Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wana ACT mmeyasikia hayo? Haya kazi kwenu. Kada Pascal "in action". Kosoeni Muungano "with a light touch".Wanabodi,
Politics is a game like any other games, that people plays, it has its rules and regulations, ukikiuka unaweka pembeni. Yaani mchezo wa siasa pia ni mchezo kama mchezo mwingine wowote, una sheria zake, taratibu na kanuni, ukikiuka, unapewa kadi nyekundu unawekwa pembeni.
Serikali ya Zanzibar, ni serikali ya mseto, inaendeshwa na vyama viwili, CCM na ACT, ila watu wa ACT ndani ya GNU wanapaswa kutekeleza sera za CCM.
Serikali ya GNU japo ni serikali ya mseto, lakini inaongozwa na Ilani ya uchaguzi ya CCM, hivyo ACT ndani ya GNU ama wanatakiwa kuhubiri ilani ya uchaguzi ya CCM, na sera za CCM ama wanyamaze kimya, halafu wale ACT wengine nje ya GNU ndio wanaweza kuendelea kupiga siasa za ilani ya ACT!.
Ndani ya Serikali, kuna kitu kinaitwa a collective responsibilities, ukiishakuwa ndani ya serikali, huwezi kusema jambo lolote ambalo ni kinyume cha sera na ilani inayotawala ukabaki salama.
Maalim Seif alipokuwa ndani ya GNU, alinyamaza, hivyo Masoud Othman Masoud ama naye anyamaze, ama atoke nje ndio akaendelee kuhubiri kuuvunja huu muungano wetu adhimu!
Mtu aliyemo ndani ya serikali, hawezi kuyasema maneno kama haya
Kwa maoni yangu, huyu mtu anatakiwa awekwe pembeni, apate muda wa kutosha ajishughulishe na siasa, kwasababu ACT ndani ya GNU wanatakiwa kutekeleza Ilani na sera za CCM!
Ushauri kama huu kumhusu mtu huyu huyu niliwahi kuutoa kule nyuma na ukatekelezwa, Dr. Shein Mfute Kazi Haraka, Mwanasheria Mkuu wa Zanzibar Kabla Hajamwaga Sumu Hii
Hili la kila uchao mtu huyu kuuchokoa muungano hakuanza leo, na hakuna ubaya wowote kuuzungumzia muungano kwa jambo lolote alimradi hilo linalozungumzwa ni liwe la ukweli kuna siku aliongopa kuhusu sovereignity Kuhusu Muungano, Makamo wa Kwanza wa Zanzibar, Adai ni Zanzibar Pekee iliyopoteza Sovereignty, Je Yuko Sahihi?
Hata Mama Samia akiwa VP aliwahi kushauri watu waachwe wa vent kuhusu muungano "Watu waachwe Huru kuujadili Muungano"- VP, Samia Suluhu Hassan. Huyu mama anaongea vizuri kwa Unyenyekevu mpaka raha. Huchoki kumsikiliza
Kama watu waachwe huru kuujadili muungano ndiko huku kunakofanywa na huyu, na kunajumuisha kuwa huru kuujadili muungano negatively hara Kwa mtu uliye ndani ya GNU, then I doubt kama huku ni kuujadili muungano kwa nia ya kuuimarisha bali ni kuujadili muungano kwa nia ya kuuvunja.
Paskali
Kwa hiyo kaka mkubwa suluhu ni kufukuza kila aliye huru katika fikra zake?Wanabodi,

Ndugu Pascal Mayalla umeandika kwamba Samia alipokuwa VP alisema watu waachwe waujadili muungano, Sasa kwanini iwe nongwa kwa Othman ?...wewe ndio unamwagia sumu afukuzwe.Wanabodi,

Hadi Kabendera hakumzika mama yake, Pascal ana roho ya kichawi Sana,Hakuna anayesikiliza hoja zako wewe Pascal Mayalla . Ikumbukwewe kwamba wewe ndiye uliyemuuza Erick Kabendera kwa JPM . Wewe ni lofa mwenye njaa.
