Ushauri wa Bure kwa Dkt. Hussein Mwinyi: Mfute Kazi Haraka Othman Masoud Kabla Hajaendelea Kueneza Sumu

Kwahiyo walikubali masharti ya kuwa kwenye GNU lazima wafuate Ilani ya CCM? 😖

Au Paskali huu pia ni muendelezo wa zille nakala zako za kusaka teuzi kwa maslahi ya "Taifa"tumbo lako?
 
Wanabodi,

Politics is a game like any other games, that people plays, it has its rules and regulations, ukikiuka unaweka pembeni. Yaani mchezo wa siasa pia ni mchezo kama mchezo mwingine wowote, una sheria zake, taratibu na kanuni, ukikiuka, unapewa kadi nyekundu unawekwa pembeni.

Serikali ya Zanzibar, ni serikali ya mseto, inaendeshwa na vyama viwili, CCM na ACT, ila watu wa ACT ndani ya GNU wanapaswa kutekeleza sera za CCM.

Serikali ya GNU japo ni serikali ya mseto, lakini inaongozwa na Ilani ya uchaguzi ya CCM, hivyo ACT ndani ya GNU ama wanatakiwa kuhubiri ilani ya uchaguzi ya CCM, na sera za CCM ama wanyamaze kimya, halafu wale ACT wengine nje ya GNU ndio wanaweza kuendelea kupiga siasa za ilani ya ACT!.

Ndani ya Serikali, kuna kitu kinaitwa a collective responsibilities, ukiishakuwa ndani ya serikali, huwezi kusema jambo lolote ambalo ni kinyume cha sera na ilani inayotawala ukabaki salama.

Maalim Seif alipokuwa ndani ya GNU, alinyamaza, hivyo Masoud Othman Masoud ama naye anyamaze, ama atoke nje ndio akaendelee kuhubiri kuuvunja huu muungano wetu adhimu!

Mtu aliyemo ndani ya serikali, hawezi kuyasema maneno kama haya

Kwa maoni yangu, huyu mtu anatakiwa awekwe pembeni, apate muda wa kutosha ajishughulishe na siasa, kwasababu ACT ndani ya GNU wanatakiwa kutekeleza Ilani na sera za CCM!

Ushauri kama huu kumhusu mtu huyu huyu niliwahi kuutoa kule nyuma na ukatekelezwa, Dr. Shein Mfute Kazi Haraka, Mwanasheria Mkuu wa Zanzibar Kabla Hajamwaga Sumu Hii

Hili la kila uchao mtu huyu kuuchokoa muungano hakuanza leo, na hakuna ubaya wowote kuuzungumzia muungano kwa jambo lolote alimradi hilo linalozungumzwa ni liwe la ukweli kuna siku aliongopa kuhusu sovereignity Kuhusu Muungano, Makamo wa Kwanza wa Zanzibar, Adai ni Zanzibar Pekee iliyopoteza Sovereignty, Je Yuko Sahihi?

Hata Mama Samia akiwa VP aliwahi kushauri watu waachwe wa vent kuhusu muungano "Watu waachwe Huru kuujadili Muungano"- VP, Samia Suluhu Hassan. Huyu mama anaongea vizuri kwa Unyenyekevu mpaka raha. Huchoki kumsikiliza

Kama watu waachwe huru kuujadili muungano ndiko huku kunakofanywa na huyu, na kunajumuisha kuwa huru kuujadili muungano negatively hara Kwa mtu uliye ndani ya GNU, then I doubt kama huku ni kuujadili muungano kwa nia ya kuuimarisha bali ni kuujadili muungano kwa nia ya kuuvunja.

Paskali
Wana ACT mmeyasikia hayo? Haya kazi kwenu. Kada Pascal "in action". Kosoeni Muungano "with a light touch".
 
Kwa hiyo kaka mkubwa suluhu ni kufukuza kila aliye huru katika fikra zake?
 
That people plays. Duuh kama kimalkia hakikupendi tumia kinyumban mwazo misho. Kwahiyo Othman kosa lake kutoa maono?

Wew haumjui vzr othman aliwai kuwa MWANASHERIA MKUU WA ZANZIBAR akaacha kwa kusimama upandw haki.

