Ushauri: Yanga ijikite Kombe la Shirikisho

Sio kundi la kifo ni kwamba wewe hauna mikazo ya kubattle na hizo timu

Sisi tumeongoza ligi tukiwa juu ya Al Ahly, El Merrick, na As Vita

Hapo nazungumzia El Merrick yule aliyekuwa tishio sio huyu aliyekuja juzi akiwa na migogoro nchini kwake.

Kundi hili mlilopo nyie angekuwa Simba angeongoza kundi akiwa mbele ya wakwanza
Mambo mengine hata ukiandika kwa wanaojua ni aibu tu. Hivi kushinda dhidi yaWydad ndio unajiona una uwezo kiasi hicho? Ungekua hili kundi wewe ingekua na ponts zisizizidi 2. Inawezrkana ndio ungekua kibonde wa kundi.
 
Kweli nyani haoni kundule
 
Kundi la yanga wote ni mabingwa wa nchi zao.
Mpaka sasahivi hakuna timu iliyofuzu Hata mabingwa watetezi bado .
Kundi la yanga na la mamelodi ndiyo makundi magumu ya CL.
Kundi la simba mabingwa ni Wawili tu na mmoja tayari ameshafuzu robo .
Ni kundi jepesi simba alitakiwa awe Amefuzu muda huu lakini ndiyo hivyo .
 
Ukisema hivyo nami nitakuuliza kwanini hukumfunga Ihefu

Matokeo ya hizo mechi tulizoshindwa kushinda kila mtu anajua sababu ilikuwa ni nini na ndio maana tuna jiamini kuwa 2nd leg tunatoka na point 6

Kipindi tunacheza na Asec timu ilikuwa kwenye migogoro wakati tunacheza na Jwaneng Galaxy tulikuwa ndio tumetoka kusuluhisha migogoro.

Na mpira uliuona, matokeo ya sare ugenini hayakuwa matokeo mabaya kumbuka hata Al Ahly akija ugenini kipaumbele cha kwanza ni kupata sare.
Hivo ni visingizio tu baada ya kukosa matokeo ya ushindi naamini mngeshinda usingeleta visababu vya hivyo.
 
Ally Kamwe anajua ana dili na mashabiki wa aina gani na ndio maana haoni shida kuwaambia vaeni misuli.

Kuna siku ataambiwa mvae vikuku na hamtobisha
Mangungu aliekawaleteeni manzoki na alikamwe aliyekawaambia wavae msuli wana tofauti gani?
 
Mambo mengine hata ukiandika kwa wanaojua ni aibu tu. Hivi kushinda dhidi yaWydad ndio unajiona una uwezo kiasi hicho? Ungekua hili kundi wewe ingekua na ponts zisizizidi 2. Inawezrkana ndio ungekua kibonde wa kundi.
Wydad ni wanafainali wa AFL iliyochezwa mwezi uliopita. AFL ni mashindano ya magiant wa Africa. Wydad ni wanafainali wa Klabu Bingwa Africa iliyopita iliyochezwa juzi tu hapo mwezi wa 6. Wydad ni timu inayoshika nafasi ya pili katika rank za CAF.

Kumfunga Wydad katika mechi ya kimaamuzi ambayo kwa kiasi kikubwa itaamua hatma yake ya msimu kimataifa siyo jambo dogo. Kuna timu nyingi sana zingeshindwa kupata matokeo katika mechi ile. Kwa hiyo yeah, ni big deal.
 
Hili kundi unalijua?

Litafanana na lako?
1703183109318.png
 
Tokea lini mbumbumbu akaongea point bwana, anasema aliongoza kundi muulize kipindi Cha korona timu nyingi zilikuwa nyanya na ata iyo anayosema alimfunga El merekh muulize ilikuwa El merekh ya aina Gani asidhani atukumbuki
Anaongea kishabiki tu Hana point ya msingi
 
Mangungu aliekawaleteeni manzoki na alikamwe aliyekawaambia wavae msuli wana tofauti gani?
Kwani ni kitu cha ajabu kwenye kampeni kuletwa mtu mwenye ushawishi?

Mikutano ya siasa hapa Tanzania hujawahi kuona wasanii wakiletwa?
 
Achana na huyu mlevi anaropoka tu.

