Kama amefanya bila maslahi yanayozidi maslahi ya ambacho angekipata akitulia hapo Yanga atakuwa mjinga. Kinyume na hapo yupo sawa, na kwasababu aliweza kuweka fedha Yanga ambayo mchezaji anayetegemea mshahara wa 4m siyo rahisi kuwa nayo, uwezekano ni kuwa kuna fedha amepewa."Huenda mda huu kwa hili alilofanya ana fedha za kutosha tu licha ya kwamba hachezi"
Nitakuwa mtu wa mwisho kuamini hiki ulichoakiandika hapa.
Utakua mpira wa aina gani kama kila mchezaji ata amka aweke pesa kwenye account ya club yake awe huru? Fatma Karume mwenyewe alikiri kua mteja wake amekosea kuvunja mkataba akataka apewe adhabu (fine) then aondokeKama amefanya bila maslahi yanayozidi maslahi ya ambacho angekipata akitulia hapo Yanga atakuwa mjinga. Kinyume na hapo yupo sawa, na kwasababu aliweza kuweka fedha Yanga ambayo mchezaji anayetegemea mshahara wa 4m siyo rahisi kuwa nayo, uwezekano ni kuwa kuna fadha amepewa.
Utakua mpira wa aina gani kama kila mchezaji ata amka aweke pesa kwenye account ya club yake awe huru? Fatma Karume mwenyewe alikiri kua mteja wake amekosea kuvunja mkataba akataka apewe adhabu (fine) then aondoke
Sawa. Endelea kuisubiri hiyo press.Yanga na TFF ndio wanaopaswa kufanya press na kuanza kutubu kwa umafia walioufanya kwa Feisal
Utaratibu alioutumia Fei Toto ukihalalishwa, vilabu vingi vitayumba. Maana wapenda kitonga watakuwa wako busy kuangalia mchezaji mzuri/mchezaji ambaye yupo kwenye peak; wanampa hela! Anaenda kuweka kwenye akaunti ya klabu, then anahama timu.Utakua mpira wa aina gani kama kila mchezaji ata amka aweke pesa kwenye account ya club yake awe huru? Fatma Karume mwenyewe alikiri kua mteja wake amekosea kuvunja mkataba akataka apewe adhabu (fine) then aondoke
Afuate sasa utaratibu unaokubalika. Huo utaratibu alioutumia yeye, ni wa kihuni. Na ndiyo maana mawakili wake wote wanaangukia pua.Kama alikosea amerudi na kaendelea kuomba aambiwe taratibu za kuondoka Yanga na ndo anachosubiri kutoka kwa kamati unless abadili msimamo.
Mpira ni furaha kwetu mashabiki na maslahi kwa wachezaji. Tukielewana hapo utamuelewa Fei.
Amekupa burudani miaka m3 hujawahi kuishinikiza Club iongeze maslahi yake kwakuwa ni jambo binafsi, leo kainuka anapigania jambo lake binafsi, muelewe tu.
Hili sio suala linalomkuta kila mchezaji. Ni wale wachezaji wazuri wenye mikataba dhaifu na ndo maana kuna kamati za usuluhishi nchini na nje ya nchi.Utaratibu alioutumia Fei Toto ukihalalishwa, vilabu vingi vitayumba. Maana wapenda kitonga watakuwa wako busy kuangalia mchezaji mzuri/mchezaji ambaye yupo kwenye peak; wanampa hela! Anaenda kuweka kwenye akaunti ya klabu, then anahama timu.
Hakutakuwepo tena na utaratibu wa kununua wachezaji wakati wa usajili.
Kwani status ya Fei ipoje? Sio kwamba anasubiri mwongozo aambiwe ili aondoke Yanga anatakiwa kufanyaje?Afuate sasa utaratibu unaokubalika. Huo utaratibu alioutumia yeye, ni wa kihuni. Na ndiyo maana mawakili wake wote wanaangukia pua.
