USHAURI: Rais Samia suluhisho pekee kwa Bandari Tanzania ni hili

Utafiti gani wakati shida inajulikana? Suala ni kufanya maamuzi tu
 
Nani kakwambia kipindi cha Mwalimu hakukuwa na ufisadi?

Unafikiri viwanda alivyovikuta na kuvianzisha pamoja na mashirika yalikufa kipindi gani?
Nimesema haukuwa wa kutisha kama sasa. Halafu tunazungumzia bandari na siyo sehemu nyingine. BTW ufisadi upo kila wakati hata kwa nchi zilizoendelea lkn tofauti ni level na namna unavyoshughulikiwa.
 
Kujua shida, na kujua namna ya kutatua shida ni vitu viwili tofauti. Ndiyo maana kina Samia wanadhani dawa ni kutumbua na wewe unadhani dawa ni uwekezaji.
Shida Bandari sio watu! Shida Bandari ni nature ya biashara yenyewe! Best performing ports worldwide zinaendesha kwa ubia between private sector na serikali! hata huko kwenye mataifa yqliyoendelea wanafanyq ivo

You need to know Bandari ni biashara yenye ushindani sana duniani
 
Nimesema haukuwa wa kutisha kama sasa. Halafu tunazungumzia bandari na siyo sehemu nyingine. BTW ufisadi upo kila wakati hata kwa nchi zilizoendelea lkn tofauti ni level na namna unavyoshughulikiwa.
Unaweza nipa statistics kuwa haukuwa wa kutisha?
 
Inasemekana chama Cha kijani kinaweka makada wake huko bandarini kwa maslahi ya kichama wakitaka mpunga wanaupata kirahisi can
Hiki chama uwepo wake Ni hatari kwa maendeleo ya Tanzania.
Hii ndo source ya shida zote nchini..

#MaendeleoHayanaChama
 
Wewe rekodi yako inafahamika vizuri hapa. Huna la maana la kushauri, na bila shaka huna uwezo wa kushauri chochote cha maana.
 
Tatizo la nchi hii ni akili ndogo za viongozi wetu. Tutafanya sana siasa za kutumbua watu kwani ni rahisi sana kutumbua lakini siasa za maendeleo zina watu wake na kwa bahati mbaya watu hao hawako kwenye siasa za nchi hii. Huwezi kuniambia huyu mama atafanya MAENDELEO kwa nchi hii!
 
Kwa nini asiweze kufanya? mbona anafanya maendeleo sehemu nyingi tu?
Kikubwa apewe ushauri mzuri na sahihi tu
 
Kwa nini asiweze kufanya? mbona anafanya maendeleo sehemu nyingi tu?
Kikubwa apewe ushauri mzuri na sahihi tu
Ni mtu wa kawaida sana kama akina Nyerere, Mwinyi, Mkapa, Kikwete na Magufuli. Hakuna lolote walilofanya la pekee watu hawa ndio maana nchi yetu ni ya kawaida tu.
 
Ni mtu wa kawaida sana kama akina Nyerere, Mwinyi, Mkapa, Kikwete na Magufuli. Hakuna lolote walilofanya la pekee watu hawa ndio maana nchi yetu ni ya kawaida tu.
Maendeleo ni process! Roma haikujengwa kwa siku moja! Kikubwa ni kufanya maamuzi sahihi kwa wakati sahihi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…