Ukwel lazma usemwe japo mchungu
Jibuni hoja zake
Sasa kila mmoja akiongea mkamfukuza au kumpoteza mazima mnafikiri ndio suluhu?
Kenyatta na Rutto haya
Waafrika shida tupu
Jibuni hoja au mumpuuze tu
Amekariri siasa za kutekana na kufukuzana, anataka Masud Othman afukuzwe,Ingekuwa rahisi hivyo bila shaka Uhuru Kenyatta angemuondoa Ruto
kaka kwa mh rais wa zanzibar anaweza kumfuta kazi huyo kwa sheria ipi?Wanabodi,
Politics is a game like any other games, that people plays, it has its rules and regulations, ukikiuka unaweka pembeni. Yaani mchezo wa siasa pia ni mchezo kama mchezo mwingine wowote, una sheria zake, taratibu na kanuni, ukikiuka, unapewa kadi nyekundu unawekwa pembeni.
Serikali ya Zanzibar, ni serikali ya mseto, inaendeshwa na vyama viwili, CCM na ACT, ila watu wa ACT ndani ya GNU wanapaswa kutekeleza sera za CCM.
Serikali ya GNU japo ni serikali ya mseto, lakini inaongozwa na Ilani ya uchaguzi ya CCM, hivyo ACT ndani ya GNU ama wanatakiwa kuhubiri ilani ya uchaguzi ya CCM, na sera za CCM ama wanyamaze kimya, halafu wale ACT wengine nje ya GNU ndio wanaweza kuendelea kupiga siasa za ilani ya ACT!.
Ndani ya Serikali, kuna kitu kinaitwa a collective responsibilities, ukiishakuwa ndani ya serikali, huwezi kusema jambo lolote ambalo ni kinyume cha sera na ilani inayotawala ukabaki salama.
Maalim Seif alipokuwa ndani ya GNU, alinyamaza, hivyo Masoud Othman Masoud ama naye anyamaze, ama atoke nje ndio akaendelee kuhubiri kuuvunja huu muungano wetu adhimu!
Mtu aliyemo ndani ya serikali, hawezi kuyasema maneno kama haya
Kwa maoni yangu, huyu mtu anatakiwa awekwe pembeni, apate muda wa kutosha ajishughulishe na siasa, kwasababu ACT ndani ya GNU wanatakiwa kutekeleza Ilani na sera za CCM!
Ushauri kama huu kumhusu mtu huyu huyu niliwahi kuutoa kule nyuma na ukatekelezwa, Dr. Shein Mfute Kazi Haraka, Mwanasheria Mkuu wa Zanzibar Kabla Hajamwaga Sumu Hii
Hili la kila uchao mtu huyu kuuchokoa muungano hakuanza leo, na hakuna ubaya wowote kuuzungumzia muungano kwa jambo lolote alimradi hilo linalozungumzwa ni liwe la ukweli kuna siku aliongopa kuhusu sovereignity Kuhusu Muungano, Makamo wa Kwanza wa Zanzibar, Adai ni Zanzibar Pekee iliyopoteza Sovereignty, Je Yuko Sahihi?
Hata Mama Samia akiwa VP aliwahi kushauri watu waachwe wa vent kuhusu muungano "Watu waachwe Huru kuujadili Muungano"- VP, Samia Suluhu Hassan. Huyu mama anaongea vizuri kwa Unyenyekevu mpaka raha. Huchoki kumsikiliza
Kama watu waachwe huru kuujadili muungano ndiko huku kunakofanywa na huyu, na kunajumuisha kuwa huru kuujadili muungano negatively hara Kwa mtu uliye ndani ya GNU, then I doubt kama huku ni kuujadili muungano kwa nia ya kuuimarisha bali ni kuujadili muungano kwa nia ya kuuvunja.
