Robert Heriel Mtibeli
JF-Expert Member
- Mar 24, 2018
- 28,297
- 68,017
Wewe akili zako fupi. Ndo maana kazi kuandika maarticle marefu yaliyojaa upuuzi. Umekimbilia kuwaza makabila kwa vile akili zako ndo zilipoishia. For as long as you share a parent. You are relatives. Na sasa kama hujui watu walioshare mama huwa wanakuwa karibu zaidi kuliko walioshare baba. Tumia akili kufikiri sio mdomo
Kuwa karibu haimaanishi ninyi ni Ndugu.
Wewe ndio Akili zako fupi, Pengine hapo hata hujui unachokiandika,
Ndugu upande wa Mama wanakuwa Ndugu Kwa ku-share Mama lakini sio Ndugu Kwa asili😂😂😂
Baba ndio hutoa mbegu(chanzo cha asili),
Undugu WA asili unatoka Kwa Baba, Vijana WA siku hizi mnashindwa Akili mpaka na Wanyama.
Nakuongezea tuu maarifa,
Mwanamke anaweza kuwekewa kijusi ambacho ni mbegu na yai la Mwanamke mwingine akawekewa kwenye Mji WA Uzazi kisha akajifungua, hapo utasema pia ni ndugu ulivyo na Akili fupi.😀😀
Sijui hata kama unajua maana ya Baba na Mama