Ushauri, Maoni, Mapendekezo na Pongezi kwa Mkuu wa Mkoa wa Dar, Paul Makonda

Hajui kitu huyu anadhani anaongoza chama cha swisswism,na matamko buku jero yasiyo na tija kichwa wala miguu.
 
Anaruka ruka, kwa nini asikomae tu issue moja ya usafi wa jini hilo tu linatosha kumpa sifa zote anazotaka
 
Mkuu ana utoto mwingi ili afanikiwe anatakiwa atulize kichwa apange mipango yake bila mbwembwe matamko ya kitoto aachane nayo ayatamsaidia kitu kila jambo analoanzisha hakuna hata moja anarofukisha mwisho punguza utoto mkuu miaka mitano ni muchache sana
 
Dawa ni kuyafuta maagizo yote na kuanza upya,upya ambao utalenga kuwashirikisha vijana wa dar katika kila hatua ya maendeleo.
Ok lakini je kwa tabia na hulka yake ya "kimbele_front" kumfurahisha Mukulu anayo maono na hekima kama hiyo ya kujisahihisha?! Mie namuona ni " too self righteous and Egocentric" kama Baba yake kwamba 1. Ana majawabu yote ya matatizo ya Dar 2. Hawezi kukosea na 3. Hana decency ya kukiri anakosea kama binadamu wengineo sote, such vices hazitamuwezesha kufaulu kwa lolote lisilo na Godfather!! Poor him.
 
Sio kwamba hana vision,anazo yule ni msomi ila zinavurugwa na mikakati ya sasa,isio kuwa na mwelekeo wa moja kwa moja na pengine nidhamu ya woga.

Kwa vyovyote,usipozingatia hali halisi ya mazingira yako na kuyakubali kuendana nayo,upo matatani.
Hana vision kbisa tangia amekuwa mkuu wa wilaya amefanya jambo gani nzuri zaidi ya misifa.tuone ataifanyia nn DSM yeye anapiga fitina ili aonekane anafanyakazi wakt hana mikakati anakurupuka tuu.
 
Chuki binafsi Na wivu kijana anajitahidi kufanya kazi
 
Hiyo ibara imeitaja na UDART?
Mwendokasi ni hatari.
 
Kasema hakuna nchi inayoendelea kwa sababu ya maandamano.. Anazidiwa akili na mashoga.. Hajui maendeleo ni akili mbili zikinzane na hajui maana ya wapinzani ni kupinga..
Nilimsikia akitoa hiyo kauli kuhusu maandamano ,mpaka nikaona aibu mimi ,kuna watu sasa hivi nakimbia kuwasikiliza ,juzi akiwa ukonga alisema wale polisi wa FFU ni ma trekta na jamaa wanapiga makofi pwa pwa pwa
 
Hapana.
Makonda hafai kabisa.
Nadhani huenda ndio mkuu wa mkoa wa Dar wa Ovyo kabisa kuwahi kutokea toka tunapata Uhuru. Jamaa hajielewi, watendaji wa chini yake hawamwelewi na wananchi hawamwelewi kabisa. Yaani jamaa ni kama anashindana na Upepo, unadandia kila jambo ili kutafuta kick tu, lakini kuongoza ni sifuri kabisa.
 
Hapana hajui na haji kujua kwani hana utashi wa kujua.
Uongozi husomewa na mwingine ni kipaji. Hivi vyote vimempita kwa kasi.
Hulka yake ya kulazimisha inamcost sana. Yale aliyowaambia wakuu wa wilaya kuwa atawahamishie wilaya za pembezoni naona atakwenda yeye. Amesahau kuwa kusoma saikolojia ya wale unaowaongoza ni muhimu kwa kiongozi yoyote kitu ambacho yeye anakipuuza. Ushauri wangu kwake awe anasoma sana coments za wanajf kwani ni darasa tosha kwa mwenye kuhitaji kuongoza wengine. Ajipange sasa kabla hajachelewa na aache dharau na kiburi na kujidai.
 
HILI DARASA LA AKILI KUBWA..TAFUTA JUKWAA LA CHAT CHAT
Na yule jamaa uchwara naye kutangazwa tu imekuwa nongwa mbichwa mkuuubwa mpaka alichoapa kukilinda keshakisahau!!!

NADHANI ULIKUSUDIA "MADRASA KUBAAH"
 
Hamna kitu hapo kila siku matamko mapya utekelezaji zero
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…