Ushauri, Maoni, Mapendekezo na Pongezi kwa Mkuu wa Mkoa wa Dar, Paul Makonda

Huyu katoka wapi tena.. Ni kama hakuwepo katika sayari hii pekee inayosapoti maisha..
 
Hakika huyu mtu kazi yake nimfano wa kuigwa hakika anakipawa cha uongozi ni mtu wa maamuzi, mchapa kazi na mtetezi wa wanyonge anatendea haki wana daresalamaa ASANTE JPM kwa kutuwekea kijana uyu mwenye uthubutu hapa daresalaam
kwanini kaondoka kimya kimya tu SA jamaa bwege tu
 
Adhabu ya kughushi nyaraka ni miaka 7 jela
 
Ulitaka akuage kwa kua we mkewe?????? Fanya yako majungu sio mtaji
kwa haya majibu yako kama darasani kwenu kulikua na ziro mbili basi moja na BASHITE nyingine ya kwako
 
Ulitaka akuage kwa kua we mkewe?????? Fanya yako majungu sio mtaji
alete vyeti jamaaa na pride ndio kilicho mshusha mwisho wa pride ni shame hata vitabu vya dini vinasema hivo

saizi sura yake ataiweka wapi faliure anaetukana watu eti Wapuuzi kwenye mkutano wa hadhara

sasa kati ya yeye na hao aliokua anawatukana mbele ya watoto wao nani mjinga
 
Kwa kweli ni aibu. Alete tu vyeti mambo yaishe.
 
Ila majibu ya watendaji wa manispaa ni mazuri Kwa kushidwa kutakua kero za wananchi wanyonge walivuna walichopanda
 
Hakika huyu mtu kazi yake nimfano wa kuigwa hakika anakipawa cha uongozi ni mtu wa maamuzi, mchapa kazi na mtetezi wa wanyonge anatendea haki wana daresalamaa ASANTE JPM kwa kutuwekea kijana uyu mwenye uthubutu hapa daresalaam
Kasoro vyeti tu...
 
hivi jamaa umelipwa bei gani naona unajituma sana kada
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…