Moronight walker
JF-Expert Member
- Aug 3, 2021
- 3,103
- 4,704
- Thread starter
- #101
Mkuu ujaenda kanisani??Aende anapoitwa jina la mwisho na la kati
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu ujaenda kanisani??Aende anapoitwa jina la mwisho na la kati
Leo sijaenda kanisani nipo tuMkuu ujaenda kanisani??
Hii ndo tabu ya kuwa na maneno mengi kichwani mwisho akili zinakosekana. Wewe ni jitu pumbavu kabisa. Hao watoto alioshare nao mama sio ndugu zake? Mbona mnakuwa majinga sana nyie majitu? Watu umekuwa nao tangu uko mdogo na you are bloody related afu linatokea pumbavu moja hapa JF linasema eti sio ndugu zake. Matako kweliNa watoto waliozaliwa kwenye hiyo familia sio Ndugu WA huyo Binti, Ndugu zake wapo upande wa Baba.
Kutia mimba bila matunzo ya mtoto ni ufedhuli. Anayestajili Zawadi na kuandaa send off ni Baba mlezi. Baba mtoa mbegu na kusepa aalikwe kama mgeni tu. Ila ingekuwa Mimi ningemkalisha na Baba mlezi wote high table Ila sifa zote kwa mlezi wangu. Iwe fundisho kwa wagawa mbegu wote. Hivi Mimi Zogwale nitaachaje mtoto wangu bila kumtunza na kumsomesha? Hata kama mama yake tumetengana au kuzaa tu pembeni yaani mtoto namtunza Sawa kabisa na mtoto ndani ya ndoa hata kama siishi naye. Funza adabu huyo Mbwa mgawa mbegu maana ni Mbwa na kuku au wanyamaa wa kiume pekee hawatunzi watoto Kwa asili yao. Japo wapo jogoo wachache wanajali vifaranga
Baba mlezi apewe heshima yake ,huyo baba mzazi kama aibu alitakiwa aone pale mwanaume mwenzake anapomlelea mwanaye.Habari wana jf kuna ishu inachanganya huku, kuna harusi miezi 3 ijayo sasa huyu binti anayeolewa anababa yake mzazi ambaye Hakushi naye alikuwa anaishi na mama yake wa mzazi wa kumzaaa na baba wa kufikia, Sasa kwenye malezi Baba wa kufikia ndo alikuwa ana muhudumia kila kitu na alikuwa anaishi kwake lakini Baba yake ambaye alikuwa na ndoa nyingine kahusikia kwenye malezi kiasi kidogo sana tena sana, na kwenda kwa Baba mzazi alikuwa ni likizo tuu kama 2 weeks anarudi kwa mama na baba wa kufikia.
Sasa kapata kigugumizi kuhusu wapi apeleke mchumba wake apeleke posa na pia wapi mahari ikatolewe pamoja na wapi afanyie send-off wake kwa Baba yake mzazi au malezi?
Baba mlezi kamwambia kuwa aende kule kwa Baba yake mzazi iringa. Ila binti anaona Baba yake mzazi hakuusika hata kwenye malezi alimuacha kwa mama yake akiwa na umri wa mwaka 1 na yeye kuoa mwanamke mwimgine. Kuna kipindi akimuomba hata pesa kidogo mzee anazungusha maneno tuu.
Sasa send off ifanyike iringa au dsm anapoishi na mzazi mlezi?
Na kama dsm nani aiandae sherehe hio?
Na kuna zawadi anataka kuotoa ya Alphard gari kwa Baba mlezi coz alimlea kama mwanae wa kumzaa bila kubagua na hata baada ya kumaliza chuo alimsaidoa kumtafutia kazi na pesa kidogo alimpa.
Na ikifanyika iringa zaiwadi ya gari ampe mlezi kule iringa.
KAONGEA NA WATU WENGI WAMEMWAMBIA KUWA AMSHILIKISHE TUU BABA MZAZI NA SIO BABA MLEZI. ITAONEKANA NI AIBU.
Aiseeh! watoto wengi waliolelewa bila baba ua na maisha magumu sana usipotoshe watu. Wengi pia ua mashoga kwa wanaumeNi Jehova mwenyewe anafanya
Hii ndo tabu ya kuwa na maneno mengi kichwani mwisho akili zinakosekana. Wewe ni jitu pumbavu kabisa. Hao watoto alioshare nao mama sio ndugu zake? Mbona mnakuwa majinga sana nyie majitu? Watu umekuwa nao tangu uko mdogo na you are bloody related afu linatokea pumbavu moja hapa JF linasema eti sio ndugu zake. Matako kweli
Nini Mbegu wewe au Hujui sikuhizi kuna issue za Sperm donor, Huyo baba mzazi haku act kwenye ufatherhood, Asidharauliwe ila pia asipiwe Attention yoyote, Avune alichopandaMtu haitwi baba kisa amekulea kama ni hivyo wajomba kibao wangestahili hiyo Title.
