Ushauri, niwahusishe watoto wangu wa nje ya ndoa kwenye urithi?

"Tangu aisha na mkewe hajawahi kugombana nae".......uwongoo,huu ni uwongo kabisaa
 
Nimesema kwa mali zake binafsi Mkuu sio walizochuma pamoja
 
Makosa hutokea na makosa kaumbiwa mwandamu

Siungi mkono suala la kuzaa nje ya ndoa

Ila pia niwakumbushe wazazi kuhusu mtoto
Unapozaa mtoto hilo ni jukumu lako,mtoto ndiye ndugu yako usimfiche!

Nashauri watoto wapewe sehemu yao
 
Unadangany hakuna mwanaume wa hivyo duniani hiyo ndoa inakufa au afe mtu kwanza hakuna mzaz ambae atamwabia wew ulifany ivyo ndoa ivunjwe tu mwanaume umuzalie ajue mtot siwe wake hahahah huo ni uongo bna
 
Kwa upande wangu kama Mimi baba yake nmetafta nmepata hicho kidgo nyy atatafta atapata ntamuombea heri kwenye safar yke na utaftaji nadhani utkua urithi Bora.[emoji120][emoji120]

Sent from my Infinix X658E using JamiiForums mobile app
 
Hasa mkeo akiwa na ushahidi tosha kuwa alishiriki kwenye hizo mali
 
Walianza ziro wote jamaa alioa mapema sana
 
Unadangany hakuna mwanaume wa hivyo duniani hiyo ndoa inakufa au afe mtu kwanza hakuna mzaz ambae atamwabia wew ulifany ivyo ndoa ivunjwe tu mwanaume umuzalie ajue mtot siwe wake hahahah huo ni uongo bna
Haaaa uwanini mkuu, imekuimekuchoma nini 🤣🤣🤣🤣
 
"Tangu aisha na mkewe hajawahi kugombana nae".......uwongoo,huu ni uwongo kabisaa
Mkuu elewa kaka, yeye ndivyo alivyo niqmbia kuwa wameishi kwa amani sana na mkewe.
Wewe kama ndoa yako inashida ni yako tuu.
Sisi wengine ndo hivyo
 
Duu! Hiyo inaitwa tit for tat! Jino kwa jino. Na mwanamke aliamua kufanya makusudi kabisa

Sent from my SM-A025F using JamiiForums mobile app
 
Walianza ziro wote jamaa alioa mapema sana
Daaaa hiyo ndo changamoto sana. Angejua angewekeza mapema kwa ajili ya watoto hao. Kama wametoka from zero hapo kimbembe. Na kitachotokea ndugu hapo hatuombei mabaya. Ndugu wa mume watamjaza huyo mama mwenye watoto upepo ili wadai urithi kwa nguvu na wao wawape back up lkn mwisho wa siku ni mvurugano.
Hapo ndo yanapotokea majuto .

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Unadangany hakuna mwanaume wa hivyo duniani hiyo ndoa inakufa au afe mtu kwanza hakuna mzaz ambae atamwabia wew ulifany ivyo ndoa ivunjwe tu mwanaume umuzalie ajue mtot siwe wake hahahah huo ni uongo bna
Sasa usichoamini wewe ni nini?
Kama mwanaume tuu mkewe anazaa nje na anamsamehe na wanaendelea na maisha unashangaa nini.
Yuzi ngapi zimekuja hapa ke imezaa nje na me imemsamehe mkewe.
Japo wao mpaka sasa hawausiqno mazuri na mkewe anaishi kwa sababu ya watoto tuu.
Wanagombana mara kwa mara.
 
Unadangany hakuna mwanaume wa hivyo duniani hiyo ndoa inakufa au afe mtu kwanza hakuna mzaz ambae atamwabia wew ulifany ivyo ndoa ivunjwe tu mwanaume umuzalie ajue mtot siwe wake hahahah huo ni uongo bna
Sijui weww ni me au ke sijui.
Kama ni me nyie mnajifanya wema sana mkifanya maovu ni sawa ila mke akifanya sio sawa eboo.
 
Mkuu elewa kaka, yeye ndivyo alivyo niqmbia kuwa wameishi kwa amani sana na mkewe.
Wewe kama ndoa yako inashida ni yako tuu.
Sisi wengine ndo hivyo
Kabisa kuna watu wanandoa wanaishi kwa amani kuwezi amini. Kuna familia moja naifahamu jaman wameishi zaidi ya miaka 30 hawajawahi kugombana wala kupeleka mashtaka kwenye familia wala marafiki.

Hadi leo hii kama chakula kipo tayari mmoja hali hadi mwenzake arudi. Labda kama anaratiba imembanana majukumu tena wanapeana taarifa. Acheni tu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wapo wengi tuu,
Ndo kuwa na shida ni wanandoa wenyewe
 
Hii kauli wanaume wasipo izingatia basi tu.

Mimi imenitokea kabla ya ndoa nilizaa na mdada mmoja, alipojifungua tu tilipishana tukaachana. Haikuchukua muda nikaoa, na wakati naoa huyo bidada wa ndoa nilikuwa nishampiga mimba kiasi cha mtoto wa kwanza na huyu wa ndoa wanapishana miezi nane tu.

Nilichokifanya ni kumjulisha wife niko na mtoto nilizaa tena nikamtisha kwamba wako wawili sehemu tofauti ili baadae akiona mmoja aone nafuu. Mtoto yule wa nje alipotimiza miaka nne nikampanga mama yake kwamba mtoto inabidi aje home ili atengeneze mahusiano na wenzake tangu akiwa mdogo ili asionekane baadae kafuata urithi tu. Haikuwa rahisi kwa mama wote wawili lakini kama mwanaume nilishupaza shingo. Hata mama wa ndoa aliponipa majaribu nilimwambia kama haoni thamani ya mwanangu kuwa pale niko tayari kuvunjika ndoa ili nilee mwanangu. Baada ya msimamo mtoto yupo home tangu akiwa na miaka 4, now standard three, 8 yrs anaishi bila kelele.

Namalizia kwamba UDUGU NI UTOTONI. Hapo ndipo chimbuko la hisia.

Sent from my TECNO BA2 using JamiiForums mobile app
 
Nimesema kwa mali zake binafsi Mkuu sio walizochuma pamoja
Nimekuelewa ila nilichokujibu ni kuwa lazima confession iwepo kwa sababu bila kujali mali ni zake binafsi, lazima wosia umhusishe mke kama shahidi, sasa usipomwambia ukweli mkeo atakubali vipi kushuhudia wosia wako!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…