HANA NJAA NJAA KAMA WEW NA JINA LAKO
 
Wanabodi,

Politics is a game like any other games, that people plays, it has its rules and regulations, ukikiuka unaweka pembeni. Yaani mchezo wa siasa pia ni mchezo kama mchezo mwingine wowote, una sheria zake, taratibu na kanuni, ukikiuka, unapewa kadi nyekundu unawekwa pembeni.

Serikali ya Zanzibar, ni serikali ya mseto, inaendeshwa na vyama viwili, CCM na ACT, ila watu wa ACT ndani ya GNU wanapaswa kutekeleza sera za CCM.

Serikali ya GNU japo ni serikali ya mseto, lakini inaongozwa na Ilani ya uchaguzi ya CCM, hivyo ACT ndani ya GNU ama wanatakiwa kuhubiri ilani ya uchaguzi ya CCM, na sera za CCM ama wanyamaze kimya, halafu wale ACT wengine nje ya GNU ndio wanaweza kuendelea kupiga siasa za ilani ya ACT!.

Ndani ya Serikali, kuna kitu kinaitwa a collective responsibilities, ukiishakuwa ndani ya serikali, huwezi kusema jambo lolote ambalo ni kinyume cha sera na ilani inayotawala ukabaki salama.

Maalim Seif alipokuwa ndani ya GNU, alinyamaza, hivyo Masoud Othman Masoud ama naye anyamaze, ama atoke nje ndio akaendelee kuhubiri kuuvunja huu muungano wetu adhimu!

Mtu aliyemo ndani ya serikali, hawezi kuyasema maneno kama haya

Kwa maoni yangu, huyu mtu anatakiwa awekwe pembeni, apate muda wa kutosha ajishughulishe na siasa, kwasababu ACT ndani ya GNU wanatakiwa kutekeleza Ilani na sera za CCM!

Ushauri kama huu kumhusu mtu huyu huyu niliwahi kuutoa kule nyuma na ukatekelezwa, Dr. Shein Mfute Kazi Haraka, Mwanasheria Mkuu wa Zanzibar Kabla Hajamwaga Sumu Hii

Hili la kila uchao mtu huyu kuuchokoa muungano hakuanza leo, na hakuna ubaya wowote kuuzungumzia muungano kwa jambo lolote alimradi hilo linalozungumzwa ni liwe la ukweli kuna siku aliongopa kuhusu sovereignity Kuhusu Muungano, Makamo wa Kwanza wa Zanzibar, Adai ni Zanzibar Pekee iliyopoteza Sovereignty, Je Yuko Sahihi?

Hata Mama Samia akiwa VP aliwahi kushauri watu waachwe wa vent kuhusu muungano "Watu waachwe Huru kuujadili Muungano"- VP, Samia Suluhu Hassan. Huyu mama anaongea vizuri kwa Unyenyekevu mpaka raha. Huchoki kumsikiliza

Kama watu waachwe huru kuujadili muungano ndiko huku kunakofanywa na huyu, na kunajumuisha kuwa huru kuujadili muungano negatively hara Kwa mtu uliye ndani ya GNU, then I doubt kama huku ni kuujadili muungano kwa nia ya kuuimarisha bali ni kuujadili muungano kwa nia ya kuuvunja.

Paskali
Ndugu Pascal Mayalla umeandika kwamba Samia alipokuwa VP alisema watu waachwe waujadili muungano, Sasa kwanini iwe nongwa kwa Othman ?...wewe ndio unamwagia sumu afukuzwe.

Kero za muungano lazima zijadiliwe kwa uwazi, ukimya sio jibu.
Mohamed Said JokaKuu Tindo Nguruvi3
 
Mwinyi hawezi kumfukuza au kumtoa kwenye wadhfa wake Othman Masoud(Makamu wa kwanza wa Rais Zanzibar) kama kuna mwenye kipengele hicho kwenye katiba ya Zanzibar akiweke hapa.
Hata leo Mwinyi akiamua kuvunja baraza la mawaziri wataondoka makamu wa pili na mawaziri wake kwani yeye(Makamu wa pili) ni kama Waziri Mkuu tu.
 