Siku chache zijazo Taifa Stars watarudiana kwa Mkapa na Uganda. Baada ya hapo, wachezaji watarejea kwenye vilabu vyao.Marudiano, how?
Hapa mwishoni hajapeleka barua nyingine baada ya kufeli?Anasubiri mwongozo wa kusubiri kuondoka kwenda wapi! Na wakati kwenye shauri lake, ametakiwa kurejea Yanga!
Huoni hiyo barua ni ya kujipotezea tu muda! Kama ana mkataba halali na Yanga mpaka 2024!Hapa mwishoni hajapeleka barua nyingine baada ya kufeli?
Sitahitimisha matokeo ya barua ambayo hayajatolewa majibu. Tusubiri.Huoni hiyo barua ni ya kujipotezea tu muda! Kama ana mkataba halali na Yanga mpaka 2024!
Anachotakiwa ni kujificha kwa mama yake kule Zanzibar huku akiendelea kulipwa mshahara wa bure kila mwezi, au anatakiwa kurudi kwa mwajiri wake na kuutumikia mkataba wake mpaka hapo utakapofikia tamati mwakani?
Ndugu mbumbumbu tumia akili japo huna Fei ali sign mkataba wa miaka 4 katika mda huo performance yake ime rise msimu ulio isha na huu huko nyuma alikua analipwa hio 4M huku akiwa na kiwango cha kawaida kwanini Yanga wali mvumilia hawakupunguza mshahara? kitu cha pili ungekua na akili ungejiuliza kwanini dogo kila leo anabadili mawakili , means washajua hapo hakuna kushinda na mwisho anasubiri nini kwenda CAS ambao hawana mbambamba kifupi ni kwamba mmemuambukiza umbumbumbu wenuKama alikosea amerudi na kaendelea kuomba aambiwe taratibu za kuondoka Yanga na ndo anachosubiri kutoka kwa kamati unless abadili msimamo.
Mpira ni furaha kwetu mashabiki na maslahi kwa wachezaji. Tukielewana hapo utamuelewa Fei.
Amekupa burudani miaka m3 hujawahi kuishinikiza Club iongeze maslahi yake kwakuwa ni jambo binafsi, leo kainuka anapigania jambo lake binafsi, muelewe tu.
Hamja enda CAS kutafta haki yenu TFF watawakwamishaYanga na TFF ndio wanaopaswa kufanya press na kuanza kutubu kwa umafia walioufanya kwa Feisal
Ndugu muumini kondoo wa viongozi wa Yanga, achana na ibada jaribu kumuelewa Fei kuwa amechoka kukuburudisha kwa maslahi yasiyomridhisha.Ndugu mbumbumbu tumia akili japo huna Fei ali sign mkataba wa miaka 4 katika mda huo performance yake ime rise msimu ulio isha na huu huko nyuma alikua analipwa hio 4M huku akiwa na kiwango cha kawaida kwanini Yanga wali mvumilia hawakupunguza mshahara? kitu cha pili ungekua na akili ungejiuliza kwanini dogo kila leo anabadili mawakili , means washajua hapo hakuna kushinda na mwisho anasubiri nini kwenda CAS ambao hawana mbambamba kifupi ni kwamba mmemuambukiza umbumbumbu wenu
Nikajua ile ya Misri ndii marudianoSiku chache zijazo Taifa Stars watarudiana kwa Mkapa na Uganda. Baada ya hapo, wachezaji watarejea kwenye vilabu vyao.
Baada ya hiyo mechi Fei Toto atarejea Yanga, au ataenda tena mafichoni? Na wakati ameitwa timu ya Taifa akiwa kama mchezaji halali wa Yanga? Kwa nini asirudi kwenye timu yake, ili maisha yaendelee? That is my concern.
Mmefikia wapi kwenye kulipa faini mliyopigwa na Lucy Eymael?Hamja enda CAS kutafta haki yenu TFF watawakwamisha