Paskali
Katiba ya zanzibar inampa mamlaka Rais kumfuta makamu wa Kwanza wa Rais if that being the case which provision of the Constitution does confer such power to the President.Wanabodi,

Kwa hili hapana kaka Pascal Mayalla . Chama cha upinzani kuwa kwenye mseto haimaniishi kimeungana na chama shirika na hivyo viongozi waliomo kwenye hiyo serikali hawapaswi kuongelea mambo ya mrengo wao.Serikali ya GNU japo ni serikali ya mseto, lakini inaongozwa na Ilani ya uchaguzi ya CCM, hivyo ACT ndani ya GNU ama wanatakiwa kuhubiri ilani ya uchaguzi ya CCM, na sera za CCM ama wanyamaze kimya, halafu wale ACT wengine nje ya GNU ndio wanaweza kuendelea kupiga siasa za ilani ya ACT!.
Huu ndio ujinga unaouweza kuusambaza.Wanabodi,
Politics is a game like any other games, that people plays, it has its rules and regulations, ukikiuka unaweka pembeni. Yaani mchezo wa siasa pia ni mchezo kama mchezo mwingine wowote, una sheria zake, taratibu na kanuni, ukikiuka, unapewa kadi nyekundu unawekwa pembeni.
Serikali ya Zanzibar, ni serikali ya mseto, inaendeshwa na vyama viwili, CCM na ACT, ila watu wa ACT ndani ya GNU wanapaswa kutekeleza sera za CCM.
Serikali ya GNU japo ni serikali ya mseto, lakini inaongozwa na Ilani ya uchaguzi ya CCM, hivyo ACT ndani ya GNU ama wanatakiwa kuhubiri ilani ya uchaguzi ya CCM, na sera za CCM ama wanyamaze kimya, halafu wale ACT wengine nje ya GNU ndio wanaweza kuendelea kupiga siasa za ilani ya ACT!.
Ndani ya Serikali, kuna kitu kinaitwa a collective responsibilities, ukiishakuwa ndani ya serikali, huwezi kusema jambo lolote ambalo ni kinyume cha sera na ilani inayotawala ukabaki salama.
Maalim Seif alipokuwa ndani ya GNU, alinyamaza, hivyo Masoud Othman Masoud ama naye anyamaze, ama atoke nje ndio akaendelee kuhubiri kuuvunja huu muungano wetu adhimu!
Mtu aliyemo ndani ya serikali, hawezi kuyasema maneno kama haya
Kwa maoni yangu, huyu mtu anatakiwa awekwe pembeni, apate muda wa kutosha ajishughulishe na siasa, kwasababu ACT ndani ya GNU wanatakiwa kutekeleza Ilani na sera za CCM!
Ushauri kama huu kumhusu mtu huyu huyu niliwahi kuutoa kule nyuma na ukatekelezwa, Dr. Shein Mfute Kazi Haraka, Mwanasheria Mkuu wa Zanzibar Kabla Hajamwaga Sumu Hii
Hili la kila uchao mtu huyu kuuchokoa muungano hakuanza leo, na hakuna ubaya wowote kuuzungumzia muungano kwa jambo lolote alimradi hilo linalozungumzwa ni liwe la ukweli kuna siku aliongopa kuhusu sovereignity Kuhusu Muungano, Makamo wa Kwanza wa Zanzibar, Adai ni Zanzibar Pekee iliyopoteza Sovereignty, Je Yuko Sahihi?
Hata Mama Samia akiwa VP aliwahi kushauri watu waachwe wa vent kuhusu muungano "Watu waachwe Huru kuujadili Muungano"- VP, Samia Suluhu Hassan. Huyu mama anaongea vizuri kwa Unyenyekevu mpaka raha. Huchoki kumsikiliza
Kama watu waachwe huru kuujadili muungano ndiko huku kunakofanywa na huyu, na kunajumuisha kuwa huru kuujadili muungano negatively hara Kwa mtu uliye ndani ya GNU, then I doubt kama huku ni kuujadili muungano kwa nia ya kuuimarisha bali ni kuujadili muungano kwa nia ya kuuvunja.
Paskali
Ana washauri makini kuliko wewe chawaWanabodi,

Wanabodi,