Wanabodi,

Politics is a game like any other games, that people plays, it has its rules and regulations, ukikiuka unaweka pembeni. Yaani mchezo wa siasa pia ni mchezo kama mchezo mwingine wowote, una sheria zake, taratibu na kanuni, ukikiuka, unapewa kadi nyekundu unawekwa pembeni.

Serikali ya Zanzibar, ni serikali ya mseto, inaendeshwa na vyama viwili, CCM na ACT, ila watu wa ACT ndani ya GNU wanapaswa kutekeleza sera za CCM.

Serikali ya GNU japo ni serikali ya mseto, lakini inaongozwa na Ilani ya uchaguzi ya CCM, hivyo ACT ndani ya GNU ama wanatakiwa kuhubiri ilani ya uchaguzi ya CCM, na sera za CCM ama wanyamaze kimya, halafu wale ACT wengine nje ya GNU ndio wanaweza kuendelea kupiga siasa za ilani ya ACT!.

Ndani ya Serikali, kuna kitu kinaitwa a collective responsibilities, ukiishakuwa ndani ya serikali, huwezi kusema jambo lolote ambalo ni kinyume cha sera na ilani inayotawala ukabaki salama.

Maalim Seif alipokuwa ndani ya GNU, alinyamaza, hivyo Masoud Othman Masoud ama naye anyamaze, ama atoke nje ndio akaendelee kuhubiri kuuvunja huu muungano wetu adhimu!

Mtu aliyemo ndani ya serikali, hawezi kuyasema maneno kama haya

Kwa maoni yangu, huyu mtu anatakiwa awekwe pembeni, apate muda wa kutosha ajishughulishe na siasa, kwasababu ACT ndani ya GNU wanatakiwa kutekeleza Ilani na sera za CCM!

Ushauri kama huu kumhusu mtu huyu huyu niliwahi kuutoa kule nyuma na ukatekelezwa, Dr. Shein Mfute Kazi Haraka, Mwanasheria Mkuu wa Zanzibar Kabla Hajamwaga Sumu Hii

Hili la kila uchao mtu huyu kuuchokoa muungano hakuanza leo, na hakuna ubaya wowote kuuzungumzia muungano kwa jambo lolote alimradi hilo linalozungumzwa ni liwe la ukweli kuna siku aliongopa kuhusu sovereignity Kuhusu Muungano, Makamo wa Kwanza wa Zanzibar, Adai ni Zanzibar Pekee iliyopoteza Sovereignty, Je Yuko Sahihi?

Hata Mama Samia akiwa VP aliwahi kushauri watu waachwe wa vent kuhusu muungano "Watu waachwe Huru kuujadili Muungano"- VP, Samia Suluhu Hassan. Huyu mama anaongea vizuri kwa Unyenyekevu mpaka raha. Huchoki kumsikiliza

Kama watu waachwe huru kuujadili muungano ndiko huku kunakofanywa na huyu, na kunajumuisha kuwa huru kuujadili muungano negatively hara Kwa mtu uliye ndani ya GNU, then I doubt kama huku ni kuujadili muungano kwa nia ya kuuimarisha bali ni kuujadili muungano kwa nia ya kuuvunja.

Paskali
kaka kwa mh rais wa zanzibar anaweza kumfuta kazi huyo kwa sheria ipi?
 
Katiba ya zanzibar inampa mamlaka Rais kumfuta makamu wa Kwanza wa Rais if that being the case which provision of the Constitution does confer such power to the President.
 
Kiuhalisia Othman Masoud, marehemu Maalim seif na wengineo wengi wanawakilisha matamanio na matakwa genuinely ya wazanzibari walio wengi hivyo si rahisi kutolewa. Ukisikiliza Maria Spaces ana platform zingine wazanzibari wako loud and clear wanataka mamlaka kamili ya nchi ya zanzibarna sivyo ilivyo sasa.

Hata sasa upepo huu wa katiba mpya ccm wameanza kuuimba ni kuelekea mamlaka kamili ya zanzibar na Tanganyika na serikali ya muungano. Haya ndio matamanio ya waliowengi bara na visiwani.
 