Kundi la yanga wote ni mabingwa wa nchi zao.
Mpaka sasahivi hakuna timu iliyofuzu Hata mabingwa watetezi bado .
Kundi la yanga na la mamelodi ndiyo makundi magumu ya CL.
Kundi la simba mabingwa ni Wawili tu na mmoja tayari ameshafuzu robo .
Ni kundi jepesi simba alitakiwa awe Amefuzu muda huu lakini ndiyo hivyo .

Anaongea kishabiki tu Hana point ya msingi
Simba isingekuwa ipo nchi hii, wengi wenu mngekuwa na jezi ya Simba na mngekuwa mnaivaa kwa kujivunia kabisa ila kwa sababu za kiumbaji ikatokea tunashea hewa hii na kivumbi na jasho, mnaichukulia poa.
 
Kwahiyo kabisa ukakaa ukafikiria na unaona umeleta booonge la thread!

Kwani nyie mna tofauti gani na sisi hadi upate nguvu ya kutoa ushauri?
Wao si wamepigwa magoli 5 au umesahau? Bado povu linawatoka,hasira hazijaisha,af wamefunga sana na wanaongoza kundi. Teh teh teh teh teh yaani kihelehele hakiishi,utadhani nyani wanaokula mahindi kwenye shamba la mjane.
 
Mpaka sasa katika hatua ya makundi hakuna matokeo ya Yanga ambayo yamekuwa tofauti au ya kushangaza sana tofauti na yale tuliyoyatarajia. Labla yale ya kushindwa kupata point 3 kutoka kwa Medeama kule Ghana. Kutoka suluhu na mwarabu kwa Mkapa si matokeo ya kushangaza, Yanga alihitaji ushindi katika mechi ile kama ambavyo Al Ahly alihitaji sare.

Kundi la Yanga lilikuwa linatabirika na mpaka sasa limevurugwa na mechi moja tu, ule ushindi wa Medeama dhidi ya CRB na ndiyo ambacho kimekuja kuipa matumaini Yanga mpaka sasa.

Yanga ikielekeza nguvu kule shirikisho, kwa kikosi ilichonacho na wakiongeza nguvu maeneo machache wana nafasi ya kufanya vizuri kutokana na aina na quality ya timu zilizoko kule. Huku Klabu Bingwa kuna wenyewe na wenyewe ndiyo sisi.

Shida ni kwamba kwenda shirikisho inabidi ipunguze nguvu kwenye kutafuta ubingwa wa NBC na wakati mwingine ijipige shoti ishike nafasi ya 3 au ya 4 ili iwe inadondokea huko Shirikisho kwa sababu kuna dalili zote Simba itaendelea kuipatia Tanzania nafasi za kutosha kimataifaom

Mpaka sasa katika hatua ya makundi hakuna matokeo ya Yanga ambayo yamekuwa tofauti au ya kushangaza sana tofauti na yale tuliyoyatarajia. Labla yale ya kushindwa kupata point 3 kutoka kwa Medeama kule Ghana. Kutoka suluhu na mwarabu kwa Mkapa si matokeo ya kushangaza, Yanga alihitaji ushindi katika mechi ile kama ambavyo Al Ahly alihitaji sare.

Kundi la Yanga lilikuwa linatabirika na mpaka sasa limevurugwa na mechi moja tu, ule ushindi wa Medeama dhidi ya CRB na ndiyo ambacho kimekuja kuipa matumaini Yanga mpaka sasa.

Yanga ikielekeza nguvu kule shirikisho, kwa kikosi ilichonacho na wakiongeza nguvu maeneo machache wana nafasi ya kufanya vizuri kutokana na aina na quality ya timu zilizoko kule. Huku Klabu Bingwa kuna wenyewe na wenyewe ndiyo sisi.

