri tu.

Paskali
Hakuna kitu hapo kwenye mapendekezo Yako.

Pamoja na makandokando mengi ya Mwigulu ila sijaona wa kumfikia miongoni mwa Wabunge waliopo.

Mfano huyo Kimei sio muumini wa kubana matumizi yeye ni muumini wa kuongeza matumizi hivyo atahamisha sera ya mfumuko wa Bei kutoka chini ya 5% na kwenda Juu kitu ambacho kitaleta shida baadae na mbaya zaidi hajui kuongea.

Ila kitu kizuri kwake sio muumini wa Kodi.

Huyo mwingine ni tapeli tuu unampigia chapuo Kwa sababu ni mtu unaenufaika nae.
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] Ila hii nchi ukipata nafasi usipokula unapaswa kunyongwa kabisa aisee.

Yani mtu anasababisha hasara ya mabilioni kisha hatua zinazochukuliwa ni kubadili balaza la mawaziri basi!,
 
Waongeaji wametufikisha pabaya sana.

Kuna wale walioongea kuwa jei dabri yu tizet ni jeshi la sita kwa ubora duniani 🤣 🤣

Hao waongeaji hatuwataki kabisa.
 
Mkuu fundimchundo aka fundi utumbo (kwa kumbukumbu ya FMeS), kwanza asante kuchangia uzi huu, pili with due respect, kuniita mimi ni chawa wa CCM, sio kunitendea haki!. Japo mimi ni mwana CCM na kada wa CCM, na ni kweli siku hizi kumeibuka kada ya uchawa, sio wana CCM wote ni machawa!. CCM ina wanachama wake wengi tuu na makada ambao wametanguliza mbele maslahi ya taifa, hivyo kada mwenye hoja kama hizi
View: https://youtu.be/Qr6j25jFGyI?feature=shared
kumuita chawa sio kumtendea haki!.

Machawa wa CCM kwao 2025 wanaimba wimbo mmoja tuu, "Mama Mama...", ma kada very objective for national interest, tunamshauri Mama Voices From Within: Japo 2025 Tumepanga Twende na Mwanamke, 2025 Mama Akabidhi Kwanza Mwanamume, Kisha 2030 Ndipo Aje Mwanamke chawa anaweza kutoa ushauri kama huu?.
P

Kwanza kabisa nakuomba radhi kwa kukuita 'chawa wa CCM'.
Ukweli ni kwamba ''kumbukumbu za upenzi wangu kwa Paschal Mayala wa 'KITIMOTO' bado zinanisumbua.
Na kwa kweli ninayemuomba radhi ni Paschal Mayala.
Lakini kwa kuwa Paschal Mayala na Paskali ni mtu yule yule, (although with different ages), basi namuomba radhi Kada Paskali vile vile.
NB: Nam-miss sana Paschal Mayala wa Kitimoto
 
Huu ni Ushauri wa Bure kwa Rais Samia kwenye mabadiliko tarajiwa ya cabinet kufuatia Ripoti ya CAG, namshauri Rais Samia, asibabaike sana na kuangalia ma vyeti ya usomi kwenye uteuzi wa cabinet yake, atumie watu wenye uzoefu, mfano Waziri wa Fedha wa sasa Dr. Mwigulu Mnchemba ni msomi mzuri wa uchumi, ana 1st Class ya degree ya uchumi kutoka UDSM, lakini sio mtu wa ki fedha fedha!. Hajawahi kushika na B na ma B na ma B mikononi mwake kama Dr. Charles Kimei alipokuwa CRDB, hivyo Wizara ya Fedha akimpa Dr. Kimei, fedha zitakuwa zimefika kwenyewe.

Kwenye biashara na uwekezaji, kuna wasomi wawili, madaktari wa PH.D, je, wanewahi kufanya chochote hata kuuza nyanya tu? Kwenye Biashara Uwekezaji ampe Deo Mwanyika, kina Sumri, kina Shabiby, Abood etc, watu wenye uzoefu wa kufanya biashara.

Aunde Baraza dogo lenye mawaziri wenye uzoefu, ukiwa na mtu mwenye uzoefu, hawezi kupigwa kirahisi kama msomi mwenye vyeti lakini hajawahi kuuza hata toothpicks!

Ni ushauri tu.

Paskali
Umemtaja pia Deo Mwanyika.
Ni mtu muungwana sana.
Na Barrick Gold walimuamini sana wakamteua kuwa Vice President wa Afrika anayeshughulikia Mahusiano na Serikali.
Tatizo langu siyo Deo Mwanyika.
Tatizo langu ni Sekta ya Madini.
Kwa nini Tanzania tunakosa au tunapungukiwa USD/Euro wakati Tani za Dhahabu zinasafirishwa kwenda nje ya Nchi kila mwaka?
Sote tunajua kuwa Nchi yenye 'Gold Reserve' haipati shida ya FOREX!
Dhahabu zinazochimbwa na hawa Wachimbaji Wakubwa, ie Geita Gold Mine, Barrick Gold, etc etc, zinasafirishwa kama mzigo wa nguo za mtu binafsi mpaka huko Canada, UK na kadhalika.
Baada ya kufika huko, ndipo zinauzwa.
Kwa hiyo, wanaopata FOREX ni hizo Nchi zinazouza Dhahabu iliyochimbwa Tanzania.
Tunachopata Tanzania ni MRABAHA tu.
Katika mazingira haya, Mhe. Deo Mwanyika ambaye ameitumikia Barrick Gold, haleti matumaini ya kukuza UWEKEZAJI Tanzania.
Barrick Gold, na Migodi yote mikubwa Tanzania siyo Wawekezaji.
Ni WAVUNAJI.
Wanakuja na 'Combine Harvesters' kuvuna Ngano ambayo hawakushiriki kuipanda.
Ningekuwa na uwezo, UAMUZI wangu ungekuwa MADINI YOTE YACHIMBWE NA WAZAWA PEKEE.
Dhahabu zote zingekuwa zinauziwa Tanzania na Benki Kuu ya Tanzania ingekuwa imejaa Dola za Kimarekani na Euro za Ulaya na Fedha za Mataifa mengi ya Nje.
 
