USHAURI: Nani asimame kati ya Baba mlezi na Baba mzazi kwenye send off na harusi!!

Teh!
 
Watupa watoto mkiwa bize kujitutumua.
 
Kiroho Safi big heart
 
Kitu cha kufanya apo ni kuangalia wapi penye uzito,,,,, but mm namshauri aende kwa baba mzazi huwezi juwa kwann waliachana sometime hawa single mothers wanaopandikiza chuki watoto kuhusu baba zao,,,,
 
Kitu cha kufanya apo ni kuangalia wapi penye uzito,,,,, but mm namshauri aende kwa baba mzazi huwezi juwa kwann waliachana sometime hawa single mothers wanaopandikiza chuki watoto kuhusu baba zao,,,,
Hata kama waliachana sio sababu ya kuwa mbali nae. Si angemchukua akae nae? Nyie watupa watoto huwa mna akili mbovu sana
 
Kitu cha kufanya apo ni kuangalia wapi penye uzito,,,,, but mm namshauri aende kwa baba mzazi huwezi juwa kwann waliachana sometime hawa single mothers wanaopandikiza chuki watoto kuhusu baba zao,,,,
Sasa kama mama kapandikiza chuki ndio upotee kwa miaka ishilini? Kwann usimtafute mtoto kimya kimya.
 
Ukikua utaacha maana kwa akili hizo sidhani kama una mke
Wewe kwa upuuzi unaoandika humu kama una mke alitakiwa akukimbie mapema sana. Na kama una watoto nae huyo mkeo ni bora kawatafutia baba mwingine wa kuwalea. Huna akili kabisa wewe
 
Mtu haitwi baba kisa amekulea kama ni hivyo wajomba kibao wangestahili hiyo Title.

Mtu anaitwa baba ikiwa amekusababishia wewe kuwepo duniani kifupi mbegu imetoka kiunoni mwake.

Sasa unajiuliza nini peleka kwa baba mwenyewe afurahie uwepo wako
Wewe ni lofa
 
Hata kama waliachana sio sababu ya kuwa mbali nae. Si angemchukua akae nae? Nyie watupa watoto huwa mna akili mbovu sana
Tuulize sisi tukuelezee situation nzima mm mke wangu alikimbia na mtoto anampeleka kwao sasa vita ilikuja kwenye kumchukua ndugu zake walingaka kama chui alieguswa mkia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…