USHAURI: Nani asimame kati ya Baba mlezi na Baba mzazi kwenye send off na harusi!!

1. Ampeleke Mchumba Kwa Baba yake mzazi.
Baba Mlezi sio Baba yake,
Kumpeleka Mchumba Kwa Baba mzazi kuna faida za Asili ikiwemo kuepusha kuoana Ndugu.

Huyo Mchumba wake kama anaakili hatakubali kutambulishwa Kwa Baba asiyehalisi wa huyo Binti. Lengo la utambulisho ni kujua wazazi na Ndugu za mwenza wako. Huyo Baba sio mzazi wa huyo Binti ni mlezi tuu. Na watoto waliozaliwa kwenye hiyo familia sio Ndugu WA huyo Binti, Ndugu zake wapo upande wa Baba.

2. Kwenda kumtambulisha sio kwenda kutoa Mahari. Ingawaje Mchumbaake anaweza kutoa Zawadi ndogo Kwa Baba mkwe(Baba halisi wa Binti)
Huyo mchumbaake kama amekomaa Kiakili anajua changamoto zote za wanaume hivyo hata yeye anajua yanaweza kumtokea yaliyomtokea Babamkwe wake, kwani kuzaa na Wanawake tofauti tofauti ni Jambo la kawaida Kwa Sisi wanaume.

3. Send-off ifanyikie Dar es salaam alipolelewa Binti, Ila Baba apewe mualiko aje na ikiwezekana agharamiwe safari na Nguo nzuri kama Baba Hana uchumi mzuri.( Hii itafanywa na mabinti waliokomaa kiakili)

4. Zawadi kubwa kubwa asitoe siku ya sherehe kumkabidhi huyo Baba Mlezi, anaweza kuwapa Zawadi zinazofanana siku ya sherehe kisha siku nyingine ndio ampe Zawadi huyo Baba Mlezi.

Binti na Vijana wengine waelewe, Kuzaliwa ndio Zawadi kubwa na namba moja ambayo hakuna MTU mwingine anayeweza kukupa isipokuwa Mungu na Mzazi wako.

Baba Walezi wanaweza kuwa hata Mia moja lakini Baba mzazi ni mmoja tuu. Hivyohivyo Kwa Mama mzazi ni mmoja tuu.
Zaidi, mzazi asimpelekeshe mtoto aliyekua mkubwa Kwa sababu yoyote Ile iwe alimlea au hakumlea.
 
Na watoto waliozaliwa kwenye hiyo familia sio Ndugu WA huyo Binti, Ndugu zake wapo upande wa Baba.
Hii ndo tabu ya kuwa na maneno mengi kichwani mwisho akili zinakosekana. Wewe ni jitu pumbavu kabisa. Hao watoto alioshare nao mama sio ndugu zake? Mbona mnakuwa majinga sana nyie majitu? Watu umekuwa nao tangu uko mdogo na you are bloody related afu linatokea pumbavu moja hapa JF linasema eti sio ndugu zake. Matako kweli
 

Unafikiri kutoa mbegu ni Jambo Dogo eeh?😂😂
Kweli kuna Watu Akili bado haijakua.
Kwenye Hii Dunia Mzazi ni Baba aliyekuzaa na Mama aliyekuzaa, wengine wote waliobaki wanaweza kuwa Walezi Ila kamwe hawatoweza kuwa Wazazi wako.

Hakuna mtu anayejitambua ambaye atapata sababu yoyote Ile ya kutokumheshimi mzazi wake iwe NI mama au Baba.

Ukikua utaelewa

Hapo wala hakuna ugumu, aende Kwa Baba yake mzazi amuelezee kinachoendelea, Wajadili kisha sherehe ifungwe Baba akiwa ameshirikishwa Kwa 100%
 
Baba mlezi apewe heshima yake ,huyo baba mzazi kama aibu alitakiwa aone pale mwanaume mwenzake anapomlelea mwanaye.
Send off ipelekwe kwa baba mlezi na ndinga achukue .
 

😂😂😂
Sasa unakataa ukweli?
Huo ndio ukweli.

Kwa hiyo kwaakili zako unaamini Baba yako akiwa Msukuma nawe utakuwa Msukuma bila Shaka akachana na Mama yako, kisha Mama yako akaolewa na Mzungu wakazaliwa watoto ambao bila Shaka ni Wazungu. Ninyi mtakuwa Ndugu si eti eeh?

Wewe bisha utakavyobisha lakini huo ndio Ukweli.
 
Mtu haitwi baba kisa amekulea kama ni hivyo wajomba kibao wangestahili hiyo Title.

Mtu anaitwa baba ikiwa amekusababishia wewe kuwepo duniani kifupi mbegu imetoka kiunoni mwake.

Sasa unajiuliza nini peleka kwa baba mwenyewe afurahie uwepo wako
Nini Mbegu wewe au Hujui sikuhizi kuna issue za Sperm donor, Huyo baba mzazi haku act kwenye ufatherhood, Asidharauliwe ila pia asipiwe Attention yoyote, Avune alichopanda
 
Hili Jambo linanouzu naona tu Kama VIP bablez aongeee alfu Wala sidhani Kama baba ake ataidhuria hatusi hyo
 
Wewe akili zako fupi. Ndo maana kazi kuandika maarticle marefu yaliyojaa upuuzi. Umekimbilia kuwaza makabila kwa vile akili zako ndo zilipoishia. For as long as you share a parent. You are relatives. Na sasa kama hujui watu walioshare mama huwa wanakuwa karibu zaidi kuliko walioshare baba. Tumia akili kufikiri sio mdomo
 
Ndo maana singlemom hatuolewi kwa sababu ya wanaume kuogopa kupata mwanamke na mtoto wasio na akili wala shukrani.Cha kujiuliza ni nini hapo sasa? [emoji57]

Hata mimi nimeshangaa.
Ingekua ni mimi sherehe na kila kitu ningefanya kwa baba mlezi maana ndo kanilea tangu nikiwa mtoto ila baba mzazi ningempa taarifa tu kwa heshima ya kuitwa baba mzazi.
 
Mtu haitwi baba kisa amekulea kama ni hivyo wajomba kibao wangestahili hiyo Title.

Mtu anaitwa baba ikiwa amekusababishia wewe kuwepo duniani kifupi mbegu imetoka kiunoni mwake.

Sasa unajiuliza nini peleka kwa baba mwenyewe afurahie uwepo wako
Hilo somo la kujua kuwa baba ndio unaleta kiumbe duniani lingeeleweka vema watu wasingekuwa wanakataa kulea watoto waliowazaa,
Mtu anatia mimba mtoto akizaliwa anamkataa halafu bado anataka apewe credit za kuitwa baba !! Thats nonsense ,simpendi diamond na vituko vyake ila the fact baba ake mzazi alimkataa diamond na kumwacha anahangaika akiwa mdogo, naunga mkono anachofanya domo
 
Hizi ni akili za kiafrika. Kwenye jamii zilizostaarabika, unazaa mtoto unamlea and you can claim hiyo title ya ubaba. Huwezi zaa mtu afu ukimbie majukumu then uje uclaim kuwa baba. Huo ni ujinga. Zaa, lea. Unless you’re dead ila ukikimbia wewe ni useless punk. Hustahili heshima yoyote
 
Wengi hamjui matatizo ya kwa nini baba anaweza kufikia maamuzi ya kusalenda kuhusu mtoto, Inahitaji maturity kuyajuwa haya mambo kwa undani.
Kusalenda sio tatizo. Ila uende mazima. Sio ukiona mambo yamekuwa mazuri unaanza kujileta leta
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…