Mnafiki Wa Kujitegemea
JF-Expert Member
- Dec 30, 2022
- 3,751
- 6,337
Kwamba nitawaambia nakuja kuchoma?
Kifupi Hasira hazilipi hata angeenda na mkuu wa Jeshi la Polisi angemwambia tukae nje wakimaliza ibada wakitoka tuwakanate nje lakini hata angekuwa IGP asingeingia kanisani au msikitini kumkamata
Ungechoma ni kesi ya mauaji Tena ya kukusudia.Kesi ya mauaji huchukua Hadi miaka 10 kuanza kusikilizwa ungenyea.ndoo Hadi ukome na mihasira Yako na mahakamani hupelekwi Kila siku waendesha mashtaka wanasema upelelezi unaendelea wanakuacha uoze huko mahabusu miaka 10 sababu bwege hujali wengine au kujijali mwenyewe kisheria wanakuacha uoze mahabusu sababu hata uhai wako mwenyewe huthamini Wala wa wengine Kwa mihemuko Yako ya kidini utafia mahabusu