Mtu anaitwa baba ikiwa amekusababishia wewe kuwepo duniani kifupi mbegu imetoka kiunoni mwake.
Sasa unajiuliza nini peleka kwa baba mwenyewe afurahie uwepo wako
Wewe akili zako fupi. Ndo maana kazi kuandika maarticle marefu yaliyojaa upuuzi. Umekimbilia kuwaza makabila kwa vile akili zako ndo zilipoishia. For as long as you share a parent. You are relatives. Na sasa kama hujui watu walioshare mama huwa wanakuwa karibu zaidi kuliko walioshare baba. Tumia akili kufikiri sio mdomo😂😂😂
Sasa unakataa ukweli?
Huo ndio ukweli.
Kwa hiyo kwaakili zako unaamini Baba yako akiwa Msukuma nawe utakuwa Msukuma bila Shaka akachana na Mama yako, kisha Mama yako akaolewa na Mzungu wakazaliwa watoto ambao bila Shaka ni Wazungu. Ninyi mtakuwa Ndugu si eti eeh?
Wewe bisha utakavyobisha lakini huo ndio Ukweli.
Ndo maana singlemom hatuolewi kwa sababu ya wanaume kuogopa kupata mwanamke na mtoto wasio na akili wala shukrani.Cha kujiuliza ni nini hapo sasa? [emoji57]
Una watu wako wa karibu ambao wamekuwa mashoga kwa kuwakosa baba zao?Aiseeh! watoto wengi waliolelewa bila baba ua na maisha magumu sana usipotoshe watu. Wengi pia ua mashoga kwa wanaume
Kama ameamua kusurrender basi asilete kutaka involvement kwa wakati huuWengi hamjui matatizo ya kwa nini baba anaweza kufikia maamuzi ya kusalenda kuhusu mtoto, Inahitaji maturity kuyajuwa haya mambo kwa undani.
Hilo somo la kujua kuwa baba ndio unaleta kiumbe duniani lingeeleweka vema watu wasingekuwa wanakataa kulea watoto waliowazaa,Mtu haitwi baba kisa amekulea kama ni hivyo wajomba kibao wangestahili hiyo Title.
Mtu anaitwa baba ikiwa amekusababishia wewe kuwepo duniani kifupi mbegu imetoka kiunoni mwake.
Sasa unajiuliza nini peleka kwa baba mwenyewe afurahie uwepo wako
Hizi ni akili za kiafrika. Kwenye jamii zilizostaarabika, unazaa mtoto unamlea and you can claim hiyo title ya ubaba. Huwezi zaa mtu afu ukimbie majukumu then uje uclaim kuwa baba. Huo ni ujinga. Zaa, lea. Unless you’re dead ila ukikimbia wewe ni useless punk. Hustahili heshima yoyoteUnafikiri kutoa mbegu ni Jambo Dogo eeh?😂😂
Kweli kuna Watu Akili bado haijakua.
Kwenye Hii Dunia Mzazi ni Baba aliyekuzaa na Mama aliyekuzaa, wengine wote waliobaki wanaweza kuwa Walezi Ila kamwe hawatoweza kuwa Wazazi wako.
Hakuna mtu anayejitambua ambaye atapata sababu yoyote Ile ya kutokumheshimi mzazi wake iwe NI mama au Baba.
Ukikua utaelewa
Hapo wala hakuna ugumu, aende Kwa Baba yake mzazi amuelezee kinachoendelea, Wajadili kisha sherehe ifungwe Baba akiwa ameshirikishwa Kwa 100%
Kusalenda sio tatizo. Ila uende mazima. Sio ukiona mambo yamekuwa mazuri unaanza kujileta letaWengi hamjui matatizo ya kwa nini baba anaweza kufikia maamuzi ya kusalenda kuhusu mtoto, Inahitaji maturity kuyajuwa haya mambo kwa undani.
Ampe tu hio hio siku ya send off ili sperm donor ajifunze.Hio Alphard kwani Lazima ampe huyo baba Mlezi siku ya send off??
Atampa siku Ingine. Aitunze. Au anataka show off za siku ya send off??