Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Inawezekana pia hajaruka popote, mwanaume kama hana changamoto zozote za kiafya huwa ni active mpaka miaka 80+.Inaonekana mzee kwenye makuzi yake kuna stage aliiruka ndio kaamua kuiishi sasa uzeeni.
😀 😀 😀 😀Yeye ana ushahidi gani baba yake anakula???Very simple mwambie mzee uyo mama na Mimi napita humo humo tafuta mbinu za kuwa na picha ukiwa umekaa na uyo mama arafu mtumie mzee wako
Mkuu kama Baba yake akipata magonjwa ya kuambukiza huko huoni kua atamletea na Mama yake home? Kingine mkuu ameshtakiwa na Bi mkubwa ndio maana ameomba ushauri hapa,hajachukua uamuzi wowote bado.Acha ujinga mchepuko wa baba wew unakuhusu Nini
talking about my experience mzee wangu aliwahi kuwa na mchepuko na sisi kama watoto(mimi na kaka yangu) tuliamua kukaa chini na kumuandikia barua mzee kumchimba mkwara kwamba tumeshajua mambo yote na tunamuomba aachane na huyo mchepuko mara moja kabla hatujaamua kufanya maamuzi magumu
mbinu hii ilisaidia sana kwan tangu kipindi tumeandika hiyo barua hatukuwahi kumuona akipokea tena simu zake wala yeye akimpigia
Au alete picha tumsaidie ku edit bure kabisa. Tena wakiwa faraghaVery simple mwambie mzee uyo mama na Mimi napita humo humo tafuta mbinu za kuwa na picha ukiwa umekaa na uyo mama arafu mtumie mzee wako
Yaani watoto wanuwekee kikao kisa mchepuko?Basi nikushauri hili swala liwekeni kikao cha ukoo jaribu kuzungumza na ndugu wengine ... mwekeni kitako mwelezeni kwa umri aliyo nao hapaswi kufanya ivo pia mama aeleze ukweli I awezekana sababu ya mzee kuchepuka kuna mambo amekosa .... yani valia njuga jumla jumla vaa ujasiri
Wanawake Ni viumbe wabinafisi sana.Mchukue mama yako uishi naye umuache huyo baba ahangaike kuchungulia maumbile ya kike atakavyo. Kama kwa umri huo huyo baba alipaswa kutulia na kuwatunzia heshima yenu maana si vyema watoto kusikia habari kama hizo kuhusu baba yao lakini hajafanya hivyo basi ujue ni tabia yake na hataacha. Leo mtamkanya mmoja kesho ataanza na mwingine.
Hii hali ilishanikuta kwa mama yangu nikaichukulia simple lakini sasa najuta maana depression na sonona ilichangia sana kifo cha mama.
Asipozingatia ushauri huu Mimi simoKijana pambana na Hali yako acha kuingilia faragha ya Mzee wako utapata kulaniwa bure, mwambie mama yako apambane na ndoa yake, ninachokiona hapo Ni mama yako kutafuta huruma ya watoto na kutaka kumchoresha mme wake kwa watoto kuwa ana tabia mbaya, na lengo lake huyo mama yako ni kuweka mazingira ya ninyi watoto kumchukia Mzee wenu kuwa Ni mzinzi na anatesa mama yenu.
Kijana kuwa makini na wamama, mwache Mzee wako, Sasa Kama mwenye mke kasema mkewe hawezi fanya uzinzi kwanini ninyi mkazanie kuwa baba yenu anazini?
Kuwa makini na wanawake, fanya ufanyalo mwanamke akishaona kuwa watoto wake wamekuwa na wako njema kimaisha huanzisha Visa na kuweka madaraja Kati ya baba na watoto wake ili afaidi matunda ya watoto pekee yake.na wanawake wengine huenda mbali zaidi Hadi kuwaua waume zao.
Acha kabisa Mkuu kuingilia mambo yasokuhusu, yawezekana yeye huyo mama yako hampi haki ya ndoa mmewe Sasa unataka yeye Mzee aipate wapi hiyo haki Kama sio kwa wanawake.
Life is too short mwache mzee afurahie Maisha yake na nyinyi pambaneni na Maisha yenu
Fanya Mambo yako, subiri na wee ukue , utayaona , usijaribu kuingiria faragha ya babaAfu changamoto ya kumpiga huyu mchepuko mkwara nikwamba naye nimama mtu mzima, watoto wake tunaheshimiana Kama ndugu.Nahofia kuanzisha mgogor Kati yahizi familia mbili.
Pia rejea pale ambapo mume wa huyu mama anamtetea mkewe kuwa hafanyi hizo Mambo.
Boy sikia, usikae na Baba yako.Wakuu salaam,
Mara kadhaa mama amekuwa akimtuhumu mzee kujihusisha kimahusiano na mama fulani ambae ni shemeji yake. Mama amejaribu kufanya jitihada za kuwaachanisha kwa njia ya mazungumzo lakini wamegoma kuachana kabisa.