Ushauri: Nina mke na watoto wawili lakini napenda sana mabarmaid

Ushauri: Nina mke na watoto wawili lakini napenda sana mabarmaid

Teslarati

JF-Expert Member
Joined
Nov 21, 2019
Posts
2,621
Reaction score
10,466
Wakuu, hii inaenda kunipoteza, hapa nilipo nimetoka kidogo kupiga vyombo ila kuna huyu barmaid nisipoondoka nae leo sidhan kama nitalala.

Yaan hii kama ni fetish basi nimekamatwa mwenzenu, naenjoy sana kubaiolojiana na mabarmaid kuliko pisi za kawaida wakifuatiwa na masecretary.

Wataalam nipeni mbinu natokaje hapa.
 
Wakuu hii inaenda kunipoteza, hapa nilipo nimetoka kdg kupiga vyombo ila kuna huyu barmaid nisipoondoka nae leo sidhan kama nitalala.

Yaan hii kama ni fetish basi nimekamatwa mwenzenu, naenjoy sana kubaiolojiana na mabarmaid kuliko pisi za kawaida wakifuatiwa na masecretary

Wataalam nipeni mbinu natokaje hapa
Hongera
 
Usijali ni swala la muda tu, nyege zako zikiisha na wwe utatulia pamoja na Abdalah kichwa wazi!!
 
Back
Top Bottom