Ushauri: Nimepewa RB kwa kosa la kufanya fujo kanisani

Kwamba nitawaambia nakuja kuchoma?
 
Kwani
Badala ufurahi umepata mke mcha Mungu unaanza kuleta fuko,subili aache aanze mambo ya hovyo,utakuja hapa kulia Lia.
Kwani hayo aliyofanya huyo mwanamke kutelekeza watoto wadogo siyo ya hovyo?
 
Kwa nini hawakuacha mamlaka ya mbingu ikushughulikie kama ambavyo Huwa wanadai?
 
Kwanza ni Mungu gani huyo atakayesikia maombi ya mtu aliyetelekeza vichanga vyake Nyumbani bila maziwa? Hapo walikua wanatapeli watu tu na sio maombi hayo.
Watoto hulelewa na wazazi wawili baba na mama ok mleta mada kasema maziwa ya kopo yaliisha Kwa Nini asiende kununua ? Hela Hana? Kwa Nini asinunue wakati watoto hunywa maziwa ya kopo? Anasubiri Mkewe arudi kanisani ndio anunue ? Yeye kazi yake Nini kutembeza tu mti ulio katikati ya mapaja au? Majukumu yake ndani ya nyumba kulea hao Watoto ni Nini? Kama hata maziwa ya kopo hawezi nunua Hadi afuate mke kanisani? wanakunywa maziwa ya kopo akaangalia yameisha anabeba watoto kupeleka Kwa Mkewe kanisani Kwa Nini asinunue hayo maziwa ya kopo mpuuzi huyo ? Ina maana yeye lofa anategemea mke tu alete maziwa hata ya kopo lofa huyo?

Kilimshinda nini kununua maziwa ya kopo awape watoto Hadi aende kanisani kufanya fujo mke atoke kanisani? Mwambieni anasubiriwa mahakamani atajua mahakama haitetei wajinga kama yeye na kesi yake atapangiwa hakimu Mwanamke .Ajiandae
 
Watu wangu wanaangamia kwa kukosa maarifa. Hata hao wachungaji nina wasiwasi nao utambuzi wao. Roho Mtakatifu hawezi kuwatesa viumbe wadogo hivyo. Watoto wa miezi minne hata kazini unaenda nusu siku. Walishawahi jiuliza kwa nini kazini unapewa ruhusa ya kwenda nusu siku? Nampenda Mungu lakini hata yeye siamini kama anaunga mkono hicho kitendo cha huyo mwanamke.
 
Swali tu unajua mtoto anatakiwa aanze kutumia maziwa mengine baada ya muda gani kama mama hana tatizo? Na fujo ipi? Kumvuta mke wake aje amsikilize? Mbona mnataka kumkufuru Mungu? Vichanga vingekufa njaa mchungaji angezika na kuongea Bwana ametwaa? Seriously? Mpende Bwana Mungu wako, sio kanisa, sio mchungaji. Tatizo kwenye nafasi ya Mungu mmewaweka watumishi wake na wao kwa upumbavu wanaupokea utukufu bila kujua madhara yake. Umeshajiuliza kwa nini ofisi inamruhusu mzazi adanye kazi nusu siku arudi nyumbani kwenda kunyonuesha mtoto? Unafikiri walio tengeneza huo utaratibu ni wapumbavu?
 
Soma Kwa kutulia na wewe acha mihemuko mleta mada kasema hao Watoto Wana miezi minne na hutumia maziwa ya kopo pia yaliisha kabeba watoto sababu maziwa ya kopo.yameisha kaenda kumtoa mke madhabahuni aende kunyonyesha watoto mshenzi huyo mumewe watoto wanatumia maziwa ya kopo yameisha alishindwa kununua Hadi aende kusumbua Mkewe kanisani? Ina maana yeye analelelewa na mke hata Hela ya kopo la maziwa tu Hana likiisha anamfuata Mkewe hata kama Yuko madhabahuni akanunue kopo la maziwa.Hakuna mume mwanaume hapo huyo mume ni mume suruali tu na lile dudu katikati ya mapaja.Hakuna mume hapo
 
Kitendo cha mkeo kukushitaki ni kakudharau sana. Kwa hiyo anataka ufungwe au upigwe faini? Fikiria mara mbili huna ndoa hapo mkeo ni lipumbavu la kugawa bure

Sent from my SM-A217F using JamiiForums mobile app
Mimi ndoa ingevunjikia hapo hapo, asiponisikiliza Mumewe asepe zake na kisusio chake na maisha lazima yaendelee hata bila ya kuishi naye.

Sent from my CPH2387 using JamiiForums mobile app
 
[emoji15]

Sent from my CPH2387 using JamiiForums mobile app
 
"Waacheni Watoto wadogo waje kwangu kwa maana ufalme wa mbinguni ni wao" ni Yesu (Mungu) ndiye kasema hivyo, Doctor ni nani hata asipelekewe Watoto?

Acha utapeli kupitia kichaka cha dini.

Sent from my CPH2387 using JamiiForums mobile app
 
Wanawake bhana na dinii sijui huwa kuna shida ganiii...yuko radhi akatoe mil 2 kanisani kesho akuombe hela ya naulii very pathetic...ovyooo sanaa jitahdi kuwaelimisha hasa haya makanisa ya kirohooo ni balaaa tupu
Dini, vikoba, michezo na urembo wa mawigi, makalio, kope, kucha, matiti, ngozi bandia tokana na vipodozi pia hupumbaza sana akili za Ke.

Hivi viumbe tunaishi navyo tu sababu hutuzaa na kutuzalia Watoto lakini hata vyenyewe havijuagi akili zao hutaka nini haswa kimahusiano.

Sent from my CPH2387 using JamiiForums mobile app
 
Pima DNA ya hao mapacha namuchungaji.
Kifupi, unalisha na kumvisha nyumba ndogo ya muchungachi
 
Nimempenda mkeo kwa kitendo chake cha kuombea watu, sasa badala ya kupoteza muda kwenye makanisa ya watu ni heri afungue kanisa lake ajiajiri, kama familia mtakuwa mmepata family business.

Zingatia maokoto shemeji.
Mke wa jamaa ni nyumba ndogo ya mchungaji hilo lipo wazi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…