USHAURI: Nani asimame kati ya Baba mlezi na Baba mzazi kwenye send off na harusi!!

Pumbavu wewe! Uzazi maana yake kuchangia mbegu ndiyo! Mbona mnageuza vitu kijinga? Uzazi ni nini sasa? Anakwambia alimlea kidogo! Ana mzani wa kupima kiasi cha malezi. Aende kwa mzazi wake aachane na laana hizo.
Kwa kuwa na mlezi yupo ashirikiane na mzazi wapokee mahari. Kwisha!!
Teh!
 
Watupa watoto mkiwa bize kujitutumua.
 
Mimi Nina Watoto na wife Mdogo wake she passed away, naishi na mtoto wake pia na baba yake mzazi yupo hai sijui kama wife huwa anapokea sapoti kwa siri au vipi lakini in short sioni support yoyote lakini sitaki kuvaa ubaba mzazi, nitabaki kuwa mlezi na sitalajii chochote kutoka kwake.
Kiroho Safi big heart
 
Kitu cha kufanya apo ni kuangalia wapi penye uzito,,,,, but mm namshauri aende kwa baba mzazi huwezi juwa kwann waliachana sometime hawa single mothers wanaopandikiza chuki watoto kuhusu baba zao,,,,
 
Hata kama waliachana sio sababu ya kuwa mbali nae. Si angemchukua akae nae? Nyie watupa watoto huwa mna akili mbovu sana
 
Sasa kama mama kapandikiza chuki ndio upotee kwa miaka ishilini? Kwann usimtafute mtoto kimya kimya.
 
Ukikua utaacha maana kwa akili hizo sidhani kama una mke
Wewe kwa upuuzi unaoandika humu kama una mke alitakiwa akukimbie mapema sana. Na kama una watoto nae huyo mkeo ni bora kawatafutia baba mwingine wa kuwalea. Huna akili kabisa wewe
 
Hata kama waliachana sio sababu ya kuwa mbali nae. Si angemchukua akae nae? Nyie watupa watoto huwa mna akili mbovu sana
Tuulize sisi tukuelezee situation nzima mm mke wangu alikimbia na mtoto anampeleka kwao sasa vita ilikuja kwenye kumchukua ndugu zake walingaka kama chui alieguswa mkia
 
Back
Top Bottom