Shida ni kwamba kwenda shirikisho inabidi ipunguze nguvu kwenye kutafuta ubingwa wa NBC na wakati mwingine ijipige shoti ishike nafasi ya 3 au ya 4 ili iwe inadondokea huko Shirikisho kwa sababu kuna dalili zote Simba itaendelea kuipatia Tanzania nafasi za kutosha kimataifa.
unapokuwa unamuomba Mungu zingatia na swala la kuomba na akili pia...

imagine siku ile asec angekuwa siriaz kwa mkapa na wydad asingekuwa flop hivi kitimu chako cha hamasa si kingekuwa na point 1 tu ile uliyopata kwa jwaneng!!!
....MAZAFAKA
 
Wydad ni wanafainali wa AFL iliyochezwa mwezi uliopita. AFL ni mashindano ya magiant wa Africa. Wydad ni wanafainali wa Klabu Bingwa Africa iliyopita iliyochezwa juzi tu hapo mwezi wa 6. Wydad ni timu inayoshika nafasi ya pili katika rank za CAF.

Kumfunga Wydad katika mechi ya kimaamuzi ambayo kwa kiasi kikubwa itaamua hatma yake ya msimu kimataifa siyo jambo dogo. Kuna timu nyingi sana zingeshindwa kupata matokeo katika mechi ile. Kwa hiyo yeah, ni big deal.
Hayo yote sio kwamba siyajui. Mantiki ya comment yangu haikua kuibeza au kuishusha hadhi Wydad nilichomaanisha kiwango chao kimeshuka. Hawa wacheza fainali ulizotaja hapo hawakua kwenye kiwango kile tunachokijua na hili lipo wazi. Sasa kwa ubora tunaouona wa Beloizdad, Medeama msijaribu kudhani mngeweza kutoboa. Kiwango chenu kimeshuka huku msingeweza ku survive kabisa
 
Wydad haijashuka kiwango, shida ya Wydad niliwahi kuisema katika uzi mmoja kabla hata mechi za makundi hazijaanza ni kuwa haina forward lineup nzuri. Hili tatizo wamekuwa nalo kwa muda sasa ndiyo maana wanapata shida kupata magoli. Wydad iliyocheza na Simba QF na kwenda hadi fainali msimu uliopita ndiyo ile ile iliyocheza nayo mechi hizi mbili za mwisho. Kwa hiyo niambie hiko kiwango chao kimeshuka toka lini?

Yaani kweli Medeama unaiweka katika kundi la timu zenye viwango, Medeama ambayo mlijihakikishia point 6 hadi juzi tu hapa? Kwanza tunaongelea Medeama ipi, ile mliyocheza nayo Ghana au hii ya juzi maana mmecheza na Medeama mbili tofauti.
 
Hata marefa WA FIFA wanadai wanawapendelea Simba. Mie nawaza Yanga ukifika 10 Bora ya FIFA itaweka Mabango dunia nzima. 🤣🤣
Kuna mwingine nimemkumbusha Yanga walianza hatua ya awali wakati Simba ilianza hatua ya kwanza. Yaani kuna baadhi yao wanaamini Simba imependelewa hata kuwepo katika mashindano haya
 
Mpaka sasa katika hatua ya makundi hakuna matokeo ya Yanga ambayo yamekuwa tofauti au ya kushangaza sana tofauti na yale tuliyoyatarajia. Labla yale ya kushindwa kupata point 3 kutoka kwa Medeama kule Ghana. Kutoka suluhu na mwarabu kwa Mkapa si matokeo ya kushangaza, Yanga alihitaji ushindi katika mechi ile kama ambavyo Al Ahly alihitaji sare.

Kundi la Yanga lilikuwa linatabirika na mpaka sasa limevurugwa na mechi moja tu, ule ushindi wa Medeama dhidi ya CRB na ndiyo ambacho kimekuja kuipa matumaini Yanga mpaka sasa.

Yanga ikielekeza nguvu kule shirikisho, kwa kikosi ilichonacho na wakiongeza nguvu maeneo machache wana nafasi ya kufanya vizuri kutokana na aina na quality ya timu zilizoko kule. Huku Klabu Bingwa kuna wenyewe na wenyewe ndiyo sisi.

Shida ni kwamba kwenda shirikisho inabidi ipunguze nguvu kwenye kutafuta ubingwa wa NBC na wakati mwingine ijipige shoti ishike nafasi ya 3 au ya 4 ili iwe inadondokea huko Shirikisho kwa sababu kuna dalili zote Simba itaendelea kuipatia Tanzania nafasi za kutosha kimataifa.
Acha kufikiri kwa kutumia mkuu ndu
 
Back
Top Bottom