Ushauri: Nitumie mbinu gani kuongea na baba aachane na mchepuko wake?

Mama ana umri gani!?

Naona mnazungukaa, kuna pointi mnaisahau!

Kina mama Mungu awabariki SANA, najua kuna Mambo yako nje ya uwezo wenu kutokana na umri!

Pole Sana mkuu!
 
Very simple mwambie mzee uyo mama na Mimi napita humo humo tafuta mbinu za kuwa na picha ukiwa umekaa na uyo mama arafu mtumie mzee wako
 
Very simple mwambie mzee uyo mama na Mimi napita humo humo tafuta mbinu za kuwa na picha ukiwa umekaa na uyo mama arafu mtumie mzee wako
😀 😀 😀 😀Yeye ana ushahidi gani baba yake anakula???
 


A good idea
 
Dah! Mtihani sana ila nakumbuka mama yangu aliwahi kunihusisha kwenye kitu kama hiki nikaja kujutia sana baadaye na kujiona mwanaume mjinga, maana sababu za baba yako kuchepuka inawezekana kuna kitu ananyimwa nyumbani sasa, ungewahusisha wazee wenyewe wajue namna ya kulitatua kwa vikao na mzee wako.
 
Tatizo lipo kwa mama yako kwasababu yeye ndiye chanzo na sababu ya baba yako kuchepuka, na sababu yenyewe kubwa sana huwa ni kunyimwa tendo la ndoa.

Wanawake wengi wanafail sana katika kipengele hiki. Huwa wanajisahau kwa kujiaminisha kwamba huyu ni mume wangu tu , wanasahau kwamba wanaume tunahitaji kupewa chakula cha ndoa kila wakati badala yake wao hufanya tu pale wao wanapohitaji.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kijana pambana na Hali yako acha kuingilia faragha ya Mzee wako utapata kulaniwa bure, mwambie mama yako apambane na ndoa yake, ninachokiona hapo Ni mama yako kutafuta huruma ya watoto na kutaka kumchoresha mme wake kwa watoto kuwa ana tabia mbaya, na lengo lake huyo mama yako ni kuweka mazingira ya ninyi watoto kumchukia Mzee wenu kuwa Ni mzinzi na anatesa mama yenu.

Kijana kuwa makini na wamama, mwache Mzee wako, Sasa Kama mwenye mke kasema mkewe hawezi fanya uzinzi kwanini ninyi mkazanie kuwa baba yenu anazini?

Kuwa makini na wanawake, fanya ufanyalo mwanamke akishaona kuwa watoto wake wamekuwa na wako njema kimaisha huanzisha Visa na kuweka madaraja Kati ya baba na watoto wake ili afaidi matunda ya watoto pekee yake.na wanawake wengine huenda mbali zaidi Hadi kuwaua waume zao.

Acha kabisa Mkuu kuingilia mambo yasokuhusu, yawezekana yeye huyo mama yako hampi haki ya ndoa mmewe Sasa unataka yeye Mzee aipate wapi hiyo haki Kama sio kwa wanawake.

Life is too short mwache mzee afurahie Maisha yake na nyinyi pambaneni na Maisha yenu
 
Yaani watoto wanuwekee kikao kisa mchepuko?
 
Wanawake Ni viumbe wabinafisi sana.
 
Asipozingatia ushauri huu Mimi simo
 
Afu changamoto ya kumpiga huyu mchepuko mkwara nikwamba naye nimama mtu mzima, watoto wake tunaheshimiana Kama ndugu.Nahofia kuanzisha mgogor Kati yahizi familia mbili.
Pia rejea pale ambapo mume wa huyu mama anamtetea mkewe kuwa hafanyi hizo Mambo.
Fanya Mambo yako, subiri na wee ukue , utayaona , usijaribu kuingiria faragha ya baba
 
Wakuu salaam,

Mara kadhaa mama amekuwa akimtuhumu mzee kujihusisha kimahusiano na mama fulani ambae ni shemeji yake. Mama amejaribu kufanya jitihada za kuwaachanisha kwa njia ya mazungumzo lakini wamegoma kuachana kabisa.
Boy sikia, usikae na Baba yako.
Nenda kaa na mama yako, mwambie Baba Yuko kifungoni, aya anayoyatenda sio matakwa yake, kwahyo mtulizze Kwanza mama Kwa namna hiyo.

Kisha kaeni muone mnamsaidia vipi, kumbuka hapo anayetakiwa kubanwa na huyo mama yako wa nje aka mchepuko wa Baba yako. Acha kudili na Baba yako, ww dili na mama yako mzaz Kwa kumtuliza, alafu unganisheni nguvu mudili na huyo mama,

Mzingueni Kwa kutumia akili sio makelele, huo mchepuko utaona Baba yako ni mchungu mkifikia hiyo hatua mchepuko atamuacha Baba na hiyo ndio itakuwa salama yake.

Maana inavyoonekana mchepuko sio wa mchezo, nazan unaona hata mume wake Hana mashaka, maana ata huyo mume wa mchepuko Yuko kifungoni. Kwahyo mchepuko kawafunga kwenye penzi lake Baba yako na mume wake,

SIJUI UMENIELEWA???
Fanyia kazi hayo utakuja kunishukuru
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…