ukikaidi utapigwa2
JF-Expert Member
- Feb 24, 2015
- 15,265
- 29,991
Kinacho mfanya mpka sasa asiende CAS ni nini? Je Yanga waliwahi kumpunguzia mshahara kipindi ameshuka kiwango?Ndugu muumini kondoo wa viongozi wa Yanga, achana na ibada jaribu kumuelewa Fei kuwa amechoka kukuburudisha kwa maslahi yasiyomridhisha.
Hatulipi tunafungiwa mchukue ubingwa . Wakili msomi CAS mnaenda lini tuwape escort?Mmefikia wapi kwenye kulipa faini mliyopigwa na Lucy Eymael?
Au mmepanga kumdhurumu?
Hela hamna?Hatulipi tunafungiwa mchukue ubingwa . Wakili msomi CAS mnaenda lini tuwape escort?
Ashasema hawezi kula matapishi, anaangalia mbele - cha msingi Yanga wakubali kuvunja mkataba wake kwa vipengele halali vilivyomo kwenye mkataba wake.namshauri aitishe mkutano na vyombo vya habari. Halafu ajitokeze hadharani kuomba radhi kwa klabu yake ya Yanga, wanachama, mashabiki, na wadau wote wa mpira wa miguu kwa sintofahamu iliyojotokeza, ili maisha yaendelee.
Suala la kwenda CAS si la lazima ni la kimaamuzi la yeye na wanasheria wake, iwapo wanaamini kuwa hakuna umuhimu wa kwenda hawatokwenda.Kinacho mfanya mpka sasa asiende CAS ni nini? Je Yanga waliwahi kumpunguzia mshahara kipindi ameshuka kiwango?
Mbona alivyokuwa kambini akidai hiyo nyongeza haikutolewa? Kama mtu timamu, alichoona bora kwake ni kuweka shinikizo akiwa nje ya kambi. Au mnadhani mna mchezaji kichaa asiyeweza kufikiri kwa usahihi?Sasa huo mshahara ataongezewa huku akiwa mafichoni Kiembe samaki? Arudi kwanza kambini.
Halafu Yanga ingekuwa ndo haimtaki ingemlipa na kuachana nae na hakuna ambaye angekuja kusema Yanga ifate utaratibu Fei akae kambini.Mbona alivyokuwa kambini akidai hiyo nyongeza haikutolewa? Kama mtu timamu, alichoona bora kwake ni kuweka shinikizo akiwa nje ya kambi. Au mnadhani mna mchezaji kichaa asiyeweza kufikiri kwa usahihi?
Ndo walichosema? Wanataka m400?Ashasema hawezi kula matapishi, anaangalia mbele - cha msingi Yanga wakubali kuvunja mkataba wake kwa vipengele halali vilivyomo kwenye mkataba wake.
Mambo ya kukomoana yashapitwa na wakati, yaani kifupi Yanga wanafanya mambo ya ki-long sana kama mchezaji hataki si umwache muangalie exit room inasemeje kwenye mkataba.
Wewe unamlipa mil 3 kwa mwezi so kwa mwaka Mil 36 na ana mkataba na wewe wa miaka 2 lets say - afu wewe unataka akulipe mil 400 kuvunja mkataba - hiyo akili kweli ?
Ni kipindi kipi hicho ambacho Feisal kiwango chake kilishuka? Yanga bwana hamchoshi kusikiliza vioja vyenu 🤣😂🤣Ndugu mbumbumbu tumia akili japo huna Fei ali sign mkataba wa miaka 4 katika mda huo performance yake ime rise msimu ulio isha na huu huko nyuma alikua analipwa hio 4M huku akiwa na kiwango cha kawaida kwanini Yanga wali mvumilia hawakupunguza mshahara? kitu cha pili ungekua na akili ungejiuliza kwanini dogo kila leo anabadili mawakili , means washajua hapo hakuna kushinda na mwisho anasubiri nini kwenda CAS ambao hawana mbambamba kifupi ni kwamba mmemuambukiza umbumbumbu wenu
Yanga hatuna mtu kama weweMe Mwana yanga lakini binafsi navomuona kijana ni muungwana sana sema najaribu kufikiria yaweza kua yanga walimvuruga sana kijana pengne maelewano Yao hayakua kama talivo sasa had kuleta mtafaruku yeye akazie nyaya hapohapo.