Huu ni Ushauri wa Bure kwa Rais Samia kwenye mabadiliko tarajiwa ya cabinet kufuatia Ripoti ya CAG, namshauri Rais Samia, asibabaike sana na kuangalia ma vyeti ya usomi kwenye uteuzi wa cabinet yake, atumie watu wenye uzoefu, mfano Waziri wa Fedha wa sasa Dr. Mwigulu Mnchemba ni msomi mzuri wa uchumi, ana 1st Class ya degree ya uchumi kutoka UDSM, lakini sio mtu wa ki fedha fedha!. Hajawahi kushika na B na ma B na ma B mikononi mwake kama Dr. Charles Kimei alipokuwa CRDB, hivyo Wizara ya Fedha akimpa Dr. Kimei, fedha zitakuwa zimefika kwenyewe.

Kwenye biashara na uwekezaji, kuna wasomi wawili, madaktari wa PH.D, je, wanewahi kufanya chochote hata kuuza nyanya tu? Kwenye Biashara Uwekezaji ampe Deo Mwanyika, kina Sumri, kina Shabiby, Abood etc, watu wenye uzoefu wa kufanya biashara.

Aunde Baraza dogo lenye mawaziri wenye uzoefu, ukiwa na mtu mwenye uzoefu, hawezi kupigwa kirahisi kama msomi mwenye vyeti lakini hajawahi kuuza hata toothpicks!

Ni ushauri tu.

Paskali
Mwigulu is an Economist in Profession but not a Financial Economics expert.
Hajawai ku-practice taaluma yake ya Uchumi kama akina Dr Mpango, Marehemu Professor Beno Ndulu,Dr Kimei nk.
Kaka Pascal ingia LinkedIn kuna Watanzania wana CV nzito na wanafanya kazi kwenye reputable organization and companies lakini mpaka unafika mahala unashangaa inakuaje tuna ongozwa na watu wa ajabu!

Sent from my V2111 using JamiiForums mobile app
 
Huu ni Ushauri wa Bure kwa Rais Samia kwenye mabadiliko tarajiwa ya cabinet kufuatia Ripoti ya CAG, namshauri Rais Samia, asibabaike sana na kuangalia ma vyeti ya usomi kwenye uteuzi wa cabinet yake, atumie watu wenye uzoefu, mfano Waziri wa Fedha wa sasa Dr. Mwigulu Mnchemba ni msomi mzuri wa uchumi, ana 1st Class ya degree ya uchumi kutoka UDSM, lakini sio mtu wa ki fedha fedha!. Hajawahi kushika na B na ma B na ma B mikononi mwake kama Dr. Charles Kimei alipokuwa CRDB, hivyo Wizara ya Fedha akimpa Dr. Kimei, fedha zitakuwa zimefika kwenyewe.

Kwenye biashara na uwekezaji, kuna wasomi wawili, madaktari wa PH.D, je, wanewahi kufanya chochote hata kuuza nyanya tu? Kwenye Biashara Uwekezaji ampe Deo Mwanyika, kina Sumri, kina Shabiby, Abood etc, watu wenye uzoefu wa kufanya biashara.

Aunde Baraza dogo lenye mawaziri wenye uzoefu, ukiwa na mtu mwenye uzoefu, hawezi kupigwa kirahisi kama msomi mwenye vyeti lakini hajawahi kuuza hata toothpicks!

Ni ushauri tu.

Paskali
ni maoni na mtazamo mzuri,

Yes
tunaelekea kipindi cha Tengua Teua nyingi mno ktk muda mfupi ujao, muda wa kati na muda mrefu ujao hadi 2025. Mabadilko yatalenga zaidi Baraza la mawaziri, wakuu wa mikoa, Wilaya, wakurugenzi, wakuu wa taasisi na mashirika ya umma na wateule mbalimbali wa Rais.

Kwa hao watu ulio wapendekeza, binafsi sioni yeyote miongoni mwao akipewa fursa hiyo au kuhusishwa kwenye teuzi yeyeote tarajiwa .

Zaidi sana sidhani hata kidogo ikiwa waziri wa fedha anaweza kuguswa kwenye mabadiliko yeyote ya Baraza la mawaziri kwa namna yeyote ile, huyu anakwenda hadi 2025 bila wasi wasi wowote.
 
Back
Top Bottom