Black Sniper
JF-Expert Member
- Dec 10, 2013
- 32,406
- 55,148
[emoji16][emoji16][emoji16] poleeeKuna wangu kaenda chuo ndo yupo mwaka wa kwanza tayari mawasiliano yameshaanza kuyumba
Ni swala la muda tu
Eti kaa mbali na miti 😂😂😂Kama una bunduki isalimishe
Kama unawaza kujinyonga kaa mbali na miti
Hata makaa usinunue
Kuna wakati mwingine unaweza ukatabiri yanayokuja wewe mwenyewe halafu unapanga zaidi huku ukijua unaenda kubaya ila unasema potelea mbali
Sijui kama nimeeleweka maana nawaza matukio ya nyuma tu
Haha!!Wacha niendelee kufa kimya kimya tu
Ila dogo mtamu balaa na mimi ndo nilikuwa mwanaume wake wa kwanza kutoa usichana wake(najivunia katika hilo)
Nawaza nilivyokuwa namfanya kuna jamaa atakuwa tayari kashaanza kumfanya(ila nisihukumu katika hili perhaps ni ubize wa masoma na ugeni wa mazingira)[emoji1]
Stuka unapigwa.!Wadau tupeane uzoefu kidogo, nina mpenzi wangu au niseme mchumba maana hata kwao nimepeleka mahari, huyu dada ni msukuma wa Lunzewe, yupo chuo cha Mkwawa Iringa mwaka wa mwisho!
Tatizo linakuja usiku hapokei simu kabisa. Nikimuuliza anadai huwa anachoka, akipata tatizo la pesa anapiga simu hata usiku wa manane, ila nikiwa nashida nae mimi simu hapokei!
Kwa wale mliopita chuo hiki naombeni uzoefu wenu kuhusu tabia za wadada wanaosoma Mkwawa nisiendelee kupigwa!
Mchumba anasomeshwa cherehani tu mkuu[emoji4]Kuna wangu kaenda chuo ndo yupo mwaka wa kwanza tayari mawasiliano yameshaanza kuyumba
Ni swala la muda tu
[emoji38][emoji38][emoji38]Umeandika kikatili Sana mkuuKama una bunduki isalimishe
Kama unawaza kujinyonga kaa mbali na miti
Hata makaa usinunue
Kuna wakati mwingine unaweza ukatabiri yanayokuja wewe mwenyewe halafu unapanga zaidi huku ukijua unaenda kubaya ila unasema potelea mbali
Sijui kama nimeeleweka maana nawaza matukio ya nyuma tu
Akhsante mpendwa
Dah..!Huyo sio mchumba. Huyo ni muwekazaji. Na wewe ndio biashara yenyewe. Akihitaji faida ya biashara yake anakutafuta.
Asipopokea siku nyingine basi elewa yupo kwenye kufuatilia biashara zake nyingine. Kawaida kuna biashara huwa zina faida zaidi na hizo ndizo wawekezaji hupenda kutumia muda mwingi nazo.
Anko dereva kwani wewe humpigiagi aunt dereva simu usiku?
Ukute huko chuo anaishi kabisa na lijamaa wanabebeshana mimba wanatoaKuna mwana anaua third year pale nikupe no yake?[emoji23],,
Sikia mzee wasichana wengi wa chuo, wanampenzi wa chuo na pia wanampenzi wa nyumbani, kwahiyo saizi probably ni zamu ya huyo wa chuo we subiri arudi na huna namna utafanya kuzuia hilo labda ukawe lecture pale,,nimesema PROBABLY ila chance ni 80%
Ushauri
Iwe safari yake Bado(kama first au second year) au ndio mwaka wa mwisho wae amua kumsubiri, nimesema AMUA kumsubiri,Yani vumilia yote haya kwasabab wakiendaga chuo wanakuwaga na wenge sana ila wakimaliza ndo akili inawakaa kichwani
Lakini kumsubiri kwako kunaweza kusizae matunda maana uko uko chuo akampata wenyewe wanaitaga soulmate[emoji23], wake afu mwamba ikala kwako
Kwahy kama umeamua kuamini kwamba one day one time mambo yatakuwa yesi, fresh we believe mungu atakusaidia ila jiandae Kwa lolote chuo ni kiwanda cha uzinzi
Haha!!Mchumba anasomeshwa cherehani tu mkuu[emoji4]
Shindikana katika ubora wako!!!
Mkuu mwambie akihitaji jeneza la kisasa aje fasta!R.I.P
AMINAMwenyezi Mungu akupe nguvu kipindi hiki kigumu
Mkuu acha kimdanganya vyuoni mabinti wanagongwa sio kidogoPole sana huwezi ukaanza kuargue moja kwa moja huenda ni kweli unakuta harakati za masomo kwa siku zinamchanganya, mimi siamini kwamba kila msichana akifanya hivyo anakuwa anakusaliti hapana! Unaweza kukuta ni kweli anakua amechoka tafadhali usimhukumu moja kwa moja bila kupata uthibitisho. Sio kila msichana akionesha hivyo ni msaliti[emoji3578]