Ushauri: Wanaume tuache kutongoza, tuanze kununua wadada wanaojiuza barabarani

Mkuu umenena kwanz unjiepusha na magonjwa kuwa na mademu

Unamuamini kumbe anapigw a a na wanakibao cha ajabu hutumii mpira ila malaya unatumi mpira makahaba walikuepo toka enzi za yesu.
 
Kwa hali ilivyo sasa kwenye ulimwengu wa mapenzi na mahusiano, wanaume wote tunajua ukweli ni kuwa sahivi mahusiano yamekuwa biashara, unamtongoza mdada leo, kesho anakuomba hela, usipompa mahusiano yanakufa...
kila mtu na type zake kila mtu akila hao wa marketi wengine wataliwa na nani?
 
Kuhusu Mikosi, hata wanawake tunaooa wanamikosi pia.
Lakini mimi pia naunga mkono hoja! Thamani ya mahusiano imeshuka sana baada ya pesa kuingilia kati. Iwe kumiliki mke, kumiliki dem au kununua mtaani, kote lazma uwe na pesa. Hata ukiwa na mke, ukiwa na unampatia pesa sana ndivyo atakupenda zaidi na atakupa uhuru mwingi kuliko vile kama ungekua huna hela.
Tukiachana na ndoa, ili thamani ya penzi kati ya mwanaume na mwanamke iwe juu, ni bora kununua mtaani tu na kuachana kabisa na kumiliki dem, baada ya muda kuombaomba hela kutapungua sana na wanawake wataheshimu mahusiano, mwishoe penzi litakua salama.
Lakini kwa sasa Daa
 
Wa Dada wa mtaani ndiyo wanamwandama maana anatuamsha tulio lala, Sasa wote tukisha nogewa kule kwa ma Dada poa nani atakubali kupigwa pesa!? Mambo yanakua tit for tat! Nipe nikupe hiyo inaitwa! Huduma faster kwa uwezo wako,maana ma Dada poa wananzia buku hadi wa Milion wapo,ni wwe tu kuaangalia mfuko wako! Alafu ma Dada poa hata akikuta na mkeo hana noma anakua Kama hakujui vile! Sasa hawa ma Dada wa mtaani lazima wampige vijembe mkeo hadi asanuke!!
 
Hakuna na wanadanga kwa njia za kifala hata hao watumishi ,binafsi nimeoa ila mara moja moja wife anapotoka ,hua natamani kusafisha gango la moshi na ka mdeki kangu,
Kila dem unayemuandaa kwa mazingira ya kupiga shoo unakuta ni kituko kabisa hata kama ni mtumishi!
Niliandaa mazingira ya kumtaka dem flani ambaye ofisi zetu ni jirani kabisa ,siku mbili tu baada ya kupata namba zake mzinga wa kwanza nilipigwa kua nimuazime 20 ya kikoba eti atarudisha,nikapita kushoto
Nikamtega kua naomba leo nile kwako dinner ,jibu likawa napendelea kula msosi gani ,nikasema wowote ule,basi nikamwambia na niko tayari kuchangia huo msosi ili kama kuna mahitaji yanapungua basi ajazie,mzee niliambiwa nitoe 20k eti na imewekewa na maelekezo kabisa kuanzia nauli ya yeye kutoka job,kwenda sokoni na pia kurudi home na vitu kibao kabisa .
Kufupisha story nilichomoa nikaenda kula mdudu nusu kilo huku ni buku3,ndizi za buku na bia nne na chenji ikabaki.
Asubuh iliofuata naambiwa plz naomba unisaidie vocha ya buku kuna kazi naifanya ila bando ya ofisi imekata nikapita kushoto pia ,jana ndio kafunguka eti hua nakuomba hizo pesa za vocha nikaangalie kulfi youtube kwani sina king'amuzi kwangu.
Kiufupi huyu ni mchunaj kwa njia zilizo unofficial ila analindwa na kivuli cha kazi ,heri ninunue malaya anayejiuza najilia vyangu najua kabisa kua huduma ni ya masaa, siku au laah .
Hawa madem nitakua nawatizama tu chenga san
 
Kaka , chimbo lako ni lipi LA Malaya? Mm nipo dsm
 
Mwanamke wa kununua binafsi nakosa kabisa hisia kwasababu najua kabisa alichofuata kwangu ni pesa tu ila hajanipenda.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…