Kwani ajira ni moja tu, timu ni moja tu.
Ikatokea ameomba msamaha napenyewe mtazungumza kua na mpumbavu huyu kijana.
Bora akaze hapohapo.
Fei hawezi omba msamaha labda mumrogeHao watu nawafahamu sana. Ila kwenye huu uzi nitajitahidi kunyamaza kimya, ili nisichafue hali ya hewa.
Luis Miqone wa Simba alizwa 1 point something Billion alikua akilipwa sh ngapi? mkataba wake ulikua umebaki mda gani? kama hao wanao mtaka hawawezi kufika bei wasubiri amalize mkataba aende bure hakuna shortcutAshasema hawezi kula matapishi, anaangalia mbele - cha msingi Yanga wakubali kuvunja mkataba wake kwa vipengele halali vilivyomo kwenye mkataba wake.
Mambo ya kukomoana yashapitwa na wakati, yaani kifupi Yanga wanafanya mambo ya ki-long sana kama mchezaji hataki si umwache muangalie exit room inasemeje kwenye mkataba.
Wewe unamlipa mil 3 kwa mwezi so kwa mwaka Mil 36 na ana mkataba na wewe wa miaka 2 lets say - afu wewe unataka akulipe mil 400 kuvunja mkataba - hiyo akili kweli ?
Washabiki wa yanga watamzomea hawezi rudiDogo anatakiwa akubali tu matokeo kwa muda, ili kurejesha thamani yake.
Ila yeye sasahivi ndio ananyonyaHataki kunyonywa 😂
Mama yake anasema fei aliwahi kupitia magumu hapo yanga hadi Akala "UGALI SUKARI"Uko sahihi kabisa. Kama viongozi wa Yanga nao walikiwa wanamdhulumu bwana mdogo, watakuwa nao wamepata funzo.
All in all, bado wadau wengi wa michezo tulitamani kuuona mwisho mwema wa huyu kijana.
Kama wewe ni mtu wa kujiongeza wapambe wake washajua dogo hana chake wewe endelea kukaza shingoSuala la kwenda CAS si la lazima ni la kimaamuzi la yeye na wanasheria wake, iwapo wanaamini kuwa hakuna umuhimu wa kwenda hawatokwenda.
Hayo masuala ya mshahara ni masuala ya mkataba. Tatizo ni kuwa hapa nchini Club wakitaka kuachana na mchezaji wanamlipa na wanamuacha, mchezaji hawezi kulazimisha kubaki kambini, labda aseme amelipwa pungufu atafungua madai akiwa nje ya kambi na madai yatakuwa wazi na akishinda analipwa.
Upande wa pili wa shilingi sasa.
Yanga imwambie Fei ili kuondoka bila timu kutaka kukununua fanya moja, mbili, tatu ashindwe mwenyewe. Mpira ni burudani, sio biashara ya utumwa. Mchezaji anataka kuondoka mwenyewe aambiwe afanye nn aondoke. Aambiwe wazi wazi tulipe kiasi kadhaa uondoke.
Unamjua Moses Cacedo wa Brighton, ishu yake ya kuhamia Arsenal ilikuajeDogo ana hela ya kuvunja mkataba wake Yanga na hela inayomfanya agomee mshahara anaolipwa Yanga halafu unasema kaharibikiwa. Watu wanataka maslahi hayo ya viwango na jina kubwa yanatafutwa ili maslahi yapatikane.