Serikali ya GNU japo ni serikali ya mseto, lakini inaongozwa na Ilani ya uchaguzi ya CCM, hivyo ACT ndani ya GNU ama wanatakiwa kuhubiri ilani ya uchaguzi ya CCM, na sera za CCM ama wanyamaze kimya, halafu wale ACT wengine nje ya GNU ndio wanaweza kuendelea kupiga siasa za ilani ya ACT!.
Kwa hili hapana kaka Pascal Mayalla . Chama cha upinzani kuwa kwenye mseto haimaniishi kimeungana na chama shirika na hivyo viongozi waliomo kwenye hiyo serikali hawapaswi kuongelea mambo ya mrengo wao.

Kumbuka kwenye GNU hakuna chama tawala, bali Kuna vyama washirika.

Kwann hushauri viongozi wanaotokana na ccm kuhubiri sera za ACT badala yake unataka wale wa ACT wahubiri sera za ccm?
 
Wanabodi,

Politics is a game like any other games, that people plays, it has its rules and regulations, ukikiuka unaweka pembeni. Yaani mchezo wa siasa pia ni mchezo kama mchezo mwingine wowote, una sheria zake, taratibu na kanuni, ukikiuka, unapewa kadi nyekundu unawekwa pembeni.

Serikali ya Zanzibar, ni serikali ya mseto, inaendeshwa na vyama viwili, CCM na ACT, ila watu wa ACT ndani ya GNU wanapaswa kutekeleza sera za CCM.

Serikali ya GNU japo ni serikali ya mseto, lakini inaongozwa na Ilani ya uchaguzi ya CCM, hivyo ACT ndani ya GNU ama wanatakiwa kuhubiri ilani ya uchaguzi ya CCM, na sera za CCM ama wanyamaze kimya, halafu wale ACT wengine nje ya GNU ndio wanaweza kuendelea kupiga siasa za ilani ya ACT!.

Ndani ya Serikali, kuna kitu kinaitwa a collective responsibilities, ukiishakuwa ndani ya serikali, huwezi kusema jambo lolote ambalo ni kinyume cha sera na ilani inayotawala ukabaki salama.

Maalim Seif alipokuwa ndani ya GNU, alinyamaza, hivyo Masoud Othman Masoud ama naye anyamaze, ama atoke nje ndio akaendelee kuhubiri kuuvunja huu muungano wetu adhimu!

Mtu aliyemo ndani ya serikali, hawezi kuyasema maneno kama haya

Kwa maoni yangu, huyu mtu anatakiwa awekwe pembeni, apate muda wa kutosha ajishughulishe na siasa, kwasababu ACT ndani ya GNU wanatakiwa kutekeleza Ilani na sera za CCM!

Ushauri kama huu kumhusu mtu huyu huyu niliwahi kuutoa kule nyuma na ukatekelezwa, Dr. Shein Mfute Kazi Haraka, Mwanasheria Mkuu wa Zanzibar Kabla Hajamwaga Sumu Hii

Hili la kila uchao mtu huyu kuuchokoa muungano hakuanza leo, na hakuna ubaya wowote kuuzungumzia muungano kwa jambo lolote alimradi hilo linalozungumzwa ni liwe la ukweli kuna siku aliongopa kuhusu sovereignity Kuhusu Muungano, Makamo wa Kwanza wa Zanzibar, Adai ni Zanzibar Pekee iliyopoteza Sovereignty, Je Yuko Sahihi?

Hata Mama Samia akiwa VP aliwahi kushauri watu waachwe wa vent kuhusu muungano "Watu waachwe Huru kuujadili Muungano"- VP, Samia Suluhu Hassan. Huyu mama anaongea vizuri kwa Unyenyekevu mpaka raha. Huchoki kumsikiliza

Kama watu waachwe huru kuujadili muungano ndiko huku kunakofanywa na huyu, na kunajumuisha kuwa huru kuujadili muungano negatively hara Kwa mtu uliye ndani ya GNU, then I doubt kama huku ni kuujadili muungano kwa nia ya kuuimarisha bali ni kuujadili muungano kwa nia ya kuuvunja.

