Street brain
JF-Expert Member
- Oct 24, 2022
- 584
- 767
Acha ujinga bwana mdogo jitu zima gogiWewe ni matako makubwa sana
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Acha ujinga bwana mdogo jitu zima gogiWewe ni matako makubwa sana
Teh!Pumbavu wewe! Uzazi maana yake kuchangia mbegu ndiyo! Mbona mnageuza vitu kijinga? Uzazi ni nini sasa? Anakwambia alimlea kidogo! Ana mzani wa kupima kiasi cha malezi. Aende kwa mzazi wake aachane na laana hizo.
Kwa kuwa na mlezi yupo ashirikiane na mzazi wapokee mahari. Kwisha!!
Watupa watoto mkiwa bize kujitutumua.Pumbavu wewe! Uzazi maana yake kuchangia mbegu ndiyo! Mbona mnageuza vitu kijinga? Uzazi ni nini sasa? Anakwambia alimlea kidogo! Ana mzani wa kupima kiasi cha malezi. Aende kwa mzazi wake aachane na laana hizo.
Kwa kuwa na mlezi yupo ashirikiane na mzazi wapokee mahari. Kwisha!!
Si bure huenda wanakumbatoAcha ujinga bwana mdogo jitu zima gogi
Kiroho Safi big heartMimi Nina Watoto na wife Mdogo wake she passed away, naishi na mtoto wake pia na baba yake mzazi yupo hai sijui kama wife huwa anapokea sapoti kwa siri au vipi lakini in short sioni support yoyote lakini sitaki kuvaa ubaba mzazi, nitabaki kuwa mlezi na sitalajii chochote kutoka kwake.
😂😂namwona anavyohahaWatupa watoto mkiwa bize kujitutumua.
Ovyooo sana!! Utasikia mama ndo chanzo ,sasa kama mama ni chanzo na mtoto nae?.😂😂namwona anavyohaha
Ukikua utaacha maana kwa akili hizo sidhani kama una mkeSi bure huenda wanakumbato
Hata kama waliachana sio sababu ya kuwa mbali nae. Si angemchukua akae nae? Nyie watupa watoto huwa mna akili mbovu sanaKitu cha kufanya apo ni kuangalia wapi penye uzito,,,,, but mm namshauri aende kwa baba mzazi huwezi juwa kwann waliachana sometime hawa single mothers wanaopandikiza chuki watoto kuhusu baba zao,,,,
Shida tupuOvyooo sana!! Utasikia mama ndo chanzo ,sasa kama mama ni chanzo na mtoto nae?.
Sasa kama mama kapandikiza chuki ndio upotee kwa miaka ishilini? Kwann usimtafute mtoto kimya kimya.Kitu cha kufanya apo ni kuangalia wapi penye uzito,,,,, but mm namshauri aende kwa baba mzazi huwezi juwa kwann waliachana sometime hawa single mothers wanaopandikiza chuki watoto kuhusu baba zao,,,,
Au hujaelewa? Mbona hakasema alimtupa. Shida ya nyie wanawake mkikosa na kuachika mnakuwa na visasi vya kudanganya watotoWatupa watoto mkiwa bize kujitutumua.
Wewe kwa upuuzi unaoandika humu kama una mke alitakiwa akukimbie mapema sana. Na kama una watoto nae huyo mkeo ni bora kawatafutia baba mwingine wa kuwalea. Huna akili kabisa weweUkikua utaacha maana kwa akili hizo sidhani kama una mke
Bahati nzuri watoto wa sikuhizi hawahitaji kuhadithiwa.Au hujaelewa? Mbona hakasema alimtupa. Shida ya nyie wanawake mkikosa na kuachika mnakuwa na visasi vya kudanganya watoto
Wewe ni lofaMtu haitwi baba kisa amekulea kama ni hivyo wajomba kibao wangestahili hiyo Title.
Mtu anaitwa baba ikiwa amekusababishia wewe kuwepo duniani kifupi mbegu imetoka kiunoni mwake.
Sasa unajiuliza nini peleka kwa baba mwenyewe afurahie uwepo wako
Tuulize sisi tukuelezee situation nzima mm mke wangu alikimbia na mtoto anampeleka kwao sasa vita ilikuja kwenye kumchukua ndugu zake walingaka kama chui alieguswa mkiaHata kama waliachana sio sababu ya kuwa mbali nae. Si angemchukua akae nae? Nyie watupa watoto huwa mna akili mbovu sana