Ushauri: Nahitaji kuchukua mkopo wa milioni 30 kwajili ya biashara ya mahindi

Mm sikushauri uchukue mkopo kwa ajili ya kuanza biashara ambayo hauna uelewa nao vizuri.Asante
Million 30 si ananunua vi probox viwili used vilivyonyooka...
Per day vinaleta hesabu 100k
 
Ni
Nimefanikiwa kweny Quality Alhamdulillah nlikua na kipimo na Faida Nimepata
 
Umeongea mengi ila hapo hakuna litakalofanya afanikiwe kwenye hio biashara.
Atafute wafanyabiashara wa hio kazi akae nao awafanyie kazi hata miezi miwili, atakuwa ashaelewa kila kitu
Brother Nashkuru Allah Nimefanikiwa mbona , Na naendelea nayo angalia picha mwisho wa slide
 
Yaan unamwaga 30 mil kwa utafiti wa kusikia. Kifupi hakuna information yoyote uliyo nayo kuhusu hiyo biashara.kusema umepata saoko kwa kusikia maongezi ya vijiweni utalia baadae. Chukua hiyo hela nenda kaweke utt wakati unajifikiria
Brother nimefanya na Nimefanikiwa kwa hizo hizo stry za kijiwen ulizosema 😂
 
Tafuta demu mwenye nyashi ya kumwagia ndani ndio uanze kufikiria investment
 
determination , na kuvunjwa moyo kote umekomaa hongera kijana utafika mbali.
 
Ntakupa dereva anayepeleka mahindi KENYA uende naye kwamiezi mitatu kisha utaamua kama uendelee kuchukua mkopo au la
 
Hongera sana kwa uthubutu..kuweka stock inalipa sana ukifanya timing na kupata quality nzuri ya Mazao..Ndugu yangu alikopa 70m kwa ajili ya mahindi ambayo alitumia kama 40m tu kununua mahindi nyingine akapeleka kwenye shughuli zingine..ayo mahindi ya 40m ndio yaliolipa mkopo wote wa karibia 80m plus riba sasa imagine angenunua ya 70m yote..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…