Paskali
Huu ndio ujinga unaouweza kuusambaza.

Hatuhitaji huu muungano mwache ujinga ingekuwa binadamu ni mtoa riziki wanzanzibar wote wangelikosa riziki kutoka kwako kutokana na husuda ulizonazo juu yako . Mungu awalani kila mpinga maamuzi ya znz na znz yao.

Sent from my SM-N9150 using JamiiForums mobile app
 
Wanabodi,

Politics is a game like any other games, that people plays, it has its rules and regulations, ukikiuka unaweka pembeni. Yaani mchezo wa siasa pia ni mchezo kama mchezo mwingine wowote, una sheria zake, taratibu na kanuni, ukikiuka, unapewa kadi nyekundu unawekwa pembeni.

Serikali ya Zanzibar, ni serikali ya mseto, inaendeshwa na vyama viwili, CCM na ACT, ila watu wa ACT ndani ya GNU wanapaswa kutekeleza sera za CCM.

Serikali ya GNU japo ni serikali ya mseto, lakini inaongozwa na Ilani ya uchaguzi ya CCM, hivyo ACT ndani ya GNU ama wanatakiwa kuhubiri ilani ya uchaguzi ya CCM, na sera za CCM ama wanyamaze kimya, halafu wale ACT wengine nje ya GNU ndio wanaweza kuendelea kupiga siasa za ilani ya ACT!.

Ndani ya Serikali, kuna kitu kinaitwa a collective responsibilities, ukiishakuwa ndani ya serikali, huwezi kusema jambo lolote ambalo ni kinyume cha sera na ilani inayotawala ukabaki salama.

Maalim Seif alipokuwa ndani ya GNU, alinyamaza, hivyo Masoud Othman Masoud ama naye anyamaze, ama atoke nje ndio akaendelee kuhubiri kuuvunja huu muungano wetu adhimu!

Mtu aliyemo ndani ya serikali, hawezi kuyasema maneno kama haya

Kwa maoni yangu, huyu mtu anatakiwa awekwe pembeni, apate muda wa kutosha ajishughulishe na siasa, kwasababu ACT ndani ya GNU wanatakiwa kutekeleza Ilani na sera za CCM!

Ushauri kama huu kumhusu mtu huyu huyu niliwahi kuutoa kule nyuma na ukatekelezwa, Dr. Shein Mfute Kazi Haraka, Mwanasheria Mkuu wa Zanzibar Kabla Hajamwaga Sumu Hii

Hili la kila uchao mtu huyu kuuchokoa muungano hakuanza leo, na hakuna ubaya wowote kuuzungumzia muungano kwa jambo lolote alimradi hilo linalozungumzwa ni liwe la ukweli kuna siku aliongopa kuhusu sovereignity Kuhusu Muungano, Makamo wa Kwanza wa Zanzibar, Adai ni Zanzibar Pekee iliyopoteza Sovereignty, Je Yuko Sahihi?

Hata Mama Samia akiwa VP aliwahi kushauri watu waachwe wa vent kuhusu muungano "Watu waachwe Huru kuujadili Muungano"- VP, Samia Suluhu Hassan. Huyu mama anaongea vizuri kwa Unyenyekevu mpaka raha. Huchoki kumsikiliza

Kama watu waachwe huru kuujadili muungano ndiko huku kunakofanywa na huyu, na kunajumuisha kuwa huru kuujadili muungano negatively hara Kwa mtu uliye ndani ya GNU, then I doubt kama huku ni kuujadili muungano kwa nia ya kuuimarisha bali ni kuujadili muungano kwa nia ya kuuvunja.

Paskali
Ana washauri makini kuliko wewe chawa
 
Pasi, tatizo sio ACT wala Othman wala CUF kabla bali ni uhalisia wa hiyo iitwayo serikali ya mseto ambayo ukiiangalia katiba yake ni ya kama kuvuja kwa pakacha any time linavuja! Ni wakati wa kuwa na katiba yenye establishment nzuri kwa sio zenj tu bali hadi kwa Ile ya Muungano in the long run! Fukuza fukuza haisaidii na haijawahi saidia, history ni mkutubi mzuri
 
Back
Top Bottom