KweliiiNdege wafananao kwa kweli
Hana lolote la maana alilofanya zaidi ya kuingilia majukumu yasiyomuhusu
Kuongea sana kusikuogopeshe hizo ni silaha za mazwazwa kuongea kusiko na maana
Job description ya ukuu wa mkoa haijui wala hana sasa anafanya kazi nzuri zipi au kwa mwongozo gani
Usiyoyajua ni usiku wa giza

Hilo umesema wew au kimambi?Makonda yupi?
Yule anayepanga na kuratibu mauaji ya wapinzani?
NashkuruKm kwako ndio unamuona ana akili sana basi akili yako itakuwa chini ya akili yake.
Huu ni wivu wala sio chuk..mjomba,jitahid kupunguza hii kitu,huenda ndio inayokukwamisha kimaishaToa kinyesi chako hapa...... Shubamitt
Labda kwel mkuu.Wakuu wa mikoa wote wapo deep na mikoa yao, sema wao hawajipendekezi kutumia media kama huyu anavyofanya kwa malengo yake binafsi. Sio kila unachofanya mpaka media iwepo, unafikiri hao wa mikoa mingine huwa wanaenda kukaa tu maofisini?
KweliWakuu.huyu jamaa na mapunguf yake yoote,ila kaz ya ukuu wa mkoa anaiweza,..nafuatiliaga mikutano yake ma mahojiano yake,...anauwezo mkubwa wa kujieleza na kueleza maswala hususan ya mkoa huu...plus jitihada zake mbalmbal etc...namskiliza kwenye kipima joto hapa ITV,..yuko vzur
Bila chuk wala vijiba,wala roho mbaya wala wivu
.jamaa yuko vzur.
Narudia tena,sina chama,wala,sina shobo na mtu kutafta namna fulan ya wadhifa.
Hapana...ni jus mtazamo tuu
Siyo huna chama ata AKILI huna nyau wewe..! Makondakta eti awe deep tumbafu utakuwa na utapiamlo wa akili..Wakuu.huyu jamaa na mapunguf yake yoote,ila kaz ya ukuu wa mkoa anaiweza,..nafuatiliaga mikutano yake ma mahojiano yake,...anauwezo mkubwa wa kujieleza na kueleza maswala hususan ya mkoa huu...plus jitihada zake mbalmbal etc...namskiliza kwenye kipima joto hapa ITV,..yuko vzur
Bila chuk wala vijiba,wala roho mbaya wala wivu
.jamaa yuko vzur.
Narudia tena,sina chama,wala,sina shobo na mtu kutafta namna fulan ya wadhifa.
Hapana...ni jus mtazamo tuu
Nakutakia pasaka njema mkuu.Wakuu.huyu jamaa na mapunguf yake yoote,ila kaz ya ukuu wa mkoa anaiweza,..nafuatiliaga mikutano yake ma mahojiano yake,...anauwezo mkubwa wa kujieleza na kueleza maswala hususan ya mkoa huu...plus jitihada zake mbalmbal etc...namskiliza kwenye kipima joto hapa ITV,..yuko vzur
Bila chuk wala vijiba,wala roho mbaya wala wivu
.jamaa yuko vzur.
Narudia tena,sina chama,wala,sina shobo na mtu kutafta namna fulan ya wadhifa.
Hapana...ni jus mtazamo tuu
nakuhakikishia makonda ni miongoni mwa wakuu wa mikoa wapumbavu kuwahi kutokea hapa nchini. huyu wala huhitaji kukagua vyeti vyake ili ujue kwamba ni vya kubumbabumba. nitajie alofanikisha na sisi tukuoneshe anaposhindwa kisha tupime. mfano ni kweli dar hakuna ombaomba? ni kweli usafi unaofanyika kilaleo uaifanya jiji liwe safi? unaamrishaje watu wafanye usafi bila kuwambia zile taka wanaenda kuzitup wapiiiiWakuu.huyu jamaa na mapunguf yake yoote,ila kaz ya ukuu wa mkoa anaiweza,..nafuatiliaga mikutano yake ma mahojiano yake,...anauwezo mkubwa wa kujieleza na kueleza maswala hususan ya mkoa huu...plus jitihada zake mbalmbal etc...namskiliza kwenye kipima joto hapa ITV,..yuko vzur
Bila chuk wala vijiba,wala roho mbaya wala wivu
.jamaa yuko vzur.
Narudia tena,sina chama,wala,sina shobo na mtu kutafta namna fulan ya wadhifa.
Hapana...ni jus mtazamo tuu
Sawa sawaNdugu wakigombana shika jembe ukalime